< Ufunuo 20 >

1 Kisha namweni malaika atiuluka boka kumaunde, abi ni upunguo wa liyembwa lalibile ntopo mwisho ni nyororo ngolo muluboko lwake. (Abyssos g12)
Kisha niliona malaika akishuka kutoka mbinguni, akiwa na ufunguo wa shimo lisilo na mwisho na mnyororo mkubwa mkononi mwake. (Abyssos g12)
2 Atikamwa lelo ling'ambo, mng'ambo lya zamani ngae ni ibilisi au nchela ni kuntaba miaka elfu.
Alimshika yule joka, nyoka wa zamani, ambaye ni ibilisi au Shetani, na kumfunga miaka elfu.
3 Atikulitaikwa muliyembwa labile ntopo mwisho, atikulitaba ni kulibekia mhuri kunani yake. Yeno yabile nyoo lenga kana bakongetwe mataifa kae mpaka miaka elfu paiyomoka. Baada yapoo, bakumnekekeya huru kwa muda nchunu. (Abyssos g12)
Alimtupa kwenye shimo lisilo na mwisho, akalifunga na kulitia mhuri juu yake. Hii ilikuwa hivyo ili kwamba asiwadanganye mataifa tena mpaka miaka elfu itakapoisha. Baada ya hapo, ataachiwa huru kwa muda mchache. (Abyssos g12)
4 Boka po namweni iteo ya enzi. Babatamile ni balo bababile bapeilwe mamlaka ya hukumu. Nyonyo ni mweni nafsi ya balo babile bakalwile mitwee kwaajili ya ushuhuda kuhusu Yesu na kwa neno lya Nnongo. Babile bamwabudu kwaa mnyama wala kingao chake, na bakani pokia ye atama kunani ya kibonge yabe ama muluboko baichile muukoti, batitawala pamope ni Kristo kwa miaka elfu.
Kisha niliona viti vya enzi. Waliokuwa wamevikalia ni wale ambao walikuwa wamepewa mamlaka ya kuhukumu. Vilevile niliona nafsi za wale ambao walikuwa wamekatwa vichwa kwa ajili ya ushuhuda kuhusu Yesu na kwa neno la Mungu. Walikuwa hawajamwabudu mnyama au sanamu yake, na walikataa kupokea alama juu ya paji za nyuso zao au mkono. Walikuja uzimani, na wakatawala pamoja na Kristo kwa miaka elfu.
5 Wafu babaigile baichile kwaa muukoti mpaka miaka elfu paiyomwike. Wono nga ufufuo wa kwanza.
Wafu waliobaki hawakuja uzimani mpaka miaka elfu ilipokuwa imeisha. Huu ndio ufufuo wa kwanza.
6 Atibarikiwa ni mataifa ni bandu yoyoti yotolile nafasi katika ufufuo wakwanza! Kiwo cha naibele ntopo ngupu kunani ya bandu kati bano. Papala baa ni makuhani wa Nnongo ni wa Kristo ni batawala ni ywembe kwa miaka elfu.
Mbarikiwa na mtakatifu ni mtu yeyote ambaye achukua nafasi katika ufufuo wa kwanza! Mauti ya pili haina nguvu juu ya watu kama hawa. Patakuwa na makuhani wa Mungu na wa Kristo na watatawala na yeye kwa miaka elfu.
7 Wakati wa miaka elfu paopala ika mwisho, nchela ayogolelwa boka gerezani mwake.
Wakati miaka elfu itakapofikia mwisho, Shetani atafunguliwa kutoka gerezani mwake.
8 Apayenda panja kubakonga mataifa katika kona nchehe za kilambo-Gogu ni magogu kabaleta pamope kwaajili ya vita. Bapanga banambone kati miangi ya bahari.
Atakwenda nje kuwadanganya mataifa katika kona nne za dunia -Gogu na Magogu - kuwaleta pamoja kwa ajili ya vita. Watakuwa wengi kama mchanga wa bahari.
9 Bayeu unani kweni itarumbeta ya kilambo na tindiya kambi ya baamini, mji waupendilwe. Lakini mwoto waichile boka kunani ni kubaangamiza.
Walikwenda juu kwenye tambarare ya nchi nao walizunguka kambi ya waumini, mji upendwao. Lakini moto ulikuja kutoka mbinguni na kuwaangamiza.
10 Nchela, ambae atibaya kwabe ubocho, atitaikulilwa nkati ya ziwa lya kiberiti, ambapo mnyama ni nabii wa ubocho patiteikulilwe mpamo, Batesekilwe mutwe nkati ni kilo milele ni milele. (aiōn g165, Limnē Pyr g3041 g4442)
Shetani, ambaye aliwadanganya, alitupwa ndani ya ziwa liwakalo kiberiti, ambamo mnyama na nabii wa uongo walikuwa wameshatupwa. Watateswa mchana na usiku milele na milele. (aiōn g165, Limnē Pyr g3041 g4442)
11 Boka po nakibweni kiteo sa enzi kikolo nyeupe ni yolo ywatamile kunani yake. Kilambo ni kumaunde zatibutuka kwakulipile boka katika uwepo wake. Lakini pabile kwaa nafasi ya balo yenda.
Kisha niliona kiti cha enzi kikubwa cheupe na yule ambaye alikaa juu yake. Dunia na mbingu zilikimbia mbali kutoka katika uwepo wake, lakini hapakuwako nafasi ya wao kwenda.
12 Natikuwabona babawile-hodari ni babile ntopo wa umuhimu batiyemanga katika iteo ya enzi, ni itabu yenge yaukwile-Kitabu cha ukoti. Bandu babawile batiukumilwa kwa chelo chakiandikwile nkati ya itabu, matokeo ya chelo chabakipangite.
Niliwaona waliokufa - hodari na wasio wa muhimu wamesimama katika kiti cha enzi, na vitabu vilifunuliwa. Kisha kitabu kingine kilifunguliwa - Kitabu cha Uzima. Wafu walihukumiwa kwa kile kilichoandikwa ndani ya vitabu, matokeo ya kile walichokifanya.
13 Bahari itikubabaya babawile ambao babile nkati yake. Kiwo ni kuzimu batikubaboya babawile babile nkati yake, ni wafu batihukumiwa lingana na chabakipangite. (Hadēs g86)
Bahari iliwatoa wafu ambao walikuwa ndani yake. Kifo na kuzimu viliwatoa wafu ambao walikuwa ndani yake, na wafu walihukumiwa kulingana na walichofanya. (Hadēs g86)
14 Kiwo ni kuzimu zataikwile nkati ya ziwa lya mwoto. Yeno nga mauti yanaibele-ziwa lya mwoto. (Hadēs g86, Limnē Pyr g3041 g4442)
Kifo na kuzimu zilitupwa ndani ya ziwa la moto. Hii ni mauti ya pili - ziwa la moto. (Hadēs g86, Limnē Pyr g3041 g4442)
15 Kati lina lya yoyoti lapatikine kwaa litiandikwa nkati ya kitabu sa ukoti, atitaikulilwa nkati ya ziwa lya moto (Limnē Pyr g3041 g4442)
Kama jina la yeyote halikupatikana limeandikwa ndani ya Kitabu cha Uzima, alitupwa ndani ya ziwa la moto. (Limnē Pyr g3041 g4442)

< Ufunuo 20 >