< Luka 10 >

1 Baada ya hayo, Bwana akawachagua wengine sabini na wawili, akawatuma wawili wawili katika kila mji na kila sehemu aliyokusudia kwenda baadaye.
Baada ya makowe ago, Ngwana atichawa benge sabini na kubatuma abele abele bamlongoli katika mji ni enea atilitarajia yenda.
2 Akawaambia, “Mavuno ni mengi, lakini watendakazi ni wachache. Kwa hiyo mwombeni Bwana wa mavuno, ili apeleke watendakazi katika shamba lake la mavuno.
Atikuwabakiya, “Mauno ni ganambone, lakini wapanga kazi ni achache. Hivyo basi mulobe Ngwana wa mauno, ili kwamba atumeatume haraka apanga kazi katika mauno gake.
3 Haya! nendeni. Ninawatuma kama wana-kondoo katikati ya mbwa mwitu.
Muyende katika miji, Mulole, nindakubatuma kati ngondolo katika mapwa mwitu.
4 Msichukue mkoba, wala mfuko, wala viatu, na msimsalimu mtu yeyote njiani.
Kana mpotwe mfuko wa mbanje, wala mikoba ya usafiri, wala ilatu, wala kana musalimii yeyoti mundela.
5 “Mkiingia katika nyumba yoyote, kwanza semeni, ‘Amani iwe kwenu.’
Katika nyumba yeyoti mwamujingile, kwanza mubaye, “Amani ibii katika nyumba yinu.'
6 Kama kuna mtu wa amani humo, basi amani yenu itakuwa juu yake. La sivyo, itawarudia.
Kati mundu wa amani abile palo, amani yinu ipala igala kunani yake, lakini kama sivyo, ipala buya kwinu.
7 Kaeni katika nyumba hiyo, mkila na kunywa kile watakachowapa, kwa sababu kila mtendakazi anastahili malipo yake. Msihamehame kutoka nyumba hadi nyumba.
Muigale katika nyumba yoo, mulye ni munywangange chabakipya, kwa maana mwapanga kazi astahili mchaala wake, Kana muhame boka kunyumba yoo yenda yenge.
8 “Mkienda katika mji na watu wake wakawakaribisha, kuleni chochote kiwekwacho mbele yenu,
Mji wowote wa'mujingile, ni kubapokya mulye chochoti chakibekwa nnonge yinu,
9 waponyeni wagonjwa waliomo na waambieni: ‘Ufalme wa Mungu umekaribia.’
ni mponyange atamwe bababile mwoo. Mubaye kwabe,'ufalme wa Nnongo uichile karibu yinu'
10 Lakini mkiingia katika mji, nao hawakuwakaribisha, tokeni mwende katika barabara zake mkaseme:
Lakini katika mji wowti wa mwamujingiya na bangana kuwapokiya, muyende panja katika ndela ni baya,
11 ‘Hata mavumbi ya mji wenu yaliyoshikamana na miguu yetu, tunayakungʼuta dhidi yenu. Lakini mjue kwamba Ufalme wa Mungu umekaribia.’
'Hata vumbi lya mji uno lalinata magolo mwitu tunalikung'unda dhidi yinu! lakini mtambwange leno, Ufalme wa Nnongo utikaribia.'
12 Ninawaambia, itakuwa rahisi zaidi kwa Sodoma kustahimili katika siku ile kuliko mji ule.
Nindakuwabakiya kwamba lichoba lya hukumu yopanga ni uvumilivu zaidi kwa Sodoma kuliko mji wuno.
13 “Ole wako Korazini! Ole wako Bethsaida! Kwa kuwa kama miujiza iliyofanyika kwenu ingefanyika Tiro na Sidoni, miji hiyo ingekuwa imetubu zamani, kwa kuvaa magunia na kujipaka majivu.
Ole wako Korazini, Ole wako Bethsaida! Kati kachi ngolo yaipangite nkati yako ingalipangika Tiro ni Sidoni, Bangalitubu zamani kweli, bakitama nkati ya magolo ga magunia ni majivu.
14 Lakini itakuwa rahisi zaidi kwa Tiro na Sidoni kustahimili katika siku ya hukumu, kuliko ninyi.
Lakini ipala istaimilivu zaidi ya machoba ga hukumu kwa Tiro ni Sidoni zaidi yinu.
15 Nawe, Kapernaumu, je, utainuliwa hadi mbinguni? La hasha, utashushwa mpaka kuzimu.” (Hadēs g86)
Wenga Kapernaumu, ufikiri kakatuliwa mpaka kumaunde? Ntopo, upala uluka pae mpaka kuzimu. (Hadēs g86)
16 “Yeye awasikilizaye ninyi anisikiliza mimi; naye awakataaye ninyi amenikataa mimi. Lakini yeye anikataaye mimi amkataa yeye aliyenituma.”
Ywa abapekania mwee anipekania nee, ni yeyoti abakana anikana nee, na yeyoti ywanikana nee ankana ywa anitumile.”
17 Wale sabini na wawili wakarudi kwa furaha, na kusema, “Bwana, hata pepo wachafu wanatutii kwa jina lako.”
Balo sabini batibuya kwa puraha, baya, “Ngwana hata moka watupekania kwa liina lyako”
18 Yesu akawaambia, “Nilimwona Shetani akianguka kutoka mbinguni kama umeme wa radi.
Yesu atikuwabakiya, “Nambweni nchela akitomboka boka kumaunde kati radi.
19 Tazama nimewapa mamlaka ya kukanyaga nyoka na nge na juu ya nguvu zote za adui; wala hakuna kitu chochote kitakachowadhuru.
Lola, nitakuwapea mamlaka ya lebata mngambo ni nge, ni ngupu yoti ya adui, ni ntopo chochoti kwa ndela yeyoti chakipala kubadhuru mwenga.
20 Basi, msifurahi kwa kuwa pepo wachafu wanawatii, bali furahini kwa kuwa majina yenu yameandikwa mbinguni.”
Hata nyoo kana mupulaike tu katika leno, kwamba roho indabatii, lakini mpulaike zaidi kwamba malina yinu yaandikilwe kumaunde.”
21 Wakati huo Yesu akashangilia katika Roho Mtakatifu, akasema, “Nakuhimidi Baba, Bwana wa mbingu na nchi, kwa kuwa umewaficha mambo haya wenye hekima na wenye elimu, nawe ukawafunulia watoto wadogo. Naam, Baba, kwa kuwa hivyo ndivyo ilivyokupendeza.
Katika muda wowolo atipulai sana katika Roho mpeletau, ni kubaya, “Nindakusifu wenga Tate, Ngwana wa kumaunde ni kilambo, kwa sababu upangite makowe aga boka kwa bene hekima ni akili, ni kuyaumukwa kwa babapundishwe kwaa, kati bana achunu. Ndio Tate, kwa kuwa yapendezite katika minyo gako.”
22 “Nimekabidhiwa vitu vyote na Baba yangu. Hakuna mtu amjuaye Mwana ni nani ila Baba, wala hakuna amjuaye Baba ni nani ila Mwana na yeyote ambaye Mwana anapenda kumfunulia.”
Kila kilebe kitikabidhiwa kwango ni Tate bango, ni ntopo ywatanga Tate ni nyai ila mwana, ni yeyoti ywatamani mwana kuyaumukwa kwake.”
23 Basi Yesu akawageukia wanafunzi wake akanena nao faraghani, akawaambia, “Heri macho yanayoona yale mambo mnayoyaona.
Atikuwagalambukia anapunzi bake baya faragani, “woti barikiwa bababona haga ambayo mwenga mwagabona.
24 Kwa maana nawaambia, manabii wengi na wafalme walitamani kuona yale mnayoyaona lakini hawakuyaona, na walitamani kusikia yale mnayoyasikia lakini hawakuyasikia.”
Ninda kuwabakiya mwenga, kwamba anambone ni afalme batitamani bona makowe mwamuyabona, ni wayabweni kwaa, niyowa mwamuyowa mwenga, ni bayowine kwaa.
25 Wakati huo mtaalamu mmoja wa sheria alisimama ili kumjaribu Yesu, akamuuliza, “Mwalimu, nifanye nini ili niurithi uzima wa milele?” (aiōnios g166)
Lola mwalimu pulani wa saliya ya Kiyahudi atiyema ni kumjaribu, baya, “Mwalimu nipange namani niurithi ukoti wangayomoka?” (aiōnios g166)
26 Yesu akamjibu, “Imeandikwaje katika Sheria? Kwani unasoma nini humo?”
Yesu atikum'bakiya, “Itiandikwa namani katika saliya? Indachomeka kitiwi?”
27 Akajibu, “‘Mpende Bwana Mungu wako kwa moyo wako wote, kwa roho yako yote, kwa nguvu zako zote, na kwa akili zako zote’; tena, ‘Mpende jirani yako kama unavyojipenda mwenyewe.’”
Kayangwa ni kubaya, “Utampenda Ngwana Nnongo wako kwa mwoyo wako wpti, kwa roho yako yoti, kwa ngupu yako yoti, ni kwa malango gako goti, ni jirani yak kati nafsi yako mwene.”
28 Yesu akamwambia, “Umejibu vyema. Fanya hivyo nawe utaishi.”
Yesu kabaya, “Uyangite kwa usahihi, panga nyoo ni upala tama.”
29 Lakini yule mtaalamu wa sheria, akitaka kujionyesha kuwa mwenye haki, akamuuliza Yesu, “Jirani yangu ni nani?”
Lakini mwalimu, atitamani kujibalangia haki mwene, atikum'bakiya Yesu, “ni jirani yango ni nyai?”
30 Yesu akamjibu akasema, “Mtu mmoja alikuwa akiteremka kutoka Yerusalemu kwenda Yeriko, naye akaangukia mikononi mwa wanyangʼanyi. Wakampiga, wakaondoka, wakamwacha akiwa karibu kufa.
Yesu kayaangwa ni kubaya, “Mundu pulani abile uluka boka Yerusalem yenda Yeriko. Atitomboka kati ya anyang'anyi, batolite mali yake, ni kumkombwa ni kumleka karibu ya waa.
31 Kuhani mmoja alikuwa akipitia njia ile, alipomwona huyo mtu, akapita upande mwingine, akamwacha hapo barabarani.
Kwa bahati kuhani pulani atiuluka kwa ndela yoo, pamweni atipita upande wenge.
32 Vivyo hivyo, Mlawi mmoja naye alipofika mahali pale, alimwona, akapita upande mwingine, akamwacha hapo barabarani
Nyonyonyo mlawi pia, paikite mahali palo ni kumwona apitike upande wenge.
33 Lakini Msamaria mmoja aliyekuwa akisafiri alipomwona, alimhurumia.
Lakini Msamaria yumo, atisafiri, apitike palo pabile mundu yolo pamweni apatike huruma.
34 Akaenda alipokuwa na akasafisha majeraha yake kwa divai na mafuta, kisha akayafunga. Ndipo akampandisha kwenye punda wake, akampeleka mpaka kwenye nyumba ya wageni na kumtunza.
Atikumkaribia ni kumtaba ilonda yake, ni kumpenganikia mauta ya divai kunani yake. Nakum'beka kunani ya mnyama wake, ni kumpeleka katika nyumba ya angeni ni kumuhudumia.
35 Kesho yake, yule Msamaria akachukua dinari mbiliakampa yule mwenye nyumba ya wageni na kusema, ‘Mtunze, nami nirudipo nitakulipa gharama yoyote ya ziada uliyotumia kwa ajili yake.’
Lichoba lenge atitola dinari ibele, ni kumpeya mmiliki wa nyumba ya angeni ni kum'bakiya,'muhudumie ni chochoti cha ziada chautumia, mbalepa panibuya.'
36 “Ni yupi basi miongoni mwa hawa watatu wewe unadhani ni jirani yake yule mtu aliyeangukia mikononi mwa wanyangʼanyi?”
Ni ywako kati ya haba atatu, yafikiri, abile i jirani kwake ywembe ywatombwike kati ya anyang'anyi?”
37 Yule mtaalamu wa sheria akajibu, “Ni yule aliyemhurumia.” Ndipo Yesu akamwambia, “Nenda, ukafanye vivyo hivyo.”
Mwalimu atibaya, “Ni yolo alaite huruma kwake.” Yesu atikum'bakiya, “Uyende ni upange nyonyoo.”
38 Ikawa Yesu na wanafunzi wake walipokuwa wakienda Yerusalemu, akaingia kwenye kijiji kimoja ambapo mwanamke mmoja aliyeitwa Martha alimkaribisha nyumbani kwake.
Mbeambe pabasafiri batijingya katika ijiji pulani, ni nnwawa yumo lina lyake Martha atikumkaribisha kunyumba yake.
39 Martha alikuwa na mdogo wake aliyeitwa Maria, ambaye aliketi chini miguuni mwa Bwana akisikiliza yale aliyokuwa akisema.
Abile ni dada bake akemwa Mariamu, yatamile pamagolo ya Ngwana ni pekania neno lyake.
40 Lakini Martha alikuwa akihangaika na maandalizi yote yaliyokuwa yafanyike. Martha akaja kwa Yesu na kumuuliza, “Bwana, hujali kwamba ndugu yangu ameniachia kazi zote mwenyewe? Basi mwambie anisaidie.”
Lakini Martha atikuipeya shughuli yanambone za anda chakulya. Atiyenda kwa Yesu, ni baya, “Ngwana, ujali kwa kwamba dada bango atinilekiya nihudumiye kichango. Hivyo basi ubakiyeaiche kuniyangatiya.”
41 Lakini Bwana akamjibu, “Martha, Martha, mbona unasumbuka na kuhangaika na mengi?
Lakini Ngwana atiyangwa ni kum'bakiya, Martha, martha, unachumbuka kunani ya makowe yanambone,
42 Lakini kunahitajika kitu kimoja tu. Maria amechagua kile kilicho bora, wala hakuna mtu atakayemwondolea.”
Lakini ni kikowe chimo tu chema, Mariamu atichawa kilicho chema, ambacho hakitaondolewa boka kwake.”

< Luka 10 >