Preface
Read
+
Publisher
Nainoia, Inc.
PO Box 462, Bellefonte, PA 16823
(814) 470-8028
Nainoia Inc, Publisher
LinkedIn/NAINOIA-INC
Third Party Publisher Resources
Request Custom Formatted Verses
Please contact us below
Submit your proposed corrections
I understand that the Aionian Bible republishes public domain and Creative Commons Bible texts and that volunteers may be needed to present the original text accurately. I also understand that apocryphal text is removed and most variant verse numbering is mapped to the English standard. I have entered my corrections under the verse(s) below. Proposed corrections to the New Swahili Bible, Psalms Chapter 1 https://www.AionianBible.org/Bibles/Swahili---New-Swahili-Bible/Psalms/1 1) Amebarikiwa mtu yule asiye enenda katika ushauri wa waovu, au kusimama katika njia ya wenye dhambi, au kukaa katika kusanyiko la wenye mizaha. 2) Bali yeye huifurahia sheria ya Yahwe, na huitafakari sheria yake mchana na usiku. 3) Atakuwa kama mti uliopandwa karibu na mkondo wa maji ambao huzaa matunda yake kwa majira yake, ambao majani yake hayakauki; lolote afanyalo litafanikiwa. 4) Waovu hawako hivyo, wao badala yake ni kama makapi yapeperushwayo na upepo. 5) Kwa hivyo waovu hawatasimama katika hukumu, wala wenye dhambi katika kusanyiko la wenye haki. 6) Kwa kuwa Yahweh huikubali njia ya wenye haki, njia ya waovu itaangamizwa. Additional comments?
Refresh Captcha
The world's first Holy Bible un-translation!