< 1 Akoritho 12 >

1 Kuhusu karama ya mu'roho, ainja ni alombo bango nipala kwaa mkose tanga.
Kuhusu karama za rohoni, kaka na dada zangu sitaki mkose kufahamu.
2 Mutangite kuwa pamubile apagani mukengamine ni kuongozwa nayo.
Mwajua ya kuwa mlipokuwa wapagani mliongozwa kufuata sanamu zisizoongea, kwa njia zozote mliongozwa nazo.
3 Kwa nyoo, nipala muitange kuwa ntopo yeyote ywalongela kwa Roho wa Nnongo kabaya”Yesu atilaanilwa.” Ntopo yeyote ywabaya, “Yesu ni Ngwana,” ila katika Roho mpeletau.
Kwa hiyo, nataka mfahamu kwamba hakuna yeyote anenaye kwa Roho wa Mungu akisema, “Yesu amelaaniwa.” Hakuna yeyote atakayesema, “Yesu ni Bwana,” isipokuwa katika Roho Mtakatifu.
4 Bai kwabile ni karama mbalembale, ila Roho ni ywembe yumo.
Basi kuna karama tofauti tofauti, bali Roho ni yeye yule.
5 Ni kwabile ni huduma mbalembale, ila Ngwana ni ywembe yumo.
Na kuna huduma tofauti tofauti, bali Bwana ni yeye yule.
6 Ni kwabile ni aina mbalembale ya kazi, lakini Nnongo ni ywembe yumo ywapanga kazi zote katika boti.
Na kuna aina mbalimbali za kazi, lakini Mungu ni yeye yule azitendaye kazi zote katika wote.
7 Bai kila yumo upewa ufunuo wa Roho kwa faida ya wote.
Basi kila mmoja hupewa ufunuo wa Roho kwa faida ya wote.
8 Maana mundu yumo apeilwe ni Roho neno lya hekima, ni ywenge neno lya maarifa kwa Roho yoo yolo.
Maana mtu mmoja amepewa na Roho neno la hekima, na mwingine neno la maarifa kwa Roho yule yule.
9 Kwa ywenge umpeya imani kwa Roho ywembe yolo, ni kwa ywenge karama ya ponya kwa Roho yumo.
Kwa mwingine humpa imani kwa Roho yeye yule, na kwa mwingine karama ya uponyaji kwa Roho mmoja.
10 Kwa ywenge matendo ga ngupu, ni ywenge unabii. Na kati ywenge uwezo wa yowa Roho, ywenge aina mbalembale ya lugha, ni kwa ywenge tafsiri ya lugha.
Kwa mwingine matendo ya nguvu, na mwingine unabii. Na kwa mwingine uwezo wa kupambanua roho, mwingine aina mbalimbali za lugha, na kwa mwingnine tafsiri za lugha.
11 Lakini Roho ni yoo yolo ywapanga kazi zote, umpeya kila mundu karama kwa kadiri ya uchaguzi wake mwene.
Lakini Roho ni yule yule atendaye kazi hizi zote, kumpa kila mtu karama kwa kadiri ya uchaguzi wake mwenyewe.
12 Kwa mana kati yega ni umo, na ubile ni iungo yanyansima, ni iungo yoti ni ya yega woo wolo, nyonyonyo na Kristo.
Kwa maana kama vile mwili ni mmoja, nao una viungo vingi, na viungo vyote ni vya mwili ule ule, vivyo hivyo na Kristo.
13 Kwa mana katika roho yumo twenga twabote tutibatizwa kuwa yega umo, kwamba Ayahudi ni Ayunani kae, kuwa amanda kae au huru, ni bote tuinyweile Roho imo.
Kwa maana katika Roho mmoja sisi sote tulibatizwa kuwa mwili mmoja, kwamba tu Wayahudi au Wayunani, kwamba tu watumwa au huru, na wote tulinyweshwa Roho mmoja.
14 Kwa mana yega ni iungo kwaa chimo, ila ni yanyansima.
Kwa maana mwili si kiungo kimoja, bali ni vingi.
15 Mana itei magolo walowa baya, “kwa mana nenga na luboko kwaa, nenga na sehemu kwaa ya yega,” ipangika kwaa kubile kwaa ni sehemu ya yega.
Ikiwa mguu utasema, “kwa kuwa mimi si mkono, mimi si sehemu ya mwili,” hiyo haiufanyi kutokuwa sehemu ya mwili.
16 Na mana itei likutu lilowa baya, “kwa kuwa nenga na liiyo kwaamnenga na seheme kwaa ya yega,” yee ailipangi kwaa kupangika kuwa sehemu ya yega.
Na ikiwa sikio litasema, “kwa kuwa mimi si jicho, mimi si sehemu ya mwili,” hiyo hailifanyi kutokuwa sehemu ya mwili.
17 Kati yega wote ubile liyo, likutu lyabile kwaako? Kati yega yoti yabile likutu, kwabile kwaako nungya?
Kama mwili wote utakuwa jicho, kungekuwa wapi kusikia? Kama mwili wote ukiwa sikio, kungekuwa wapi kunusa?
18 Lakini Nnongo abekite kila iungo ya yega mahali pake kati yaapangite mwene.
Lakini Mungu aliweka kila kiungo cha mwili mahali pake kama alivyopanga mwenyewe.
19 Ni kati yoti ibile iungo imo, yega ibile kwako?
Na kama vyote vingekuwa kiungo kimoja, mwili ungekuwa wapi?
20 Nga nyo nambeambe iungo yanansima, lakini yega ni yimo.
Hivyo sasa viungo ni vingi, lakini mwili ni mmoja.
21 Liyo laweza kwaa kuubakiya luboko, “Nibile kwaa na haja ni wenga.” Wala ntwe uweza kwaa kugabakiya magolo, nibile kwaa ni haja na mwenga.”
Jicho haliwezi kuuambia mkono, “sina haja na wewe.” Wala kichwa hakiwezi kuiambia miguu, sina haja na ninyi.”
22 Lakini iungo ya yega yatibonekana kuwa ni heshima yahitajika muno.
Lakini viungo vya mwili vinavyoonekana kuwa na heshima kidogo vyahitajika zaidi.
23 Na iungo ya yega yatuwasile vyabile ni hekima njene, twaipea heshima muno, ni iungo yitu yabile kwaa na mvuto yabile ni uzuri muno.
Na viungo vya mwili tunavyodhani vina heshima kidogo, twavipa heshima zaidi, na viungo vyetu visivyo na mvuto vina uzuri zaidi.
24 Nambeambe iungo yitu yaibile ni mvuto yabile kwaa ni haja ya kupeyelwa heshima, kwa kuwa tayari ibile ni heshima. Lakini Nnongo aiunganisha iungo yote mpamo, ni kuipeya heshima zaidi yelo yaibile heshimilwa.
Na sasa viungo vyetu vilivyo na mvuto havina haja ya kupewa heshima, kwa kuwa tayari vina heshima. Lakini Mungu ameviunganisha viungo vyote pamoja, na amevipa heshima zaidi vile visivyo heshimiwa.
25 Apangite nyoo ili pabile kwaa ni mgawanyiko katika yega, ila iungo yoti itunzane kwa upendo wa yumo.
Alifanya hivyo ili pasiwepo mgawanyiko katika mwili, bali viungo vyote vitunzane kwa upendo wa mmoja.
26 Ni muda iungo chimo mana kiumile, iungo yoti yalowa umia mpamo. Au wakati iungo chimo chaheshimilwa, iungo yoti yalowa puraika mpamo.
Na wakati kiungo kimoja kikiumia, viungo vyote vyaumia kwa pamoja. Au wakati kiungo kimoja kikiheshimiwa, viungo vyote vifurahi kwa pamoja.
27 Nambeambe mwenga mwa yega wa Kristo, ni iungo kila chimo kichake.
Sasa ninyi ni mwili wa Kristo, na viungo kila kimoja peke yake.
28 Ni Nnongo abekite katika likanisa kwanza mitume, ibele manabii, tatu baalimu, boka po balo boti bapanga makowe makolo, boka po karama ya uponyaji, balo basaidiao, balo bapanga kazi ya kubaongoza, ni boti babile ni aina mbalembale ya lugha.
Na Mungu ameweka katika kanisa kwanza mitume, pili manabii, tatu waalimu, kisha wale wote watendao matendo makuu, kisha karama za uponyaji, wale wasaidiao, wale wafanyao kazi ya kuongoza, na wote walio na aina mbalimbali za lugha.
29 Je twenga twabote ni mitume? Twenga twabote twa manabii? twenga twabote ni baalimu? Je twenga twabote tupanga matendo ga miujiza?
Je sisi sote ni mitume? Sisi sote ni manabii? Sisi sote ni waalimu? Je sisi sote tunafanya matendo ya miujiza?
30 Je twenga twabote tubile ni karama ya uponyaji? Twenga twabote tulongela kwa lugha? Twenga twabote twatafsiri lugha?
Je sisi sote tuna karama ya uponyaji? Sisi sote tunaongea kwa lugha? Sisi sote tunatafsiri lugha?
31 Muipale muno karama yaibile ngolo. Ni nenga nalowa kuabonekeya ndela yainoyite muno.
Tafuteni sana karama zilizo kuu. Nami nitawaonesha njia iliyo bora zaidi.

< 1 Akoritho 12 >