< Marko 8 >

1 siku yeno, bai bandu banyansima, bai ntopo kilalyo. Yesu kabaakema benepunzi bake kabaakokeya,
Katika siku hizo, kulikuwa tena na umati mkubwa, na hawakuwa na chakula. Yesu akawaita wanafunzi wake akawaambia,
2 Nibonia kiya bandu aba, bai ni nenga pamwepe lisiku lya itatu na atopo kilalyo.
“Ninauhurumia umati huu, wameendelea kuwa nami kwa siku tatu na hawana chakula.
3 Mana niatawinye bayende ukasabe bazimia mundela mwalowa njala, benge baomi kutalu muno.
Nikiwatawanya warudi majumbani kwao bila kula wanaweza wakazimia njiani kwa njaa. Na baadhi yao wametoka mbali sana.”
4 Benepunzi bake kaban'yangwa, tupata kwako mikate yanyansima ya kuyukuta bandu abo bote paeneo leno lilekine?
Wanafunzi wake wakamjibu, “Tutapata wapi mikate ya kutosha kuwashibisha watu hawa katika eneo hili lililoachwa?”
5 kabaalokiya “m'bi ni ipanga ilengaya mikate? kabakoya “Saba”.
Akawauliza, “mna vipande vingapi vya mikate?” Wakasema, “Saba”.
6 Kabaakokeya bandu bote batame pae. Kaaitola mikate Saba, kaanshukuru Nnongo ni kuitekwana. Kabapeya benepunzi bake baibeke kulongo yabe ni bembe kaabaibeka kulonge ya balyo bandu batami.
Aliuamuru umati ukae chini. Akachukua mikate saba, akamshukuru Mungu, na kuivunja. Akawapa wanafunzi wake waiweke mbele yao, nao wakaiweka mbele ya umati.
7 Pia aini omba asunu asunu kidogo, baada ya kushukuru kabaakokeya benepunzi bake baapaye ni aba iyeya.
Pia walikuwa na samaki wadogo wachache, na baada ya kushukuru, aliwaamuru wanafunzi wake wawagawie hivi pia.
8 Kabalya ni kuyukuta. Ni kaba konza ya ipande
Walikula na wakatosheka. Na walikusanya vipande vilivyo baki, vikapu vikubwa saba.
9 iigile itondo ikolo saba. Bakalibile bandu elfu ina. Na kabaleka bayende.
Walikaribia watu elfu nne. Na aliwaacha waende.
10 Kuyingya mmashua Ni benepunzi bake, kabayenda ukanda wa Dalmanuta.
Mara aliingia kwenye mashua na wanafunzi wake, na wakaenda katika ukanda ya Dalmanuta.
11 Mafarisayo kabapita kunza Ni kutumbua ni ywembe. Bapala abapaye ishara kuoma kwa
Kisha Mafarisayo walitoka nje na kuanza kubishana naye. Walitaka awape ishara kutoka mbinguni, kwa kumjaribu.
12 Nnongo, kwa kumgeya. Katafakari muno kumoyo kakoya, “Mwalowa kele kibelei seno kipala ishala? Niakokeya mwenga kweli ntopo ishala ipita kwa kibelei seno.”
Akatafakari kwa kina moyoni mwake akasema, “Kwa nini kizazi hiki kinatafuta ishara? Nawaambia ninyi kweli, hakuna ishara itakayotolewa kwa kizazi hiki.”
13 Kabaleka, kuyingya mmashua, kaboka kuyenda upande wenge.
Kisha akawaacha, akaingia ndani ya mashua tena, akaondoka kuelekea upande mwingine.
14 Benepunzi bayebwike kutola mikate, bai ni kipande kimo said mmashua. Kabakaya ni kuakokeya,
Wakati huo wanafunzi walisahau kuchukua mikate. Hawakuwa na mikate zaidi ya kipande kimoja kilichokuwa kwenye mashua.
15 M'be Ni minyo muiluile ni chachu ya farisayo ni chachu ya Herode.
Aliwaonya na kusema, “Muwe macho na mjilinde dhidi ya chachu ya Mafarisayo na chachu ya Herode.
16 Benepunzi kabakayana bene kwa bene, “mwalo twatopo mikate.”
Wanafunzi wakasemezana wao kwa wao, “Ni kwa sababu hatuna mikate.”
17 Yesu kalitanga leno, kabaakokeya “Mwalowa kele mukayana mwalo wa kutobaa mikate? bado mutangikwe kwaa? ntangike kwaa? mioyo yenu ibi yoyolo?
Yesu alilitambua hili, na akawaambia, “Kwa nini mnasemezana kuhusu kutokuwa na mikate? Hamjajua bado? Hamuelewi? Mioyo yenu imekuwa miepesi?
18 M'bi Ni minyo, m'bona kwaa? m'bi Ni makutu, muyowa kwaa? mukombokiya kwaa?
Mna macho, hamuoni? Mna masikio, hamsikii? Hamkumbuki?
19 Nabagine mikate mitano kwa bandu elfu tano mwatweti itondi ilenga itwelii ipande ya mikate? kaban'yangwa “komi ni ibele.”
Nilipoigawanya mikate mitano kwa watu elfu tano, mlichukua vikapu vingapi vilivyo jaa vipande vya mikate?” Wakamjibu, “kumi na mbili.”
20 Palyo nabagine mikate Saba kwa bandu elfu ina, mwatweti itondo ilenga?
“Na nilipoigawanya mikate saba kwa watu elfu nne, mlichukua vikapu vingapi?”
21 Kabakaya “Saba” Kabaakokeya nke bado kutanga?
Wakasema, “Saba.” Akawaambia, “Bado hamuelewi?”
22 Kabaisa Bethsaida, bandu apo banletike mundu ndolo kwa Yesu, kabampembela Yesu ankamwe.
Wakaja Bethsaida. Watu hao walimleta kwa Yesu mtu kipofu na wakamsihi Yesu amguse.
23 Yesu kankamwa ywa mundu ndolo, ni kunlongoya konza ya kijiji. Palyo aunike mata kunani ya minyo gake ni katondobeya luboko kunani yake, kunnokiya ubona sosote?
Yesu akamshika kwa mkono yule kipofu, na kumwongoza nje ya kijiji. Alipotema mate juu ya macho yake na kunyosha mikono yake juu yake, alimuuliza, “Unaona chochote?”
24 Aloi kunani Ni kukoya, “Nibona bandu kati mikongo ityanga.”
Alitazama juu na kusema, “Naona watu wanaonekana kama miti inatembea.”
25 Kaatondobeya tena maboko kunani ya minyo gake, mundu ywa kagumukwa minyo gake, abweni tena kila kilebe bwiso.
Ndipo akanyosha tena mikono yake juu ya macho yake, mtu yule akafungua macho yake, aliona tena, na akaona kila kitu vizuri.
26 Yesu kanneka ayende ukaya ni kunkokeya “kana uyingii mjini.”
Yesu alimwacha aende nyumbani na akamwambia, “Usiingie mjini.”
27 Yesu kaboka Ni benepunzi bake kuyenda ijiji ya Kaiseria ya Filipi. Mundela kabaalokiya benepunzi “Bandu bakoya nee nyai?”.
Yesu aliondoka na wanafunzi wake kwenda vijiji vya Kaiseria ya Filipi. Wakiwa njiani aliwauliza wanafunzi, “Watu wanasema mimi ni nani?”
28 Kaban'yangwa kabakoya “Yohana mbatizaji.” Benge bakoya “Eliya” Ni benge, “Yumo ba Nabii.”
Wakamjibu wakasema, “Yohana mbatizaji. Wengine wanasema, 'Eliya' na wengine, 'Mmoja wa Manabii.”
29 Kabaalokiya, “mwenga mukoya nenga nyai?” Petro kankokeya, “wenga wa Kirisitu.”
Akawauliza, “Lakini ninyi mnasema mimi ni nani?” Petro kamwambia, “Wewe ni Kristo.”
30 Yesu kabakotoya kana bamwali mundu kuhusu ywembe.
Yesu akawaonya wasimwabie mtu yeyote kumuhusu Yeye.
31 Kaumba kuwayegana kuba mwana wa Adamu lazima akunde masaka kwa mambo mengi, na bankana iongozi ni akolo la makuhani, ni aandishi, na abulagwa, ni baada ya siku tatu ayoka.
Na akaanza kuwafundisha ya kuwa Mwana wa Adamu lazima ateseke kwa mambo mengi, na atakataliwa na viongozi na makuhani wakuu, na waandishi, na atauawa, na baada ya siku tatu atafufuka.
32 Akoiye gano kunza. Petro kantola pambene ni kutumbua kunkaya.
Alisema haya kwa uwazi. Ndipo Petro akamchukua pembeni na akaanza kumkemea.
33 Yesu atendebwike ni kualola benepunzi bake ni ni kunkoya Petro nikukoya “peta ukuogo sango nsela uyogopa kwaa mambo ya Nnongo isipokuwa mao ga bandu.”
Lakini Yesu aligeuka na kuwatazama wanafunzi wake na akamkemea Petro na kusema, “Pita nyuma yangu Shetani! Hujali mambo ya Mungu, isipokuwa mambo ya watu.”
34 Kisha kabakema bandu banyansima pamope ni benepunzi bake, ni kuubaalya, “mana kubi ni mundu apala kunikota, aikane mwene, atole msalaba wake na angote.
Kisha akauita umati na wanafunzi wake pamoja, na kuwaambia, “Kama kuna mtu anataka kunifuata, ajikane mwenyewe, achukue msalaba wake, na anifuate.
35 Ywa apala kuyaokoa maisha gake, agataga na gwaagataga maisha gake mwalowa nee ni mwalowa injili atayaokoa.
Kwa kuwa yeyote anayetaka kuyaokoa maisha yake atayapoteza, na yeyote atakayepoteza maisha yake kwa ajili yangu na kwa ajili ya injili, atayaokoa.
36 Insaidia kele mundu, kuba ni ulimwengu wote, na kisha kuba ni asara ya maisha gake gote?
Inamfaidia nini mtu, kupata ulimwengu wote, na kisha kupata hasara ya maisha yake?
37 Mundu awesa kupiya kele badala ya maisha yake.
Mtu anaweza kutoa nini badala ya maisha yake?
38 Yeyote anibonia oi ni muyaulio gango kwa kubelei seno sa uzinzi na kibelei sa bene sambi, mwana wa Adamu ambonia oni palyo aisa pa apwalume wa Tate bamwepe ni malaika atakatifu.
Yeyote anioneaye aibu na maneno yangu katika kizazi hiki cha wazinzi na kizazi cha wenye dhambi, Mwana wa Adamu atamwonea aibu atakapokuja katika ufalme wa Baba yake pamoja na malaika watakatifu.

< Marko 8 >