< 1 Petro 1 >

1 Petro mtume wa Yesu Kristo, na ageni ba baganike baba saulikwe katika Ponto yoti, Garatia, Kapadokia, Asia na Bithinia.
Petro, mtume wa Yesu Kristo, kwa wageni wa utawanyiko, kwa wateule, katika Ponto yote, Galatia, Kapadokia, Asia, na Bithinia,
2 Buka nitangite Ninungu, Baba, kwo takaswa na Roho mtakatifu, kwa kumwubiliya Yesu Kristo, na kwo jitililikwa myai yake. Neema ibe kwinu na amani yinu iyongekeye.
kutokana na ufahamu wa Mungu, Baba, kwa kutakaswa na Roho Mtakatifu, kwa utiifu wa Yesu Kristo, na kwa kunyunyuziwa damu yake. Neema iwe kwenu, na amani yenu iongezeke.
3 Nnungu tati wa Bwana witu Yesu Kristo na angali. Katika ukulo wa Rehema yake atetupapa wayambi na ujasili wa urithi pitya kwo yuke Yesu Kristo pitya muwafu.
Mungu Baba wa Bwana wetu Yesu Kristo na abarikiwe. Katika ukuu wa rehema yake, alitupa kuzaliwa upya kwa ujasiri wa urithi kupitia ufufuo wa Yesu Kristo kutoka katika wafu,
4 Kwa urithi wa wangalilumya, wangalibana na usapu wa Pungwa, Utibikilwa kwa Nnungu ajili yinu.
kwa urithi usioangamia, hautakua na uchafu wala kupungua. Umehihifadhiwa mbinguni kwa ajili yenu.
5 Kwa uwezo wa Nnungu tundalindilikwa Pitya imani kwa wokovu ambao ubile tayali kwa umukulwa katika masoba ya mwisho.
Kwa uwezo wa Mungu mnalindwa kupitia imani kwa wokovu ambao upo tayari kufunuliwa katika nyakati za mwisho.
6 Mupulaike katika lino, mubagane sayeno lazima kwinu bona uzuni katika kumpaya kwa aina mbalembale.
Furahini katika hili, ingawaje sasa ni lazima kwenu kujisikia huzuni katika majaribu ya aina mbalimbali.
7 Yino ni kwasababu imani yinu iyongekeye kumpayanga, imani yoni ya thamani kuliko Dhahabu ambayo indaoba katika mwoto ambao iipakia imani yino. Yino tokea imani yino ipate beleka sifa, utukufu, na heshima katika kumumu kwa Yesu Kristo.
Hii, ni kwa sababu imani yenu iweze kujaribiwa, imani ambayo ni ya thamani kuliko dhahabu, ambayo inapotea katika moto ambao hujaribu imani yenu. Hii hutokea ili imani yenu ipate kuzaa sifa, utukufu, na heshima katika ufunuo wa Yesu Kristo.
8 Munamonali ywembe lakini mumpendile, munamonali sayino lakini muamini katika ywembe na mupulaike kweli kweli kwa pula ambayo ipatike utukufu.
Hamjamuona yeye, lakini mnampenda. Hamumuoni sasa, lakini mnaamini katika yeye na mna furaha isiyoweza kuelezeka kwa furaha ambayo imejawa na utukufu.
9 Sayino mwendapokya mwabene matokeo ga imani yino, wokovu wanafsi yinu.
Sasa mnapokea wenyewe matokeo ya imani yenu, wokovu wa nafsi zenu.
10 Manabii butepala na lokia kwa umakini usu wkovu wuno, nusu Neema ambayo yinu.
Manabii walitafuta na kuuliza kwa umakini kuhusu wokovu huu, kuhusu neema ambayo ingekuwa yenu.
11 Bupalite tanga ndila yaku ya wokovu wo isa. Bapalite kae pala tanga muda gani Roho ya Kristo ywa bile nkati yabe abile kalongela nabo namani, yino yabile kaipitya wakati Pabile kaba bakiya mapema husu mateso ga Yesu Kristo na utukufu waupeleke kunkingama.
Walitafuta kujua ni aina gani ya wokovu ambao ungekuja. Walitafuta pia kujua ni muda gani Roho wa Kristo aliye ndani yao alikuwa anazungumza nini nao. Hii ilikua inatokea wakati alipokuwa anawaambia mapema kuhusu mateso ya Kristo na utukufu ambao ungemfuata.
12 Baumukulilwe manabii kwamba babile kamatumukia mamba aga na twenga kwa ajiri yabe bena, ila kwa ajili yinu, simulya kwa mambo aga pitya kwa balu babaleta injili ya Roho mtakatifu ywa tumilwe buka Mbinguni, mambo ambayo hata Malaika bapendi umukulwa kwabe.
Ilifunuliwa kwa manabii kwamba walikua wanayatumikia mambo haya, na si kwa ajili yao wenyewe, bali kwa ajili yenu - masimulizi ya mambo haya kupitia wale wanaoleta injili kwenu kwa njia ya Roho Mtakatifu aliyetumwa kutoka mbinguni, mambo ambayo hata malaika wanatamani kufunuliwa kwake.
13 Kwa njo mutabe iuno yino, kwa malango ginu. Mutame liki katika wasakwinu. Mube na ujasiri woubelikwa kwa neema ya Yaisa kwinu wakati wa wamwau mukulikwa kwa Yesu Kristo.
Kwa hiyo fungeni viuno vya akili zenu. Muwe watulivu katika fikra zenu. Muwe na ujasiri mkamilifu katika neema ambayo italetwa kwenu wakati wa kufunuliwa kwa Yesu Kristo.
14 Kati bana babayuwa, kwane mwitabe mwabone na tamaa mwatikwikingama wakati pamwabile ntupu tanga.
Kama watoto watiifu, msifungwe wenyewe na tamaa ambazo mlizifuata wakati mlipokua hamna ufahamu.
15 Kwanjo kati mwankemite mwabile mtakatifu, na mwenga mube mwatakatifukatika tabia yinu yote maishani.
Lakini kama vile aliyewaita alivyo mtakatifu, nanyi, pia, muwe watakatifu katika tabia yenu yote maishani.
16 kwa njo batiandika “Mube mwatakatifu kwa sababu ata nenga nantakatifu”.
Kwa kuwa imeandkwa, “Iweni watakatifu, kwa sababu Mimi ni mtakatifu.”
17 Na mwana mwakwe matate yulu ywa ukumu kwa haki alinga na kasi ya kila mundu, tutumi muda wa mwanja witu katika unyenyekevu.
Na kama mkiita “Baba” yule ahukumuye kwa haki kulingana na kazi ya kila mtu, tumia muda wa safari yako katika unyenyekevu.
18 Mutangite kwa njo yabile kwa ela, wa dhahabu -li kwa ilebe yai nyamaruka ambayo ititukombwa Buka mutabi ya itu ya kijinga ambayo yatuyi ganilwe na “ttati” bitu.
Mnafahamu kwamba haikuwa kwa fedha au dhahabu - vitu vinavyoharibika- ambavyo mmekombolewa kutoka kwenye tabia zenu za ujinga ambazo mlijifunza kutoka kwa baba zenu.
19 Kwa njo muti kombolekwa kwa miyai ya ishima ya Kristo, na kati Ngondolo ywa bile na kila li dowa.
Lakini mmekombolewa kwa damu ya heshima ya Kristo, kama ya kondoo asiye na hila wala doa.
20 Kristo ate saulikwa kabia ya msingi wa lunia, kwanjo sayeno machuba ga mwiso, muteumukulwa kwinu.
Kristo alichaguliwa kabla ya misingi ya dunia, lakini sasa siku hizi za mwisho, amefunuliwa kwenu.
21 Mumwubilya Nn”ungu pitya ywembe atikumpeya utukufu ili kwamba Imani yinu na ujasiri ube katika Nn”ungu.
Mnamwamini Mungu kupitia yeye, ambaye Mungu alimfufua toka kwa wafu na ambaye alimpa utukufu ili kwamba imani yenu na ujasiri uwe katika Mungu.
22 Muipangite nafsi kwipanga sodi kwa yikita kwinu kweli, kwa dhumuni pendo la kiulongo lyalibile na unyofu, kwa njo mupendane kwa bidii buka pa mwoyo winu.
Mmefanya nafsi zenu kuwa safi kwa utii wa ile kweli, kwa dhumuni la pendo la kidugu lililo na unyofu, hivyo pendaneni kwa bidii toka moyoni.
23 Mubelekwile mora inebile, sio kwa mbeyu yaiaribike, lakini buka kwa mbegu yange aribikea, pitya ukoti na neno lya Nn”ungu lyalijingile. (aiōn g165)
Mmekwisha zaliwa mara ya pili, si kwa mbegu iharibikayo, lakini kutoka katika mbegu isiyoharibika, kupitia uzima na neno la Mungu lililosalia. (aiōn g165)
24 Kwa njo yega yoti ni makapi, na utukufu wake woti katimaluba na makapi, makapi yuma na maluba tumbuka.
Kwa maana “miili yote ni kama majani, na utukufu wake wote ni kama ua la jani. Jani hunyauka, na ua hudondoka,
25 Kwa njo neno la Bwana igala milele”, wono ni ujumbe ambao watebaakiilwa kati injili kwinu. (aiōn g165)
lakini neno la Bwana hubakia milele.” Huu ni ujumbe ambao ulitangazwa kama injili kwenu. (aiōn g165)

< 1 Petro 1 >