< 2 Akoritho 1 >

1 Paulo, mtume wa Kristo Yesu kwa mapenzi hga Nnongo, ni Timotheo nnongo witu, kwa likanisa lya Nnongo lyalibile Korintho, na kwa baumini bote babile mu'nkoa wote wa Akaya.
Paulo, mtume wa Kristo Yesu kwa mapenzi ya Mungu, na Timotheo ndugu yetu, kwa kanisa la Mungu lililoko Korintho, na kwa waumini wote walioko katika mkoa wote wa Akaya.
2 Neema na ibe kwinu na amani boka kwa Nnongo Tate yitu ni Ngwana Yesu kristo.
Neema na iwe kwenu na amani kutoka kwa Mungu Baba yetu na Bwana Yesu Kristo.
3 Na asifiwe Nnongo na Tate wa Ngwana Yesu Kristo. Ywembe ni Tate wa rehema na Nnongo wa faraja yote.
Na asifiwe Mungu na Baba wa Bwana Yesu Kristo. Yeye ni Baba wa rehema na Mungu wa faraja yote.
4 Nnongo utufariji twenga katika mateso yitu yote, ili panga tyweze kuafariji balo babile katika mateso. Tunaafariji wenge kwa faraja yeyelo ambayo Nnongo aitumile kutufariji twenga.
Mungu hutufariji sisi katika mateso yetu yote, ili kwamba tuweze kuwafariji wale walio katika mateso. Tunawafariji wengine kwa faraja ileile ambayo Mungu alitumia kutufariji sisi.
5 Kwa kuwa kati ya mateso ga Kristo uongezeka kwa ajili yitu, nyonyonyo faraja yitu uongezeka pitya Kristo.
Kwa kuwa kama vile mateso ya Kristo huongezeka kwa ajili yetu, vile vile faraja yetu huongezeka kupitia Kristo.
6 Lakini kati twaataabishwa, ni kwa ajili ya faraja yinu ni wokovu winu. Na mana twafarijiwa, ni kwa ajili ya faraja yinu. Faraja yinu panga kazi kikamilifu pamwashiriki mateso kwa uvumulivu kati twenga kae twateseka.
Lakini kama tunataabishwa, ni kwa ajili ya faraja yenu na wokovu wenu. Na kama tunafarijiwa, ni kwa ajili ya faraja yenu. Faraja yenu inafanya kazi kikamilifu mnaposhiriki mateso kwa uvumilivu kama sisi pia tunavyoteseka.
7 Na ujasiri witu nnani yinu ni thabiti. Tutangite panga kati ya ambavyo mwatishiriki mateso, nyonyonyo mwatishiriki faraja.
Na ujasiri wetu juu yenu ni thabiti. Tunajua kwamba kama vile ambavyo mnashiriki mateso, vile vile mnashiriki faraja.
8 Kwa kuwa tupala kwaa mwenga muwe alalo, alongo, kuhusu matatizo yatubile nayo kolo Asia. Twationewa zaidi ya twatiweza potwa, kati panga tubile kwaa ni litumaini lya tama kae.
Kwa kuwa hatutaki ninyi muwe wajinga, ndugu, kuhusu matatizo tuliyokuwa nayo huko Asia. Tulionewa zaidi ya vile tuwezavyo kubeba, kana kwamba hatukuwa hata na tumaini la kuishi tena.
9 Kweli twabile ni hukumu ya kiwo nnani yitu. Lakini yoo yabile ni kutupanga twenga tubeke kwaa litumaini nnani yitu wene, badala yake tubeke litumaini katika Nnongo, ywafufua bandu.
Kweli, tulikuwa na hukumu ya kifo juu yetu. Lakini hiyo ilikuwa ni kutufanya sisi tusiweke tumaini juu yetu wenyewe, badala yake tuweke tumaini katika Mungu, afufuaye wafu.
10 Ywatulopwile twenga boka ago maafa ga mauti, na alowa kutulopwa kae. Tubekite ujasiri witu katika ywembe panga alowa kutulopwa kae.
Alituokoa sisi kutoka hayo maafa ya mauti, na atatuokoa tena. Tumeweka ujasiri wetu katika yeye ya kwamba atatuokoa tena.
11 Alowa panga nyoo kati ya mwenga yamwatitusaidia twenga kwa maombi ginu. Nga nyoo baingi baloa toa shukrani kwa niaba yitu kwa ajili ya upendeleo wa nema tupyilwe twenga pitya maombi ya baingi.
Atafanya hivi kama vile ninyi pia mtusaidiavyo kwa maombi yenu. Hivyo wengi watatoa shukurani kwa niaba yetu kwa ajili ya upendeleo wa neema tuliyopewa sisi kupitia maombi ya wengi.
12 Twaipunia lee: ushuhuda wa dhamiri yitu. kwa mana ni katika nia sapi ni usapi wa Nnongo panga twatiyenda wene katika dunia. Tupangite nyoo hasa ni mwenga, na katika hekima kwaa ya ulimwengu, lakini badala yake ni pitya neema ya Nnongo.
Tunajivunia hili: ushuhuda wa dhamiri yetu. Kwa kuwa ni katika nia safi na usafi wa Mungu kwamba tulienenda wenyewe katika dunia. Tumefanya hivi hasa na ninyi, na sio katika hekima ya ulimwengu, lakini badala yake ni katika neema ya Mungu.
13 Twaandikiya kwaa chochote ambacho muweza kwaa kukisoma au elewa. Nibile na ujasiri
Hatuwaandikii chochote ambacho hamwezi kukisoma au kuelewa. Ninaujasiri
14 panga kwa sehemu muyomwile kutuyowa. Nibile ni ujasiri katika lisoba lya Ngwana Yesu twalowa sababu yinu kwa ajili ya kiburi chinu, kati yaa mwamubile kwitu.
kwamba kwa sehemu mumekwisha kutuelewa. Na ninaujasiri kwamba katika siku ya Bwana Yesu tutakuwa sababu yenu kwa ajili ya kiburi chenu, kama vile mtakavyokuwa kwetu.
15 Kwa mana nibile na ujasiri kuhusu lee, nipala isa kwinu kwanza, ili panga muweze pakya faida ya tembelewa mara ibele.
Kwa sababu nilikuwa na ujasiri kuhusu hili, nilitaka kuja kwenu kwanza, ili kwamba muweze kupokea faida ya kutembelewa mara mbili.
16 Nibile najiandaa kubatembelea kae wakati wakuyenda Makedonia. Kae nipala isa kubatembelea kae muda nakerebuka boka Makedonia, na boka po mwenga kunituma nenga wakati niyenga Uyahudi.
Nilikuwa napanga kuwatembelea wakati nikielekea Makedonia. Tena nilitaka kuwatembelea tena wakati nikirudi kutoka Makedonia, na kisha ninyi kunituma mimi wakati nikielekea Uyahudi.
17 Panibile nawasa namna yee, je nibile nasitasita? Je naandaa nakowe lingana na viwango ya bandu, ili panga nibaye, “Eloo, eloo” na Hapana, hapana” kwa muda umo?
Nilipokuwa nafikiria namna hii, je, nilikuwa nasitasita? Je ninapanga mambo kulingana na viwango vya kibinadamu, ili kwamba niseme “Ndiyo, ndiyo” na “Hapana, hapana” kwa wakati mmoja?
18 Lakini kati Nnongo ya abile mwaminifu, twabaya kwaa yoti “Eloo” na “Hapana.'
Lakini kama vile Mungu alivyo mwaminifu, hatusemi vyote “Ndiyo” na “Hapana.”
19 Kwa kuwa mwana wa Nnongo, Yesu Kristo, ywabile Silvano, Timotheo ni nenga twabile twantangaza nkati yinu, abile kwaa “Eloo” na “Hapana.” Badala yake, ywembe wakati woti ni “Eloo.”
Kwa kuwa mwana wa Mungu, Yesu Kristo, ambaye Silvano, Timotheo na mimi tulimtangaza miongoni mwenu, siyo “Ndiyo” na “Hapana.” Badala yake, yeye wakati wote ni “Ndiyo.”
20 Kwa mana ahadi zoti za Nnongo ni “Eloo” katika ywembe. Nga nyo kae pitya ywembe twabaya 'Amina” kwa utukufu wa Nnongo.
Kwa kuwa ahadi zote za Mungu ni “Ndiyo” katika yeye. Hivyo pia kupitia yeye tunasema “Amina” kwa utukufu wa Mungu.
21 Nambeambe Nnongo ywaatuthibitisha twenga pamope ni mwenga katika Kristo, nga atutumile twenga.
Sasa ni Mungu ambaye hututhibitisha sisi pamoja nanyi katika Kristo, na alitutuma sisi.
22 Abekitea muhuri nnani yitu na kutupeya Roho katika mioyo yitu kati dhamana ya chelo chabile alowa kutupeya baadae.
Aliweka muhuri juu yetu na alitupa Roho katika mioyo yetu kama dhamana ya kile ambacho angetupatia baadaye.
23 Badala yake, namloba Nnongo anishuhudie nenga panga sababu yanipangile niise kwaa Korintho panga nibaelemee kwaa mwenga.
Badala yake, namsihi Mungu kunishuhudia mimi kwamba sababu iliyonifanya nisije Korintho ni kwamba nisiwalemee ninyi.
24 Ayee ibile kwaa sababu twajaribu dhibiti jinsi imani yinu yaipalikwa kuwa, Badala yake, tupanga pamope ni mwenga kwa ajili ya puraha yinu, kati yamuyemite katika imani yinu.
Hii sio kwa sababu tunajaribu kudhibiti jinsi imani yenu inavyotakiwa kuwa. Badala yake, tunafanya pamoja nanyi kwa ajili ya furaha yenu, kama mnavyosimama katika imani yenu.

< 2 Akoritho 1 >