< Marko 7 >

1 Mafarisayo ni baandisi baumi Yerusarem bakusanyikekunteteleka ywembe.
Mafarisayo na baadhi ya waandishi ambao walikuwa wametokea Yerusalemu walikusanyika kumzunguka yeye.
2 Ababweni banapunzi bake kabalya mikate ni makoko najisi, maisukike kwaa.
Na waliona kuwa baadhi ya wanafunzi wake walikula mkate kwa mikono najisi; ambayo haikuoshwa.
3 Mafarisayo ni mayahudi balya kwaa mpaka basuke maboko gabe bwiso.
(kwa Mafarisayo na Wayahudi wote hawali mpaka wameosha mikono yao vizuri; wanashikilia utamaduni wa wazee. Wakati
4 (Mafarisayo kababuya kuoma kusoko, balya kwa mpaka bayonge wete ni kubi sheria yenge bando kuikota kati ya kusuka ikombe, iteleko, igombo ya shaba ni viti ya matuma wakali waulya kilalyo).
Mafarisayo wanaporudi kutoka mahali pa soko, hawali mpaka wameoga kwanza. Na kuna sheria zingine ambazo wanazifuata kabisa, ikiwa ni pamoja na kuosha vikombe, masufuria, vyombo vya shaba, na hata viti vinavyotumika wakati wa chakula.)
5 mafarisayo ni aandishi kabanlokiya Yesu, “Walowa kele benepunzi bako batenda kwaa kati ya matendo agoi, balya mikate bila ya kuagua maboko?”
Mafarisayo na waandishi walimuuliza Yesu, “Kwa nini wanafunzi wako hawaishi kulingana na tamaduni za wazee, kwani wanakula mkate pasipo kunawa mikono?”
6 Ywembe kabaakokeya, “Isaya atabirike bwiso mwenga mwaboso. Kaandika 'Wandu aba banieshimu pankanwa bai, miyo gabe ibikutaru ni nee.
Lakini yeye aliwaambia, “Isaya alitabiri vizuri kuhusu ninyi wanafiki, aliandika, 'Watu hawa wananiheshimu kwa midomo yao, lakini mioyo yao iko mbali na mimi.
7 Banitendi ibada ya uboso, bayegana sheria ya bandu kati mapokeo yabe.'
Wananifanyia ibaada zisizo na maana, wakifundisha sheria za wanadamu kama mapokeo yao.'
8 Muileki sheria ya Nnongo ni kukamuliya kandende kandende sheria ya bandu.
Mmeiacha sheria ya Mungu na kushikilia kwa wepesi tamaduni za wanadamu.”
9 Kakoya kwabe,'Muikani amrin ya Nnongo kwa urai mpate kuyendelya ni tamaduni zenu.
Na akasema kwao, “Mmeikataa amri ya Mungu kwa urahisi ili kwamba mtunze tamaduni zenu!
10 Musa alongei m'baeshimu tatee ni mao binu nin ywembe akaiye mabou ya tate bake ni mao bake hakika ba waaa”
Kwa kuwa Musa alisema, 'mheshimu baba yako na mama yako,' na 'Yeye asemaye mabaya juu ya baba yake au mama yake hakika atakufa.'
11 Lakini mwendakoya, mundu kakoya kwa tate ba ao mao bake, “sosote sa mpokea kuoma kwango ni hazina ya Hekalu,”'(kakoya kwamba iomi kwa Nnongo.'
Lakini mnasema, 'kama mtu akisema kwa baba yake au mama, “Msaada wowote ambao mngepokea kutoka kwangu ni hazina ya Hekalu,”' (hiyo ni kusema kwamba, 'imetolewa kwa Mungu')
12 Eyo unnekeya kwa kutenda kilebe sosote sa mwalo wa tate au mao bake.
hivyo haumruhusu kufanya jambo lolote kwa ajili ya baba au mama yake.
13 Muisarawa amri ya Nnongo, mutenda mila yinu, Ni menge ganyansima kati ayo mutenda.”
Mnaifanya amri ya Mungu kuwa bure kwa kuleta tamaduni zenu. Na mambo mengi ya jinsi hiyo mnayoyafanya.”
14 Kabakema kabakusanyika ni kabakokeya “mumbekanyi nee, mwabote na mundange.
Aliwaita makutano tena na kuwaambia, “Mnisikilize mimi, ninyi nyote, na mnielewe.
15 Kilebe sosote kuoma kunza kinsapwa kwa mundu, Bali sa kimpita mundu ndicho kiwesa kunsapwa mundu.
Hakuna chochote kutoka nje ya mtu ambacho chaweza kumchafua mtu kiingiapo kwake. Bali ni kile kimtokacho mtu ndicho kimchafuacho.
16 (kombokiya: mstari gono, “mana mundu yeyote abi ni makutu ga kupekanya, na ayowe” Ntopo kwenye nakala ya samani).
(Zingatia: mstari huu, “kama mtu yeyote ana masikio ya kusikia, na asikie” haumo kwenye nakala za kale).
17 Yesu abalei pakipenga ni kuyingia ukaya, benepunzi bake kabanlokiya kuhusu mpwano ogo.
Yesu alipowaacha makutano na kuingia nyumbani, wanafunzi wake wakamwuliza kuhusu mfano huo.
18 Yesu kakoya, “ni mwenga nke balo kutanga? mbona kwaa sa kin'yingia mundu kinsapwa kwaa,
Yesu akasema, “Na ninyi pia bado hamjaelewa? Hamuoni kwamba chochote kimuingiacho mtu hakiwezi kumchafua,
19 Mwalo kiwesa kwaa kuyingiya kwimoyo, lakini kiyingiya ndumbo yake ni kupita kuyenda kumwitu. kwa mayegeyo gano Yesu ate ilalyo yote kuba halali.
kwa sababu hakiwezi kwenda kwenye moyo wake, lakini kinaingia katika tumbo lake na kisha kinapita kwenda chooni.” Kwa maelezo haya Yesu alivifanya vyakula vyote kuwa safi.
20 Kakoya,'sakimpita mundu ndicho kinsapuaso,
Alisema, “Ni kile ambacho kinamtoka mtu ndicho kimchafuacho.
21 Kwakuwa kioma nkati ya mundu, ni kunza ya moyo, kupita mawazo maovu, uzinzi, bwii, kubulaga,
Kwa kuwa hutoka ndani ya mtu, nje ya moyo, hutoka mawazo maovu, zinaa, wizi, mauaji,
22 Kubelenya, tamaa mbaya, maovu, bwii, ni ujinga.
uasherati, tamaa mbaya, uovu, udanganyifu, kujamiiana, wivu, kashfa, majivuno, ujinga.
23 Maovu gano gote gaoma nkati, galyo gansapuwa mundu.”
Maovu haya yote yanatoka ndani, ndiyo yale yamchafuayo mtu.”
24 ayumwike ni kuboka palyo ni kuyenda mkoani Tiro ni Sidoni. Ayingii nnyumba na atekana mundu kutanga kati abi apo, lakini werekine kwaa kumuuya.
Aliamka kutoka pale na kuondoka kwenda katika mkoa wa Tiro na Sidoni. Aliingia ndani na hakutaka mtu yeyote ajue kuwa alikuwa hapo, lakini haikuwezekana kumficha.
25 Lakini gafla nnwawa abii ni mwana nsunu abi ni nsela ayowine habari yake kaisa ni kutomboka mmagolo gake.
Lakini ghafla mwanamke, ambaye mtoto wake mdogo alikuwa na roho mchafu, alisikia habari zake, akaja, na akaanguka miguuni pake.
26 Nwawa ayo ai Myunani, likabila la Kifoeniki kun'yopa ni kumpembela ambenge nsela ai kumutwe ya kaenza kake.
Mwanamke huyo alikuwa Myunani, wa kabila la Kifoeniki. Alimsihi yeye amfukuze pepo kutoka kwa binti yake.
27 Yesu kankokeya ywa nnwawa, “balekee bana balye wete, mwilo kutoa nkate wa bana kunlekelya mbwa.'
Yesu akamwambia mwanamke, “Waache watoto walishwe kwanza, kwa kuwa sio sawa kuuchukua mkate wa watoto na kuwatupia mbwa.”
28 Nnwawa kamyangwa nikukoya,'Eena Amwenye mbwa pae ya meza kulya maigala ya kilalyo sa bana.”
Lakini mwanamke akamjibu na kusema, “Ndiyo Bwana, hata mbwa chini ya meza hula mabaki ya chakula cha watoto.”
29 Kankokeya, “Mwalo ukoiye iyeya ubi huru kuyenda pensela ampii muenza wako.”
Akamwambia, “Kwa kuwa umesema hivi, uko huru kwenda. Pepo ameshamtoka binti yako.”
30 Nnwawa abui ukaya ni kum'bona muenza wake agonzike palusase, ni nsela ampii.
Mwanamke alirudi nyumbani kwake na akamkuta binti yake amelala kitandani, na pepo alikuwa amemtoka.
31 Yesu apii kuinza ya mkoa wa Tiro ni kupeta Siodoni kuyenda bahari ya Galilayampaka kumbwega ya Dikapolisi.
Yesu alitoka tena nje ya mkoa wa Tiro na kupitia Sidoni kuelekea Bahari ya Galilaya mpaka kanda ya Dikapolisi.
32 Ni kabannetya mundu mbogoso na abiawesa kwaa longela bwiso, kabampembela Yrsu abeke luboko kunani yake.
Na wakamletea mtu aliyekuwa kiziwi na alikuwa hawezi kuzungumza vizuri, walimsihi Yesu aweke mikono juu yake.
33 kampiya kunza ya kipenga kwa siri, ni nngozi yake mmakutu, ni baada ya kuunamata, kakamwa lulimi lwake.
Alimtoa nje ya kusanyiko kwa siri, na akaweka vidole vyake kwenye masikio yake, na baada ya kutema mate, aligusa ulimi wake.
34 Kaalola kunani kumbengo, kapomwa kunkokeya “Efata” Eyo kukoya “Talauka.”
Alitazama juu mbinguni, akahema na kumwambia, “Efata,” hiyo ni kusema “funguka!”
35 Muda gogolyo makutu gayowike, ni sa sa satabike lulimi sa pimwanike na kaalongela bwiso.
Na muda ule ule masikio yakafunguka, na kilichokuwa kimezuia ulimi kiliharibiwa na akaweza kuongea vizuri.
36 Kabaakokeya kana bankokeye mundu yoyote, ila kila ya akanikeye, bembe kabazidi kulongela ni kukoya kwa bandu.
Na aliwaamuru wasimwambie mtu yeyote. Lakini kadri alivyowaamuru, ndivyo walivyotangaza habari hizo kwa wingi.
37 Hakika batekanganywa ni kukoya, “Atei kila kilebe bwiso atei mbogoso kuyowa ni mbubu kulongela.
Hakika walishangazwa, na kusema, “Amefanya kila kitu vizuri. Hata amewafanya viziwi kusikia na mabubu kuongea.”

< Marko 7 >