< Agalatia 2 >

1 Baada ya miaka komi ni ina nayei kae Yerusalem pamope ni Barnaba. Nampotwi na Tito pamope na nee.
Baada ya miaka kumi na nne nilienda tena Yerusalemu pamoja na Barnaba. Pia nilimchukua Tito pamoja nami.
2 Nayei kwasababu ya Nnongo atibonekana kwamba napalikwe yenda. nabekite mnonge yabe injili yanitangazile kwa bandu ba mataifa. (Lakini nalongei kwa siri kwa wabile iyongozi muhimu) napangite nyaa hakikisha kwamba nabutukite lii, ama natibutuka bure.
Nilienda kwa sababu Mungu alijidhihirisha kwangu kwamba nilipaswa kwenda. Niliweka mbele yao Injili ambayo niliitangaza kwa watu wa mataifa. (Lakini niliongea kwa siri kwa waliosemekana kuwa viongozi muhimu). Nilifanya hivi ili kuhakikisha kwamba nilikuwa sikimbii, au nilikimbia bure.
3 Lakini hata Tito, abile pamope nane, yabile myunani, alazimishwe inilwa.
Lakini hata Tito, aliyekuwa pamoja nami, aliyekuwa Myunani, alilazimishwa kutahiriwa.
4 Jambo le lapite kwa sababu nongo wa ubocho yaichile kwa siri peleka uhuru twabile papalite panga twee tupangilwe atumwa sheria.
Jambo hili lilitokea kwa sababu ya ndugu wa uongo waliokuja kwa siri kupeleleza uhuru tuliokuwa nao katika Kristo Yesu. Walitamani kutufanya sisi kuwa watumwa wa sheria.
5 Twapejilwe hata kwa saa jimo lenga kwamba injili ya kweli hii gali bila garambuka kwinu.
Hatukujitoa kuwatii hata kwa saa moja, ili kwamba injili ya kweli ibaki bila kubadilika kwenu.
6 Lakini ywembe yabaite abile kiongozi bapiite lii kilebe kwango nee kilebe chaba kipangite ndopo maana kwango. Nnongo akani upendelelo kwa bandu.
Lakini wale waliosemwa kuwa walikuwa viongozi hawakuchangia chochote kwangu. Chochote walichokuwa wakikifanya hakikuwa na maana kwangu. Mungu hakubali upendeleo wa wanadamu.
7 Badala ya ke, babweni kwamba niaminilwe tangaza injili kwa ba inilwe lii. lenga kama Petro atangaze injili yango kwa bainilwe.
Badala yake, waliniona kwamba nimeaminiwa kuitangaza injili kwa wale ambao hawakutahiriwa. Ilikuwa kama Petro atangaze injili kwa waliotahiriwa.
8 Kwa maana Nnongo, apangite kazi ndani ya Petro tubwe cha utumwe kwa bainilwe, ende apangite kazi ndani yango kwa bandu ba'mataifa.
Kwa maana Mungu, aliyefanya kazi ndani ya Petro kwa ajili ya utume kwa wale waliotahiriwa, pia alifanya kazi ndani yangu kwa watu wa mataifa.
9 Wakati wa Yakobo, Kefa, ni Yohana, bati tanganikwa kua bati chenga kanisa, batangite neema ya mbeilwe nee, batitupokiya katika ushirika nenga na Barnaba. Twapangite nyaa lenga kwamba tuyende kwa bandu bamataifa, lenga kwamba baweze yenda kwa balo bainilwe.
Wakati Yakobo, Kefa, na Yohana, waliotambulika kuwa waliojenga Kanisa, walifahamu neema niliyopewa mimi, walitupokea katika ushirika mimi na Barnaba. Walifanya hivi ili kwamba twende kwa watu wa mataifa, na ili kwamba waweze kwenda kwa wale waliotahiriwa.
10 Batitupala twee kuhakombokiya masikini nenga mbalae panga kikoe Kati cheno.
Pia walitutaka sisi kuwakumbuka masikini. Mimi pia nilikuwa natamani kufanya jambo hili.
11 Natikumkanikia wakati Kefa paichile Antiokia, waziwazi kwa sababu atinikosea.
Wakati Kefa alipokuja Antiokia, nilimpinga waziwazi kwa sababu alikuwa amekosea.
12 Kabla ya bandu kadhaa hicho boka kwa Yakobo, Kefa above andelyaa pamope na bandu bamataifa. Ende yogopa bandu ambao Bapala tohara.
Kabla ya watu kadhaa kuja kutoka kwa Yakobo, Kefa alikuwa akila pamoja na watu wa mataifa. Lakini hawa watu walipokuja, aliacha na kuondoka kutoka kwa watu wa mataifa. Alikuwa anaogopa watu ambao walihitaji tohara.
13 onyonyo Bayahudi benge bati yangabanika na unafiki pamope na Kefa. Matokeo gake yabile kwamba hata Barnaba atitolekwa na ulau wabe.
Vilevile Wayahudi wengine waliungana na unafiki huu pamoja na Kefa. Matokeo yake yalikuwa kwamba hata Barnaba alichukuliwa na unafiki wao.
14 Lakini panibweni kwamba babile bakengama lii injili ya kweli, natikumbakia Kefa mnonge yabe boti, kama mwenga ni Ayahudi lakini mutuma kwa tabia ya bandu ba mataifa badala ya tabia za kiyahudi.”
Lakini nilipoona kwamba walikuwa hawafuati injili ya kweli, nilimwambia Kefa mbele yao wote, “Kama ninyi ni Wayahudi lakini mnaishi tabia za watu wa mataifa badala ya tabia za Kiyahudi, kwa nini mnawalazimisha watu wa mataifa kuishi kama Wayahudi?”
15 Twenga twabile Ayahudi kwa belekwa na siyo “bandu ba mataifa benye sambi.”
Sisi ambao ni Wayahudi kwa kuzaliwa na siyo “Watu wa mataifa wenye dhambi “
16 Mutange wite ntopo yabalangiliwa haki kwa matendo ya sheria. Badala yake, tubulangiliwa haki kwa imani nkati ya Yesu Kristo. Twaichile kwa imani ndani ya Kristo Yesu lenga kwamba tubalangiliwa haki kwa imani ya Kristo na siyo kwa itendo ya sheria. Kwa matendo ya sheria ntopo mwili balanga haki.
fahamu kwamba hakuna anayehesabiwa haki kwa matendo ya sheria. Badala yake, wanahesabiwa haki kwa imani ndani ya Yesu Kristo. Tulikuja kwa imani ndani ya Kristo Yesu ili kwamba tunahesabiwa haki kwa imani ndani ya Kristo na siyo kwa matendo ya sheria. Kwa matendo ya sheria hakuna mwili utakao hesabiwa haki.
17 Lakini kama tunda kumpala mnongokwe kutubalangia haki ndani ya Kristo, tujikoliya bene pia tubi bene dhambi, je Kristo atipanga nmanda wa dhambi? nyonya lii!
Lakini kama tunapomtafuta Mungu kwa kutuhesabia haki ndani ya Kristo, tunajikuta wenyewe pia kuwa wenye dhambi, je Kristo alifanywa mtumwa wa dhambi? Siyo hivyo!
18 Maana kama chenga tegemea lango mnani na beka sheria, tegemeo ambalo natikuliboya, nando kuilayana mwene kwa tekwana sheria.
Maana kama nikijenga tegemeo langu juu ya kutunza sheria, tegemeo ambalo nilikwisha liondoa, najionesha mwenyewe kuwa mvunja sheria.
19 Mbetiya sheria natiwa kwa sheria, kwa hiya nipalikwa tama kwa ajili ya Nnongo.
Kupitia sheria nilikufa kwa sheria, kwa hiyo napaswa kuishi kwa ajili ya Mungu.
20 Natibalangilwa pamope ni Kristo. Nenga lii nitama, bali yembe Kristo atama mkati yango maisha yanitama nkati yango maisha yanitama katika mwili nitama kwa imani ndani ya mwana wa Nnongo, atikanipenda na kwa ajili yango.
Nimesulubiwa pamoja na Kristo. Si mimi tena ninayeishi, bali Kristo anaishi ndani yangu. Maisha ninayoishi katika mwili ninaishi kwa imani ndani ya Mwana wa Mungu, ambaye alinipenda na akajitoa kwa ajili yangu.
21 Mpekani uruma ya Nnongo, maana mana itei haki nibile kupitia sheria bai Kristo kabahawire bure.
Siikani neema ya Mungu, maana kama haki ilikuwepo kupitia sheria, basi Kristo angekuwa amekufa bure.

< Agalatia 2 >