< 2 Akoritho 3 >

1 Je, tutumbwile kuisifia bene kae? Tuhitaji kwaa barua ya mapendekezo kwinu au boka kwinu, kati baadhi ya bandu, je twahitaji?
Je, tumeanza kujisifia wenyewe tena? Hatuhitaji barua ya mapendekezo kwenu au kutoka kwenu, kama baadhi ya watu, je twahitaji?
2 Mwenga mwabene ni barua yitu ya mapendekezo, yaiandikilwe mu'mioyo yitu, yaiyowanika na kusomwa na bandu bote.
Ninyi wenyewe ni barua yetu ya mapendekezo, iliyoandikwa kwenye mioyo yetu, inayojulikana na kusomwa na watu wote.
3 Na mwaonesha panga mwenga ni barua boka kwa Kristo, yaitolewa ni twenga, iandikilwe na wino kwaa ila kwa Roho wa Nnongo ywabile nkoto. Iandikilwe kwaa nnani ya vibao ya maliwe, ila nnani ya vibao vya mioyo ya bandu.
Na mnaonesha kwamba ninyi ni barua kutoka kwa Kristo, iliyotolewa na sisi. Iliandikwa siyo kwa wino bali kwa Roho wa Mungu aliye hai. Haikuandikwa juu ya vibao vya mawe, bali juu ya vibao vya mioyo ya wanadamu.
4 Na wolo nga ujasiri tubile nao katika Nnongo pitya Kristo.
Na huu ndiyo ujasiri tulio nao katika Mungu kupitia Kristo.
5 Twajiamini kwaa wabene kwa kudai chochote kati boka kwitu. Badala yake, kujiamini kwitu kwaboka kwa Nnongo.
Hatujiamini wenyewe kwa kudai chochote kama kutoka kwetu. Badala yake, kujiamini kwetu kunatoka kwa Mungu.
6 Ni Nnongo ywabile atupangite tuweze pangika atumishi wa liagano lyayambe. Ayee nga liagano labile kwaa lya barua ila ni lya Roho. Kwa kuwa barua ubulaga, lakini roho yatoa ukoto.
Ni Mungu ambaye alitufanya tuweze kuwa watumishi wa agano jipya. Hili ni agano sio la barua bali ni la Roho. Kwa kuwa barua huua, lakini roho inatoa uhai.
7 Nambeambe kazi ya kiwo itichongwa katika herufi nnani ya maliwe iisile kwa namna ya utukufu panga bandu ba Israeli balilinga kwaa bene ila pitya minyo ga Musa. Ayee nga sababu ya utukufu wa minyo gake, utukufu ambao wabile wafifia.
Sasa kazi ya kifo iliyokuwa imechongwa katika herufi juu ya mawe ilikuja kwa namna ya utukufu kwamba watu wa Israeli hawakuangalia moja kwa moja kwenye uso wa Musa. Hii ni kwa sababu ya utukufu wa uso wake, utukufu ambao ulikuwa unafifia.
8 Je, kazi ya Roho ilowa kuwa kwaa na utukufu muno?
Je, kazi ya Roho haitakuwa na utukufu zaidi?
9 Kwa kuwa kati huduma ya hukumu ibile na utukufu, ni mara ilenga zaidi huduma ya haki huzidi muno katika utukufu!
Kwa kuwa kama huduma ya hukumu ilikuwa na utukufu, ni mara ngapi zaidi huduma ya haki huzidi sana katika utukufu!
10 Ni kweli panga, chelo chakipangilwe utukufu kwanza kibile kwaa utkufu kae katika heshima yee, kwa sababu ya utukufu wanansima.
Ni kweli kwamba, kile kilichofanywa utukufu kwanza hakina utukufu tena katika heshima hii, kwa sababu ya utukufu unaouzidi.
11 Kwa kuwa kati chelo ambacho chabile chapeta chabile ni utukufu, ni kwa kiasi gani muno chelo ambacho ni chakudumu kibile na utukufu!
Kwa kuwa kama kile ambacho kilikuwa kinapita kilikuwa na utukufu, ni kwa kiasi gani zaidi kile ambacho ni cha kudumu kitakuwa na utukufu!
12 Kwa kuwa twajiamini eyo, tubile ni ujasiri muno.
Kwa kuwa tunajiamini hiyo, tunaujasiri sana.
13 Tubile kwaa kati Musa, ywabekite utaji nnani ya uso bake, ili panga bandu ba Israeli baweze kwaa lola moja kwa moja mu'mwisho wa utukufu ambao ubile watiboka.
Hatuko kama Musa, aliyeweka utaji juu ya uso wake, ili kwamba watu wa Israel wasiweze kuangalia moja kwa moja kwenye mwisho wa utukufu ambao ulikuwa unatoweka.
14 Lakini malango gabe gatabilwe. Hata mpaka lisoba lee utaji wowolo bado ulekilwe nnani ya usomaji wa liagani lya kale. Ibekilwe kwaa wazi, kwa sababu ni katika Kristo kichake iondolewa kutalu.
Lakini fahamu zao zilikuwa zimefungwa. Hata mpaka siku hii utaji uleule bado unabaki juu ya usomaji wa agano la kale. Haijawekwa wazi, kwa sababu ni katika Kristo pekee inaondolewa mbali.
15 Lakini hata leno, wakati wowote Musa asomwapo, utaji utama nnani ya mioyo yabe.
Lakini hata leo, wakati wowote Musa asomwapo, utaji hukaa juu ya mioyo yao.
16 Lakini mundu paakeleka kwa Ngwana, utaji ulowa boka.
Lakini mtu anapogeuka kwa Bwana, utaji unaondolewa.
17 Nambeambe Ngwana ni Roho. Pabile ni Roho wa Ngwana, kubile ni uhuru.
Sasa Bwana ni Roho. Palipo na Roho wa Bwana, kuna uhuru.
18 Nambeambe twenga twabote, pamope ni minyo zibile kwaa bekewa utaji, ubona utukufu wa Ngwana. Twabadilishwa nkati ya muonekano wowolo wa utukufu boka shahada jimo ya utukufu yenda yenge, kati yaibile kwa Ngwana, ambaye ni Roho.
Sasa sisi sote, pamoja na nyuso zisizo wekewa utaji, huona utukufu wa Bwana. Tunabadilishwa ndani ya muonekano uleule wa utukufu kutoka shahada moja ya utukufu kwenda nyingine, kama ilivyo kutoka kwa Bwana, ambaye ni Roho.

< 2 Akoritho 3 >