< Arumi 1 >

1 Paulo Tarisi waYesu Kirisitu, ywakemilwe panga mtumishi ywa bagulilwe mwanja likewe lya Nnungu.
Paulo, mtumishi wa Yesu Kristo, aliyeitwa kuwa mtume, na kutengwa kwa ajili ya Injili ya Mungu.
2 Alinga likowe lyalibaite zamani pityabkwa manabii bake mumaandiko matakatifu.
Hii ndio ile Injili aliyoiahidi zamani kupitia manabii wake katika maandiko matakatifu.
3 Yaihusu mwana wake lwabelekwimulukolo lwa Daudi kwafano wa yenga.
Ni kuhusu Mwana wake, aliyezaliwa kutoka ukoo wa Daudi kwa jinsi ya mwili.
4 Ywembe atangasilwe mwana wa Nnungu kwa ngupu ya Roho mtakatifu kwa ufunuo wa wafu Yesu Kirisitu Ngwana witu.
Yeye alitangazwa kwa Mwana wa Mungu kwa nguvu ya Roho ya utakatifu kwa ufufuo wa wafu, Yesu Kristo Bwana wetu.
5 Pitia kwa ywembe tupejyilwe upendeleo na utumisi kwa utii wa aminia nkati ya bandu boti, kwa mwanja yalimo lyake.
Kupitia yeye tumepokea neema na utume kwa utii wa imani kati ya mataifa yote, kwa ajili ya jina lake.
6 Nkati ya bandu'bo na mwenga kai mukemilwe mwa ba Yesu Kirisitu.
Kati ya mataifa haya, ninyi pia mmeitwa kuwa wa Yesu Kristo.
7 Barua ye jinu mwa botimwabubile Rumi, mwa mupendilwe na Nnungu, mwa mukemilwe panga mwabandu mwa atakatifu. Neena ibe kasinu, na amani buka kwa Nnungu Tate bitu na Ngwana Yesu Kirisitu.
Barua hii ni kwa wote walioko Rumi, wapendwao na Mungu, walioitwa kuwa watu watakatifu. Neema na iwe kwenu, na amani kutoka kwa Mungu Baba yetu na Bwana Yesu Kristo.
8 Wite, nenda kusukuru Nnungu wangu nkati ya Yesu Kirisitu kwaajli jyinu mwaboti, mana aminia kwinu kwenda hubililwamulunia lwote.
Kwanza, namshukuru Mungu wangu katika Yesu Kristo kwa ajili yenu nyote, kwa sababu imani yenu inahubiriwa katika dunia nzima.
9 Na Nnongo ga shaidi wango, na ywembe ngamtumika kwa mwoyo wango nkati ya Injili ya mwana wake na mwanidumu kutabwa.
Kwa maana Mungu ni shahidi wangu, ambaye ninamtumikia kwa roho yangu katika injili ya Mwana wake, jinsi ninavyodumu katika kuwataja.
10 saa yote nenda loba nkati ya loba kwango kwandela yeyote mwiso wake nipate fanikiwa saa yeno kwa mapendo ga Nnongo kwa isa kasino.
Daima naomba katika sala zangu kwamba kwa njia yoyote nipate mwishowe kuwa na mafanikio sasa kwa mapenzi ya Mungu katika kuja kwenu.
11 mana napenda kumona, lenga nani-nipate kupeya mwenga baadhi ya karama ya mwoyo, mbate kwaimaimalisha.
Maana natamani kuwaona, ili nipate kuwapa ninyi baadhi ya karama za rohoni, nipate kuwaimarisha.
12 Mana nipendi kunipeya mwoyo pamoja pamope na mwee, kwandela ya imani kwa kilammoja winu, jinuna yango.
Yaani, natazamia kutiwa moyo pamoja nanyi, kwa njia ya imani ya kila mmoja wetu, yenu na yangu.
13 Tubwe mwalongo, nipendeli nkewe tangu nyanya, Malaya na chima nende kusulya Isa kasinu, Lakini natikani kilwa mpalimo. Hivi napendiba na matunda kachino Kati mwaibile kwa bandu ba mataifa.
Sasa ndugu, sitaki mkose kufahamu kwamba, mara nyingi nimekusudia kuja kwenu, lakini nimezuiliwa mpaka sasa. Nilitaka hivi ili kuwa na matunda kwenu kama ilivyo pia miongoni mwa watu wa mataifa.
14 Nilongelwa na Wayunani na ageni na bembe, mwerufu nalo.
Nadaiwa na Wayunani na wageni pia, werevu na wajinga.
15 kwa-nyo, kwopenda kwang'o, nenga nimitayari kwilonga Injili kasinu mwenga mubile kwo Roma.
Kwa hiyo, kwa upande wangu, mimi niko tayari kutangaza injili kwenu pia ninyi mlio huko Roma.
16 Maana niboni ya kwako oni Injili, Mana uwezo was Nnongo woleta wokopu kwa kill jwa-aminiya, kwakene myahudi wete na kwa bembe Myunani.
Kwa maana siionei haya injili, kwa kuwa ni uweza wa Mungu uletao wokovu kwa kila aaminiye, kwa Myahudi kwanza na kwa Myunani pia.
17 Mana haki ya Nnongo ibiwazi buka imani hata Imani, Kati mwaba-andike, “Mwene haki atama kwa Imani”.
Kwa maana haki ya Mungu imedhihirishwa kutoka imani hata imani, kama ilivyo andikwa, “Mwenye haki ataishi kwa imani.”
18 Mana ukale was Nnongo ubi wazi baka kunani juyaasi na sambi yoti ya bandu, nayo kwandela ya udhalimu kwi-ibiya kweli.
Maana ghadhabu ya Mungu imedhihirishwa kutoka mbinguni dhidi ya uasi na uovu wote wa watu, ambao kwa njia ya udhalimu huificha kweli.
19 Sababu yayee, ngote ngange za tanga nikilwa juu ya Nnongo kasabi wazi na Nnongo abakiye.
Hii ni kwa sababu, yote yanayoweza kujulikana juu ya Mungu ni wazi kwao. Maana Mungu amewafahamisha.
20 Mana mambo gake kewe ngabonekane kinanoga, angabiki tiwazi buka umbilwa kwa Dunia ngena tanganikwa ilebe pilya kwa ilebe ya umbilwe. mambo gani uwezo wake wangaliyomoka na wa-asili ya Nnongo. namatokeo gake, bandu ba tupu lyo baya. (aïdios g126)
Maana mambo yake yasioonekana vizuri yamekuwa wazi tangu kuumbwa kwa ulimwengu. Yanaeleweka kupitia vitu vilivyoumbwa. Mambo haya ni uwezo wake wa milele na asili ya uungu. Matokeo yake, watu hawa hawana udhuru. (aïdios g126)
21 Asababu yayee, ingawa batabgite kuhusu Nnongo Bantu kinelili jwembe Kati Nnongo, Wala bampelili shukurani. kichongo chake babile apumbapu mumawazo gabe, na mioyo yabeyene ulalo na yayeyilwe lubendo
Hii ni kwa sababu, ingawa walijua kuhusu Mungu, hawakumtukuza yeye kama Mungu, wala hawakumpa shukrani. Badala yake, wamekuwa wapumbavu katika mawazo yao, na mioyo yao yenye ujinga ilitiwa giza.
22 baikemite panga beelevu, kumbe bai alalo.
Walijiita kuwa ni werevu, lakini wakawa wajinga.
23 Bangalabwi utukufu was Nnongo jwa kotoka alabika kwa mfano was kuminyo ya Mundu jwa alabika, na ya kiyuni, na ya ki-inyama bene magulu mane, na yaiumbe yetambala.
Waliubadili utukufu wa Mungu asie na uharibifu kwa mfano wa sura ya binadamu aliye na uharibifu, na ya ndege, ya wanyama wenye miguu minne, na ya viumbe vitambaavyo.
24 kwa-nyo Nnongo alikwaleka baikengame tamaniya kwa mioyo yabeyene kwo-usapu, kwayinga yabe yo fezeheka Kati yabe.
Kwa hiyo Mungu aliwaacha wafuate tamaa za mioyo yao kwa uchafu, kwa miili yao kufedheheshwa baina yao.
25 Na bembe ngabalabwile kweli ya Nnongo-baubuso Naga abudu na kwitumikiya iumbe badala ya mwuumbaji na jwembe gasifilwa milele. Amina. (aiōn g165)
Ni wao walioibadili kweli ya Mungu kuwa uongo, na ambao waliabudu na kutumikia viumbe badala ya Muumbaji, ambaye anasifiwa milele. Amina. (aiōn g165)
26 kwa sababu Yee, Nnongo atikwa leka baikote tamaa yabe ya oni, mana alwawa babe bakulei tumya kwa zamani kwa chill Cha kibile chachoguza zamani.
Kwa sababu hii, Mungu aliwaacha wafuate tamaa zao za aibu, kwa kuwa wanawake wao walibadilisha matumizi yao ya asili kwa kile kilicho kinyume na asili.
27 Nagembe kaie, alalume nembe bagalei matumizi gabe ga zamani kwa alwawa na ngalambu kwa na bene kwa bene. Habaa babile analome babapate na alalome ayabe ambayo gabile Lili na boobapejyilwe azabu yayastaili-lii oba kwabe.
Hali kadhalika, wanaume pia wakaacha matumizi yao ya asili kwa wanawake na kuwakwa na tamaa dhidi yao wenyewe. Hawa walikuwa wanaume ambao walifanya na wanaume wenzao yasiyo wapasa, na ambao walipokea adhabu iliyostahili upotovu wao.
28 sababu bati kana bana Nnongo muhufahamu wabe aliwaleka bakote lunda lwabe lwange faika bapange ikowe ngalonga faika.
Kwa sababu walikataa kuwa na Mungu katika fahamu zao, aliwaacha wafuate akili zao zisizofaa, wafanye mambo yale yasiyofaa.
29 batweli na zuluma boti, tamaniya na ubaya batweli being, bulangana, bulwe, ubochobocho, na kusulya ubaya.
Wamejawa na udhalimu wote, uovu, tamaa na ubaya. Wamejawa na wivu, uuaji, ugomvi, udanganyifu, na nia mbaya.
30 kaibembe abai benda kopekeana, hata apindo babe ebayowa lii.
Wao pia ni wasengenyaji, wasingiziaji, na wenye kumchukia Mungu. Wenye vurugu, kiburi, na majivuno. Wao ni watunga mabaya, na wasiotii wazazi wao.
31 Bembe hata tunda ntupo, hata ba-aminika lii, upendo wa samani ntupu. hata huruma ntupu.
Wao hawana ufahamu; wasioaminika, hawana mapenzi ya asili, na wasio na huruma.
32 Batabgite kanuni ya Nnongo bandu babapanga makowe go bapalikwa waa, Ila sio babapanga bai, hata babayeketyana na balobaba panga makowe gaa.
Wanaelewa kanuni za Mungu, ya kwamba watu watendao mambo ya jinsi hiyo wanastahili kifo. Lakini si tu wanafanya mambo hayo, wao pia wanakubaliana na wale wanaofanya mambo hayo.

< Arumi 1 >