< Agalatia 6 >

1 kinanunanga abile mundu atiboyalwa katika uovu, mwenga mwabile wa kiroha, mpalikwa kumkereboya mnunango katika roho ya upole. kono mulinge bene ili msijatibiwe.
Ndugu, ikiwa mtu amekamatwa katika uovu, ninyi mlio wa kiroho, mnawiwa kumrejesha huyo ndugu katika roho ya upole. Huku mkijiangalia wenyewe ili msijaribiwe.
2 mkipotoleana ingombo na kwa hiyo mtaikamilisha sheria ya kristo.
Mchukuliane mizigo, na kwa hiyo mtaikamilisha sheria ya Kristo.
3 mana mundu yembe aiboba bora wakti si kilebe mwene cha kichake cha kuipania,
Ikiwa mtu yeyote anajiona ni bora wakati si kitu, anajidanganya mwenyewe.
4 bila yakuilenganikia mwene na mundu yenge.
Kila mmoja na aipime kazi yake. Kisha atakuwa na kitu mwenyewe peke yake cha kujisifu, bila kujilinganisha mwenyewe na mtu yeyote.
5 maana kila mundu atula mchingo wa kemwene.
Maana kila mtu atachukua mzigo wake mwenyewe.
6 Mundu yafundishite likiwe lazima anmakie yanamnowa yoti mwalimu wake.
Mtu aliyefundishwa neno lazima amshirikishe mazuri yote mwalimu wake.
7 kanomkongelwe mnongo ataniliwalili. kila apandacho mundu ndicho chauna pia.
Msidanganyike. Mungu hadhihakiwi. Kila apandacho mtu, ndicho atakachovuna pia.
8 kila yapanda mbeya katika asili yake ya dhambi auna akati wa milele boka kwa roho. mana mundu yembe aibona bora wakati si kilebe, andakwikonga mwene. kila yuma na alenge kazi yake lengo mwene chakukilumba kilebe mwene cha kichake cha kuipania, bila yakuilenganikia mwene na mundu yenge. (aiōnios g166)
Kila apandaye mbegu katika asili yake ya dhambi atavuna uharibifu, lakini yeye apandaye mbegu katika Roho, atavuna uzima wa milele kutoka kwa Roho. (aiōnios g166)
9 kunauchoke katika panga makoe mema maana kwa wakati wake mema maana kwa wakati wake tupalauna manatukatike lii tamaa.
Tusichoke katika kutenda mema, maana kwa wakati wake tutavuna ikiwa hatutakata tamaa.
10 hivyo bisi wakti twatukolana nafasi tupange mena kila yumo. tupange mena zaidi has kwa walio mkati ya imani.
Hivyo basi, wakati tutakapokuwa na nafasi, tutende mema kwa kila mmoja. Tutende mema zaidi hasa kwa walio ndani ya imani.
11 mulinge ugolo wa barua yaniandike kwa lubako langanamwene.
Angalieni ukubwa wa barua nilizowaandikia kwa mkono wangu mwenyewe.
12 balo banalapanga mema kwa kulinga mwili ngababalazimisha inilwa hapanganyo kana banjingi mmateso ga wakristo munsalabu.
Wale wanaotaka kufanya mema kwa mtazamo wa mwili ndiyo wenye kuwalazimisha mtahiriwe. Wanafanya hivyo kwa sababu wasiingie kwenye mateso ya msalaba wa Kristo.
13 maana abo babataililwe bene bakamua lii sheria badala yake bapalamwe muinwe.
Maana hata hao waliotahiriwa wenyewe hawaishiki sheria. Badala yake wanataka ninyi mtahiriwe ili waweze kujivunia miili yenu.
14 kanaipitelili nikaipuna isipokuwa kwa msalaba wa kwona witu yesu kristo katika ywebe dunia atisulubiwa kwaajili yako na dunia kwa kuwa nijalilili inwa ama kotoka inwa panga ni kilebe.
Isitokee nikajivuna isipokuwa kwa msalaba wa Bwana wetu Yesu Kristo. Ni katika yeye ulimwengu umesulubiwa kwangu na mimi katika ulimwengu.
15 badala yake lubeleko lwayambe ni muhimu.
Kwa kuwa haijalishi kutahiriwa au kutokutahiriwa kuwa ni kitu. Badala yake uzao mpya ni muhimu.
16 kwa boti balama kwa kanuii, babe na amai rongo ibekunani yabe na kunanu ya israli na nongo.
Kwa wote wenye kuishi kwa kanuni hii, wawe na amani na rehema iwe juu yao wote, na juu ya Israel ya Mungu.
17 boka leno mundu yeyote kanaania ngaishe, maana nipotwite alama ya yesu muyega
Tangu sasa mtu yeyote asinitaabishe, maana nimebeba chapa za Yesu mwilini mwangu.
18 yango. neema ya ngwana witu yesu kristo ibe na roho yetu mnunango Amina
Neema ya Bwana wetu Yesu Kristo iwe na roho zenu, ndugu. Amina.

< Agalatia 6 >