< Wafilipi 3 >

1 Hatimaye mwalongo bangu mpaluika katika ngwana. nibonali usumbufu twaandikiya kae manen galyagalya. gano mambo gapat attumpea uslama.
Hatimaye, ndugu zangu furahini katika Bwana. Sioni usumbufu kuwaandikia tena maneno yaleyale. Haya mambo yatawapa usalama.
2 Mwiadharin, nabwa mwiadhari na apangakazi abaya mwiadhari baba kana yega yabe.
Jihadharini na mbwa. Jihadharini na watenda kazi wabaya. Jihadharini na wale wajikatao miili yao.
3 Kwa kuwa twenga ngalikombe. twenga panga ngatamwabada nnongo kwa msaada wa roho. watuipunga ktika yesu kristo, naambao tubileli na ujasili katika yega.
Kwa kuwa sisi nndiyo tohara. Sisi ndiyo huwa tumwabudu Mungu kwa msaada wa Roho. Tujivuniao katika Kristo Yesu, na ambao hatuna ujasiri katika mwili.
4 Hatanyo kama angebaa nundu yhwo tmainiwa yaga yeno, nangambaleweza panganyo zaidi.
Hata hivyo, kama kungekuwa na mtu wa kuutumainia mwili huu, mimi ningeweza kufanya hivyo zaidi.
5 Kwani nainilwe lisoba linensense, labelikwile katika kabila la baisraeli. niwakabila la Benjamini. nimweblania wawaebrania. katika kwitimiza haki ya sheria ya musa, nabile nafarisayo.
Kwani nilitahiriwa siku ya nane, nilizaliwa katika kabila la Waisraeli. Ni wa kabila la Benjamini. Ni Mwebrania wa waebrani. Katika kuitimiza haki ya sheria ya Musa, nilikuwa, Farisayo.
6 kwajuudi yango nalitesike kanisa. kwakuitii haki yasheria, nibileli nalawama kisheria.
Kwa juhudi zangu nililitesa Kanisa. Kwa tuitii haki ya sheria, sikuwa na lawama kisheria.
7 Lakini katika mambo gote ganigabweni kwafaida yango nenga, nagabalingile kiti takataka sabbu ya kutanga kristo.
Lakini katika mambo yote niliyoyaona kuwa ya faida kwangu mimi, niliyahesabu kama takataka kwa sababu ya kumfahamu Kristo.
8 Kwa kweli nigabalanga mambo gote kati hasra toka na naubara qwakumtanga kristo yesu nnga wango. Kwa ajili yake nilekite mambo goti, nigabalanga kati takataka ili nimpate kristo.
Kwa kweli, nayahesabu mambo yote kuwa hasara kutokana ubora wa kumjua wa Kristo Yesu Bwana wangu. Kwa ajili yake nimeaacha mambo yote, nayahesabu kama takataka ili nimpate Kristo
9 Nanibone kane katyeke. ndapu haki yangu binafsi bukana katika sheria bali nibile na haki yelwa yaipatikana imani katika kristo, yabuka kwa nnongo yone msingi katika imani.
na nionekane ndani yake. Sina haki yangu binafisi kutoka katika sheria, bali ninayo haki ile ipatikanayo kwa imani katika Kristo, itokayo kwa Mungu, yenye msingi katika imani.
10 Sasa mbala langa hembe nanguvu ya ufufuo kwake na ushirika wa mateso gake. mbalabadilishwa na kristo katika mfano wakiwa chake.
Sasa nataka kumfahamu yeye na nguvu ya ufufuo wake na ushirika wa mateso yake. Nataka kubadilishwa na Kristo katika mfano wa kifo chake,
11 angalau nendaweza banamatu, aini katika ufufuo wawafu.
angalau niweze kuwa na matumaini katika ufufuo wa wafu.
12 Kwelili kwamba tayari nigapatike mambogo au kwamba nibile namkamilifu katika mambogo bali nenda kwitahidi iliniweze pate sile sani patikana na kristo yesu.
Siyo kweli kwamba tayari nimeishayapata mambo hayo, au kwamba nimekuwa mkamilifu katika hayo. Bali najitahidi ili niweze kupata kile kupata kile nilichopatikana na Kristo Yesu.
13 Mwolongo bango, ndakiteli kwamba eti njonmwike pata mbambo gano. Bali mbanga jambo limo ndibalya gasogo nitazamia gannonge.
Ndugu zangu, sidhani kwamba nimekwisha kupata mambo haya. Bali nafanya jambo moja: nasahau ya nyuma nayatazamia ya mbele.
14 Niitahidi ikya lengo ilikusudi nipate tuzo la kunani la kimelwa na nnongo katika kristo yesu.
Najitahidi kufikia lengo kusudi ili nipate tuzo ya juu ya wito wa Mungu katika Kristo Yesu.
15 Hwabote twatuukolile wokovu tupaswa wacha namna yeno. namaibele yenge afikiria kwamauna yaibile tofauti kuhusu jambo lyolyote, nnongo kae alifaa alyo kwinu.
Sote tulio ukulia wokovu, tunapaswa kuwaza namna hii. Na ikiwa mwingine atafikiri kwa namna iliyotofauti kuhusu jambo lo lote, Mungu pia atalifunuao hiilo kwenu.
16 Hanyo hatuwafikia natuyonde katika mtindo wo.
Hata hivyo, hatua ifikia na tuenende katika mtindo huo.
17 Mwalongo bangu, munijigene. mwalinge kwa makini balya babaenenda kwa mifano waubile kwa jinsi yitu.
Ndugu zangu, niigeni mimi. Waangalieni kwa makini wale wanaoenenda kwa mfano ulio wa jinsi yetu.
18 Hambane babaishi nibalo ambabo mara nyingi nitikunia kiyanga na sasa nimakiya kwa molibenge maisha kati adui ba masalaba wa kristo.
Wengi wanaoishi niwale ambao mara nyingi nimewaambieni, na sasa nawaambia kwa machozi -wengi wanaishi kama maadui wa msalaba wa Kristo.
19 Mwsho wabe niulibike. kwakua nnongo wabe nindumbo, na kiburi sabe kibile katika oni yabe. bafikiria mambo ga tidunia.
Mwisho wao ni uharibifu. Kwa kuwa Mungu wao ni tumbo, na kiburi chao kiko katika aibu yao. Wanafikiria mambo ya kidunia.
20 bali uraia witu ubile mbinguni, ambako twendatarajia mwokozi witu Yesu kristo.
Bali uraia wetu uko mbinguni, ambako tunamtarajia mwokozi wetu Yesu Kristo.
21 Abadilisha yanga yitu dhaifu panga kati yega yake ya utukufu; kwaazo wowolyawolya wa uweza kuidhibitisha ilebe yote.
Atabadilisha miili yetu dhaifu kuwa kama mwili wake wa utukufu; kwa uweza ule ule unaomwezesha kuvidhibiti vitu vyote.

< Wafilipi 3 >