< Wafilipi 2 >

1 Maana ibile yeyelusa moyo katika kristo. mana ibile falaja katika pendo lyake maana ibile kwina ushiika wa roho. mana ibile rehema na lusongo.
Ikiwa kuna kutiwa moyo katika Kristo. Ikiwa kuna faraja kutoka katika pendo lake. Ikiwa kuna ushirika wa Roho. Ikiwa kuna rehema na huruma.
2 Mwikamilisho furha yango kwa panga mamope mubeupondo gumo, mubile mwabano katika riho na mubile nalikusudi limo.
Ikamilisheni furaha yangu kwa kunia mamoja mkiwa na upendo mmoja, mkiwa wamoja katika roho, na kuwa na kusudi moja.
3 kwa monge kwa ubinafsi na majivuno isipokuwa kwa linyenyekevu mwana mwabweni benge bora zaidi yinu.
Msifanye kwa ubinafsi na majivuno. Isipokuwa kwa unyenyekevu mkiwaona wengine kuwa bora zaidi yenu.
4 Kila yumo winu kanaalinge baimahitaji gake binafsi, kae kwaajili mahitaji gabenge.
Kila mmoja wenu asiangalie tu mahitaji yake binafsi, bali pia ajali mahitaji ya wengine.
5 mubee nania kati ya bilenayo yesu kriisto.
Muwe na nia kama aliyonayo Kristo Yesu.
6 Ingawa hwembe nisawa, na nnongo. Lakini ajalileli kolwa basanu na nnongo nikilebe sakamwana naso.
Ingawaje yeye ni sawa na Mungu. Lakini hakujali kuwa sawa na Mungu ni kitu cha kushikamana nacho.
7 Badala yake atikwiuluya mwene. atweli umbo la maanda. atitike katika mfono wa binadamu.
Badala yake, alijishusha mwenyewe. Alichukua umbo la mtumishi. Akajitokeza katika mfano wa wanadamu. Alionekana mwanadamu.
8 Abonikine mwanadamu. Hwembe apeile lina lalipita kila lina.
Yeye alijinyeyekeza na kuwa mtii hadi kifo, kifo cha msalaba.
9 Nyo basi nnongo atikumtukuzo sana. apale lina likolo lalipeta kila lina.
Hivyo basi Mungu alimtukuza sana. Alimpa jina kuu lipitalo kila jina.
10 Apangitenya ilikwamba katika lina la yesu kila lijua sharti lijinamike. majua gagabile nakunani ya aridhi.
Alifanya hivyo ili kwamba katika jina la Yesu kila goti sharti liiname. Magoti ya walio mbinguni na walio juu ya ardhi na chini ya ardhi.
11 Naapangike nya ilikwamba kila lumi lukiri kwakwansa yesu kristo ni nngwana, kwa utukufu wa nnongo tate.
Na alifanya hivyo ili kwamba kila ulimi sharti ukiri kwamba Yesu kristo ni Bwana, kwa utukufu wa Mungu Baba.
12 Kwanyo basi, mwapendwa bango kati mwanutii masobagoti, situ katika obile wongo lakini sasa ni zaidi sana hata pange baa ubone kiniwango, mwaajilibike uwokovu winu mwabene kwayogopa nalendene.
Kwa hiyo basi, wapendwa wangu kama mnavyotii siku zote, Si tu katika uwepo wangu lakini sasa ni zaidi sana hata pasipo uwepo wangu, uwajibikeni wokovu wenu wenyewe kwa hofu na kutetemeka.
13 Kwa kuwa nnongo hwapanga kazi nkati yhinu ilikumwezesha kunia napanga mambo gagamendeza hwembe.
Kwa kuwa ni Mungu anayetenda kazi ndani yenu ili kuwawezesha kunia na kutenda mambo yale yampendezayo yeye.
14 Mupange mambo goti bila malaamiko na mitau.
Fanyeni mambo yote bila malalamiko na mabishano.
15 Mupange nyoilikwamba mube bweya wadamia, katika kibelekwe cha uhasi na wovu.
Fanyeni hivyo ili kwamba msilaumike na kuwa watoto wa Mungu waaminifu wasiyo na lawama. Fanyeni hivyo ili kwamba muwe nuru ya dunia, katika kizazi cha uasi na uovu.
16 Mukamwe sana neo la ukolo ili kwamba ni benasababu yatukweza lisiba lya kristo. kisha natanga kwamba nibutwikeli lubilo bure wala mbalikeli taaba bure.
Shikani sana neno la uzima ili kwamba niwe na sababu ya kutukuza siku ya Kristo. Kisha nitafahamu kwamba sikupiga mbio bure wala sikutaabika bure.
17 Lakini atakabanimimin akati sadaka juu ya dhabihu nahuduma ya imani yinu, nenda pulaika, na nenda pulaika namwenga mwabote.
Lakini hata kama ninamiminwa kama sadaka juu ya dhabidhu na huduma ya imani yenu, ninafurahi, na ninafurahi pamoja nanyi nyote.
18 Nyongo na mwenga kae mwenda pulaika pa mope nanae.
Vilevile na ninyi pia mnafurahi, na mnafurahi pamoja nami.
19 Lakini nenda tumaini katika nngwana yesukumtuma Timotheo kwinu hivi karibuni, ilikwamba niweze yeyelwa moyo panatanga mambo ginu.
Lakini natumaini katika Bwana Yesu kumtuma Timotheo kwenu hivi karibuni, ili kwamba niweze kutiwa moyo nitakapojua mambo yenu.
20 Kwakua bileli nayhwenge mwenye nitazomo kati wake, mwene nia ya kweli waajiinu.
Kwa kuwa sina mwingine aliye na mtazamo kama wake, mwenye nia ya kweli kwa ajili yenu.
21 Benge bote nabatuma kwinu bapala mambo gabe binafsi bai, nasiyo mambo ya yesu kristo.
Wengine wote ambao ningewatuma kwenu wanatafuta mambo yao binafsi tu, na siyo mambo ya Yesu Kristo.
22 Lakini nitengite saniini yake, kwassababu kati mwana mwahudumiwa na tatebake, ngamwatunike pamope nane katika injili.
Lakini mnaijua thamani yake, kwa sababu kama mtoto anavyomhudumia baba yake, ndivyo alivyotumika pamoja nami katika injili.
23 Kwaiyo nitumaini kumtuma haraka pinditu pana tanga kilegan chachapitya kwango.
Kwa hiyo ninatumaini kumtuma haraka pindi tu nitakapofahamu nini kitatokea kwangu.
24 Lakimitibile na haki katika nngana kwamba nenga namwne kae naisa hivikaribuni.
Lakini nina hakika katika Bwana kwamba mimi mwenyewe pia nitakuja hivi karibuni.
25 Lakini nitikiia ni muhimu kumkeleboya kwinu epatra dito. hwembe ni nongo wangu na mpanga kazi nyango na skari nyango, mjumbe namtumishi winu kwaajili ya mahitaji gango.
Lakini nafikiri ni muhimu kumrejesha kwenu Epafradito. Yeye ni ndugu yangu na mtenda kazi mwenzangu na askari mwenzangu, mjumbe na mtumishi wenu kwa ajili ya mahitaji yangu.
26 Kwa saababu abile nahofu na apendile banamwenga mwaboti, kwakuwa mwayone kwamba endeminya.
Kwa sababu alikuwa na hofu na alitamani kuwa pamoja nanyi nyote, kwa kuwa mlisikia kwamba alikuwa mgonjwa.
27 Maana hakika endeminya sana kiasi chawai. lakini nnongo amekile lwongo, na wema wabile kunami yake bai, lakini kae wabile kunami yango ilikwamba kananibe nahuzuri juu huzari
Maana hakika alikuwa mgonjwa sana kiasi cha kufa. Lakini Mungu alimhurumia, na wema huo haukuwa juu yake tu, lakini pia ulikuwa juu yangu, ili kwamba nisiwe na huzuni juu ya huzuni.
28 Kwanyo ninkeleboya kwinu haraka iwezekanavyo ilikwamba panwa mwanajabe mpate palaika nanenga niboilwe wasiwasi.
Kwa hiyo ninamrejesha kweny haraka iwezekanavyo, Ili kwamba mtakapomwona tena mpate kufurahi na mimi nitakuwa nimeondolewa wasi wasi.
29 Mumkaribishe epakadila katika nngwana kwafuraha yote. mwaheshimu bandu kati hwembe.
Mkaribisheni Epafradito katika Bwana kwa furaha zote. Waheshimuni watu kama yeye.
30 Kwa kuwa yabile kwaajili ya kazi ya kristo akiribia waatarishe maisha gake ilikumiokoa nenga naapangite sibo ambacho mwakombwili panga katika kunihadumia nenga kwa mubile kutalu nane.
Kwa kuwa ilikuwa kwa ajili ya kazi ya Kristo kwamba alikaribia kufa. Alihatarisha maisha yake ili kuniokoa mimi na akafanya kile ambacho hamkuweza kufanya katika kunihudumia mimi kwa mko mbali nami.

< Wafilipi 2 >