< 1 Akoritho 13 >

1 Tubaye kuwa nilongela kwa lugha ya bandu ni za malaika. Lakini kati nibile kwaa ni upendo, nibile kati shaba yailela au upatu wauvuma.
Tuseme kwamba ninanena kwa lugha za wanadamu na za malaika. Lakini kama sina upendo, nimekuwa shaba iliayo au upatu uvumao.
2 Ni kati nibile na karama ya unabii ni malango ga kweli yaibonekana kwaa ni maarifa, ni mana nibile na imani ya kuhamisha kitombe. Lakini mana itei nibile kwaa ni upendo, nenga na kilebe kwaa.
Na kwamba nina karama ya unabii na ufahamu wa kweli zilizofichika na maarifa, na kwamba ninayo imani ya kuhamisha milima. Lakini ikiwa sina upendo, mimi si kitu.
3 Na tubaye kuwa niatoa milki yango yoti ni kubalisha maskini, ni mana nalowa kutoa yega yango ili nisonywe ni mwoto. Lakini mana nibile kwaa ni upendo, ifaika kwaa.
Na tuseme kwamba ninatoa milki yangu yote na kuwalisha masikini, na kwamba ninautoa mwili wangu ili nichomwe moto. Lakini kama sina upendo, hainifaidii kitu.
4 Upendo uvumiliya na hufadhili. Upendo ujisifu kwaa
Upendo huvumilia na hufadhili. Upendo haujisifu au kujivuna. Hauna kiburi
5 au kuipuna. Ubile kwaa ni kiburi au ukorofi. Upala kwaa makowe gake, ubona kwaa uchungu haraka, wala ubalanga kwaa mabaya.
au ukorofi. Hautafuti mambo yake, hauoni uchungu haraka, wala hauhesabu mabaya.
6 Upuraia kwaa udhalimu. Badala yake, upuraika mu'kweli.
Haufurahii udhalimu. Badala yake, hufurahi katika kweli.
7 Upendo hupumiliya makowe goti; uaminiya makowe gote, ubile ni ujasiri katika makowe yote, ni ustahimili makowe gote.
Upendo huvumilia mambo yote; huamini mambo yote, una ujasiri katika mambo yote, na hustahimili mambo yote.
8 Upendo ukoma kwaa. Mana itei kwabile ni unabii, wote walowa peta. Mana itei kwabile ni lugha, yalowa koma. Mana itei kwabile ni maarifa, yalowa peta.
Upendo haukomi. Ikiwa kuna unabii, wote utapita. Ikiwa kuna lugha, zitakoma. Ikiwa kuna maarifa, yatapita.
9 Kwa kuwa tutangite kwa sehemu ni twapanga unabii kwa sehemu.
Kwa kuwa tunajua kwa sehemu na tunafanya unabii kwa sehemu.
10 Lakini mana iisile yelo yaibile kamili, yelo yaibile kwaa kamili yapeta.
Lakini ijapo ile iliyo kamili, ile isiyo kamili itapita.
11 Panibile nchunu, nibayite kati mwana nchunu, natiwasa kati mwana nchunu, natiamua kati mwana nchunu. Panibile mundu nkolo, niibekite kutalu ga mwana nchunu.
Nilipokuwa mtoto, nilisema kama mtoto, nilifikiri kama mtoto, niliamua kama mtoto. Nilipokuwa mtu mzima, niliweka mbali nami mambo ya kitoto.
12 Kwa mana nambeambe twabona kati kwa kioo, kati sura mulibendo, lakini muda wolo twalowa bona minyo kwa minyo. Nambeambe nitangite kwa sehemu, lakini muda wolo nitangite muno kati nenga yaniyowanike muno.
Kwa kuwa sasa tunaona kama kwa kioo, kama sura gizani, lakini wakati ule tutaona uso kwa uso. Sasa ninajua kwa sehemu, lakini wakati ule nitajua sana kama na mimi ninavyojulikana sana.
13 Lakini nambeambe makowe aga matatu gatidumu: imani, tumaini lyaisa, ni upendo. Lakini lyalibile likolo zaidi ya aga ni upendo.
Lakini sasa mambo haya matatu yanadumu: imani, tumaini lijalo, na upendo. Lakini lililo kuu zaidi ya haya ni upendo.

< 1 Akoritho 13 >