< Marko 9 >

1 Na akoiye kwabe “Hakika ni kaya winu, nkati yino kana bandu bayemi pano bawakina mpaka baabone upwalume wa Nnongo kauisa kwa ngupu.
Na alisema kwao, “Hakika nasema kwenu, baadhi yenu kuna watu waliosimama hapa hawataonja mauti kabla ya kuuona ufalme wa Mungu ukija kwa nguvu.”
2 Ni baada ya siku ya sita Yesu abatweti Petro, Yakobo ni Yohana pamope ni ywembe pannema, yika yabe. Katumbua kubadilika kulonge yabe.
Na baada ya siku sita, Yesu aliwachukua Petro, Yakobo na Yohana pamoja naye mlimani, pekee yao. Ndipo alianza kubadilika mbele yao.
3 Ngobo yake yatumbuani kung'aa muno, maupe muno, maupe kuliko mng'arishaji gwengi pano duniani.
Mavazi yake yakaanza kung'aa sana, meupe zaidi, meupe kuliko mng'arishaji yeyote duniani.
4 Eliya ni Musa kabapita kulonge yabe, na kabalongela ni Yesu.
Ndipo Eliya pamoja na Musa walitokea mbele yao, na walikuwa wakiongea na Yesu.
5 Petro kayangwa kunkokeya Yesu, “Mwalimu, mwema twenga kuba pano, ni tusenge ibada itatu, kimo sako, kimo sa Musa, ni senge sa Eliya.”
Petro alijibu akamwambia Yesu, “Mwalimu, ni vyema sisi kuwa hapa, na tujenge vibanda vitatu, kimoja kwa ajili yako, kimoja kwa ajili Musa na kingine kwa ajili ya Eliya.”
6 (Mwalo atangike kwaa sakukoya, bateyogopa muno)
(Kwa kuwa hakujua nini cha kusema, waliogopa sana.)
7 Liunge kalipitia ni kubagubika. Sauti saipita kuliunde kaikoya “Yono banangu mpendwa, mumpikanyi ywembe.
Wingu lilitokea na kuwafunika. Ndipo sauti ikatoka mawinguni ikisema, “Huyu ni mwanangu mpendwa. Msikieni yeye.”
8 Gafla palyo baibalola, baambweni kwa yeyote pamwepe ni bembe, baambweni Yesu bai.
Ghafla, walipokuwa wakitazama, hawakumuona yeyote pamoja nao, isipokuwa Yesu tu.
9 Palyo kabaaliuka kuoma akitombe, kabaakini kiya kumwalithia mundu yoyote galyo bagabweni mpaka mwana wa Adamu kayoka kuoma kwa bandu bawile.
Walipokuwa wanateremka kutoka mlimani, aliwaamuru kutokumwambia mtu yeyote yale yote waliyoyaona, mpaka Mwana wa Adamu atakapofufuka kutoka kwa wafu.
10 Kabatunza mambo yabe bene. Lakini kabalokiyana bene kwa bene maana yake kele “kuyoka kuoma kwa bandu bawile.
Ndipo waliyatunza mambo wao wenyewe. Lakini walijadiliana wao kwa wao ni nini maana yake “kufufuliwa kutoka kwa wafu”
11 Kabanlokiya Yesu, “Mwalowa kele aandishi ukoya lazima Eliya aise kwanza?”
Walimwuliza Yesu,”Kwa nini waandishi husema lazima Eliya aje kwanza?”
12 Kaabakiya, “Eliya aisa kutoka ilebe yote. Mwalowa kele iandikwe mwana wa Adamu aakunda masaka ganyansima ni bandu kunkana?”
Akawaambia, “hakika Eliya atakuja kwanza kuokoa vitu vyote. Kwa nini imeandikwa Mwana wa Adamu lazima apate mateso mengi na achukiwe?
13 Niabakiya Eliya atangike, na baantei ya bapendike, kati ya maandiko gakoya kwake.
Lakini nasema kwenu Eliya alikwisha kuja, na walimfanya kama walivyopenda, kama vile maandiko yasemavyo kuhusu yeye.”
14 Kubaya kwa benepunzi, baabweni bandu banyansima batetelike ni Masadukayo bai kaba bishana.
Na waliporudi kwa wanafunzi, waliona kundi kubwa limewazunguka na Masadukayo walikuwa wanabishana nao.
15 Kummona bai, kipenda sote sate kanganya ni kumbutia kumsalimia.
Na mara walipomwona, kundi lote lilishangaa na kumkimbilia kumsalimia.
16 Kabaanlokiya benepunzi bake, mbishana nao kelee?
Aliwauliza wanafunzi wake, “Mnabishana nao juu ya nini?”
17 Yumo mwa mukipenga kayangwaa, “Mwalimu nanlekite manango kwako, aii ni nsela atei kana alongele,
Mmoja wao katika kundi alimjibu, “Mwalimu, nilimleta mwanangu kwako; ana roho chafu ambayo humfanya asiweze kuongea,
18 Na kumtenda alendeme ni kuntomboya pae, ni kupita litutuma munkanwa na kutauna mino ni kung'ong'onala. Nayopite benepunzi bako bampiye nsela lakini bawesike kwaa.
na humsababishia kutetemeka na kumwangusha chini, na kutoka povu mdomoni na kusaga meno na kukakamaa. Niliwaomba wanafunzi wako kumtoa pepo, lakini hawakuweza.
19 Kabayangwaa, “Kilebe kisicho amini na tama nimwee kwa muda gani? Natoliana nimwee mpaka lini? Nneteni kwango.
Aliwajibu, “Kizazi kisichoamini, nitakaa nanyi kwa muda gani? Nitachukuliana nanyi hadi lini? Mleteni kwangu.”
20 Kbanneta mwanage, nsela paamweni Yesu, kan'yeya kulendema. Mwisembe katomboka pae ni kupita litutuma munkanwa.
Walimleta mtoto wake. Roho mchafu alipomwona Yesu, ghafla ilimtia katika kutetemeka. Mvulana alianguka chini na kutoa povu mdomoni.
21 Yesu kankokiya tate bake, “ubinyo ubi kwa muda gani? tate kabayangwa” tangu unangota.
Yesu alimwuliza baba yake, “Amekuwa katika hali hii kwa muda gani?” Baba alisema, “Tangu utoto.
22 Mara yenge atombokeya kwa moto au mmase, n kujaribu kumpoteya. Kama uwesa panga sosote ya tuboniekiya utuyangate.”
Mara nyingine huanguka katika moto au kwenye maji, na kujaribu kumwangamiza. Kama unaweza kufanya chochote tuhurumie na utusaidie.”
23 Yesu kankokeya “Mana ubi tayari? Kila kilebe sando wesekana kwa ywe aminiye.”
Yesu alimwambia, “Kama uko tayari? Kila kitu kinawezekana kwa yeyote aaminiye.”
24 Tate ya mwana kalela ni kukoya, “Nando amini niyangate kuto kuamini kwango.”
Ghafla baba wa mtoto alilia na kusema, “Naamini! Nisaidie kutokuamini kwangu.”
25 Palyo Yesu abweni kipenga sa bandu kakibutukiya kwabe, kaankopokia nsela ni kukoya, wenga nsela mbubu ni mbogoso, nando kubakiya nneke, kana uyingii keake lelo.
Wakati Yesu alipoona kundi linakimbilia kwao, alimkemea roho mchafu na kusema, “wewe roho bubu na kiziwi, nakuamuru mwache, usiingie kwake tena.”
26 Kalela kwa lukalanga ni kuntaabiya mwana ni nsela kaaboka. Mwana abonike kati atewaa. Bingi kabakoya “Awile,”
Alilia kwa nguvu na kumhangaisha mtoto na roho alimtoka. Mtoto alionekana kama amekufa, Ndipo wengi walisema, “Amekufa,”
27 Yesu kan'tola ni luboko kan'yinua, ni mwana kayema.
Lakini Yesu alimchukua kwa mkono akamwinua, na mtoto alisimama.
28 lyo Yesu ayingii nnyumba, benepunzi bake kabanlokiya faragha, “mwalowa kele tuwesike kwaa kumpiya?”
Wakati Yesu alipoingia ndani, wanafunzi wake walimwuliza faragha, “Kwa nini hatukuweza kumtoa?”
29 Kabakiya “Kati iyeya apita kwa ila kwa mayopeyo.”
Aliwaambia, “kwa namna hii hatoki isipokuwa kwa maombi.”
30 Bapii palyo kupitya Galilaya, Aakani kutanga mundu yeyote yaa kutanga palyo babile.
Walitoka pale na kupitia Galilaya. Hakutaka mtu yeyote ajue walipo,
31 Mwalo abikabayengana benepunzi bake. Kabanakokeya mwana wa Adamu aikiywa mmaboko ga bandu, na bambulaga, palyo abi awile, atama siku tatu ayoka tena.”
kwa kuwa alikuwa anafundisha wanafunzi wake. Aliwaambia, “Mwana wa Adamu atafikishwa mikononi mwa watu, na watamuua. Atakapokuwa amekufa, baada ya siku tatu atafufuka tena.”
32 Lakini baatangike kwaa mayegeyo gano na bayogwipe kunnkiya.
Lakini hawakuelewa maelezo haya, na waliogopa kumwuliza.
33 Ndipo baike Karperinaumu. Palyo bai nnyumba kabalokiya “mwalongelage kele mwamundela?
Ndipo walifika Karperinaumu. Wakati akiwa ndani ya nyumba aliwauliza, ''Mlikuwa mnajadili nini njiani”?
34 Bayangwi kwaa batami poloi. baikababishana mundela nyai aimpendo muno.
Lakini walikuwa kimya. Kwani walikuwa wanabishana njiani kwamba nani alikuwa mkubwa zaidi.
35 Aatami pae kabakema komi ni ibele pamwepe, na kalongela nabo “Ywa apala kwa wa kwanza ni lazima abe wa mwisho ni mtumishi wa bote.
Alikaa chini akawaita kumi na wawili pamoja, na alisema nao, “Kama yeyote anataka kuwa wa kwanza, ni lazima awe wa mwisho na mtumishi wa wote.”
36 Kantola mwana nnangota kambeka kati yabe. Kantola mmaboko gake kakoya.
Alimchukua mtoto mdogo akamweka katikati yao. Akamchukua katika mikono yake, akasema,
37 Ywa ampokeyae mwana kati ay o kwa lina lyango, pia anipokile ni nee, na mana abi mundu amenpokea, ambokya kwaa nee bai, niywa andumike.
“Yeyote ampokeaye mtoto kama huyu kwa jina langu, pia amenipokea mimi, na ikiwa mtu amenipokea, hanipokei mimi tu, lakini pia aliyenituma.”
38 Yohana kankokeya, “Mwalimu twammweni mundu kapiya nsela kwa lina lyako tukankotaya, mwalo atubengeya kwaa”
Yohana alimwambia, “Mwalimu tulimwona mtu anatoa pepo kwa jina lako na tukamzuia, kwa sababu hatufuati.”
39 Yesu kakoya, “kana munkataya, mwalo ntopo atenda kasi nglo kwa lina lyango na baadae akoye lina ulyo linoike kwaa kwango.”
Lakini Yesu alisema, “Msimzuie, kwa kuwa hakuna atakayefanya kazi kubwa kwa jina langu na ndipo baadaye aseme neno baya lolote juu yangu.
40 Ywa atupenga kwaa bai ai pamwepe ni twenga.
Yeyote asiyekuwa kinyume nasi yuko upande wetu.
41 Ywa akupaya kikombe sa mase ga kunywaa mwalo abi ni Kirisitu, nando kubakiya, Ataga kwaa thawabu yake.
Yeyote atakayekupa kikombe cha maji ya kunywa kwa sababu uko na Kristo, kweli nawaambia, hatapoteza thawabu yake.
42 Ywa abakosya bana anangota balyo bangota nee, yai bwiso kutabwa libwe la kusagia paingo ni kutangwa baharini.
Yeyote anayewakosesha hawa wadogo waniaminio mimi, ingekuwa vyema kwake kufungiwa jiwe la kusagia shingoni na kutupwa baharini.
43 Mana luboko lwako utei kwa bwiso ulukeng'ende, nantali kuyingi pankoto bila lubko kuliko kuyingia pahukumu ni maboko gako gote. Kumoto “uimika kwaa” (Geenna g1067)
Kama mkono wako ukikukosesha ukate. Ni heri kuingia katika uzima bila mkono kuliko kuingia kwenye hukumu ukiwa na mikono yote. Katika moto “usiozimika”. (Geenna g1067)
44 (Itange mistari yeno, “Pandu punza bawakwa ni moto uimika kwaa.” Ntopo nnakala za kale)
(Zingatia: Mstari hii, “Mahali ambapo funza hawafi na moto usiozimika.” haumo katika nakala za kale).
45 Mana lugolo lwako litei kwa bwiso, lukeng'ende. Ni bwiso kuyingi kuukoto ni nkilema, kuliko kulagena kuhukumu ni magolo mabele. (Geenna g1067)
Kama mguu wako ukikukosesha, ukate. Ni vyema kwako kuingia uzimani ukiwa kilema, kuliko kutupwa hukumuni na miguu miwili. (Geenna g1067)
46 (Itange mistari gono, pandu punza bawakwaa ni moto uimika kwaa”ntopo mu nakala za kale)
(Zingatia: Mstari huu, “Mahali ambapo funza hawafi na moto usioweza kuzimika” haumo kwenye nakala za kale).
47 Mana liyo lyako litei kwa bwiso lipiye. Bwiso kuyingia kuufalme wa Nnongo ni liyo limo, kuliko kuba ni minyo mabele kutagwa kuzimu. (Geenna g1067)
Kama jicho lako likikukosesha ling'oe. Ni vyema kwako kuingia katika Ufalme wa Mungu ukiwa na jicho moja, kuliko kuwa na macho mawili na kutupwa kuzimu. (Geenna g1067)
48 Pandu pabi ni punza banga waa, no moto wangaimika.
Mahali palipo na funza wasiokufa, na moto usiozimika.
49 Kwa kubaa kila mundu akolezwa mni moto.
Kwa kuwa kila mmoja atakolezwa na moto.
50 Mwinyo unoike, mana mwinyo utagike ladha yake watenda buli kubukiya ladha yake? Mube ni mwinyo nkati yinu mwabene, ni mube ni amani kila yumo.
Chumvi ni nzuri, kama chumvi ikipoteza ladha yake, utaifanyaje iwe na ladha yake tena? Muwe na chumvi miongoni mwenu wenyewe, na muwe na amani kwa kila mmoja.”

< Marko 9 >