+ Mathayo 1 >

1 Kitabu cha lukolo lwa Yesu Kristo mwana wa Daudi, mwana wa Ibrahimu,
Kitabu cha ukoo wa Yesu Kristo mwana wa Daudi, mwana wa Ibrahimu.
2 Ibrahimu abile tate ba Isaka, ni Isaka tate bake Yakobo, ni Yakobo tate ba Yuda ni nuna bake.
Ibrahimu alikuwa baba wa Isaka, na Isaka baba wa Yakobo, na Yakobo baba wa Yuda na ndugu zake.
3 Yuda abile tate ba Peresi ni Sera kwa Tamari, Peresi tate ba Hezeroni, ni Hezeroni tate ba Ramu.
Yuda alikuwa baba wa Peresi na Sera kwa Tamari, Peresi baba wa Hezeroni, na Hezeroni baba wa Ramu.
4 Ramu abile tate ba Aminadabu, Aminadabu tate ba Nashoni, ni Nashoni tate ba Salimoni,
Ramu alikuwa baba wa Aminadabu, Aminadabu baba wa Nashoni, na Nashoni baba wa Salimoni.
5 Salimoni abile tate ba Boazi kwa Rahabu, Boazi tate ba Obedi kwa Ruth, Obedi tate ba Yese,
Salimoni alikuwa baba wa Boazi kwa Rahabu, Boazi baba wa Obedi kwa Ruth, Obedi baba wa Yese,
6 Yese abile tate ba mpwalume Daudi, Daudi abile tate ba Sulemani kwa nnyumbo wa Uria.
Yese alikuwa baba wa mfalme Daudi. Daudi alikuwa baba wa Sulemani kwa mke wa Uria.
7 Sulemani abile tate ba Rehoboamu, Rehoboamu tate ba Abiya, Abiya tate ba Asa.
Sulemani alikuwa baba wa Rehoboamu, Rehoboamu baba wa Abiya, Abiya baba wa Asa.
8 Asa abile tate ba Yehishafati tate ba Yoramu, ni Yoramu tate ba Uzia.
Asa alikuwa baba wa Yehoshafati, Yehoshafati baba wa Yoramu, na Yoramu baba wa Uzia.
9 Uzia abile tate ba Yothamu, Yothamu tate ba Ahazi, Ahazi tate ba Hezekia.
Uzia alikuwa baba wa Yothamu, Yothamu baba wa Ahazi, Ahazi baba wa Hezekia.
10 Hezekia abile tate ba Manase, Manase baba ba Amoni ni Amoni tate ba Yosia.
Hezekia alikuwa baba wa Manase, Manase baba wa Amoni na Amoni baba wa Yosia.
11 Yosia abile tate ba Yekonia ni kaka bake wakati pabatolilwe yenda Babeli.
Yosia alikuwa baba wa Yekonia na kaka zake wakati wa kuchukuliwa kwenda Babeli.
12 Ni baada ya tolelwa yenda Babeli, Yekonia abile tate ba Shatieli abile babu bake ni Zarubabeli.
Na baada ya kuchukuliwa kwenda Babeli, Yekonia alikuwa baba wa Shatieli, Shatieli alikuwa babu yake na Zerubabeli.
13 Zarubabeli abile tate ba Abiudi, Abiudi tate ba Eliakimu, ni Eliakimu tate ba Azori,
Zerubabeli alikuwa baba wa Abiudi, Abiudi baba wa Eliakimu, na Eliakimu baba wa Azori.
14 Azori abile tate ba Zadoki, Zadoki tate ba akimu, ni Akimu baba ba Eliudi.
Azori alikuwa baba wa Zadoki, Zadoki baba wa Akimu, na Akimu baba wa Eliudi.
15 Eliudi abile tate ba Eliaza, Eliaza tate ba Matani ni Matani tate ba Yakobo.
Eliudi alikuwa baba wa Elieza, Elieza baba wa Matani na Matani baba wa Yakobo.
16 Yakobo abile tate ba Yusufu nsengo wa Mariamu, ambaye kwa Yembe Yesu abelekilwe, ywa kemwa Kristo.
Yakobo alikuwa baba wa Yusufu mume wa Mariamu, ambaye kwa yeye Yesu alizaliwa, aitwaye Kristo.
17 Ibelei yoti tangu Ibrahimu hadi Daudi yabile ibelei komi ni ncheche, kuoma Daudi hadi kutoliwa yenda Babeli ibelei komi ni ncheche, ni kuoma kutoliwa yenda Babeli mpaka Kristo yabile ibelei komi ni ncheche.
Vizazi vyote tangu Ibrahimu hadi Daudi vilikuwa vizazi kumi na vinne, kutoka Daudi hadi kuchukuliwa kwenda Babeli vizazi kumi na vinne, na kutoka kuchukuliwa kwenda Babeli hadi Kristo vizazi kumi na vinne.
18 Belekwa kwa Yesu Kristo kwabile nyonyo, Mao bake, Mariamu, achumbilwe ni Yusufu, lakini babi bado gonja pamope, abonekine kubi ni ndumbo kwa uwezo ba Roho mtakatifu.
Kuzaliwa kwa Yesu Kristo kulikuwa kwa namna hii. Mama yake, Mariamu, alichumbiwa na Yusufu, lakini kabla hawajakutana, alionekana kuwa na mimba kwa uwezo wa Roho Mtakatifu.
19 Nchengo bake, Yusufu, abile mundu wa Nnongo apendi kwaa kumpeya oni. Amweni anneka kwa siri.
Mume wake Yusufu, alikuwa mtu mwenye haki hakutaka kumwaibisha hadharani. Aliamua kusitisha uchumba wake naye kwa siri.
20 Pabilekagawaza kunani makowe ago, Malaika ba Ngwana ampili mundoto, kakoya, “Yusufu mwana wa Daudi, kana uyogope kuntola Mariamu kuba nnyumbo bako, kwa sababu ndumbo abi nayo ni kwa uweza wa Roho mtakatifu.
Alipokuwa akifikiri juu ya mambo haya, Malaika wa Bwana alimtokea katika ndoto, akisema,'' Yusufu mwana wa Daudi, usiogope kumchukua Mariamu kama mkeo, kwa sababu mimba aliyonayo ni kwa uweza wa Roho Mtakatifu.
21 Alowa beleka mwana nnalome ni walowa kunkema lina lyake Yesu, kati apala kubalopwa bandu bake kuoma musambi zabe.”
Atajifungua mtoto wa kiume na utamwita jina lake Yesu, kwa maana atawaokoa watu wake na dhambi zao.''
22 Ngoti yega yapitike kamirisha chelo sabakilwe kwa ndela ya manabii, kakoya,
Yote haya yalitokea kutimizwa kile kilichonenwa na Bwana kwa njia ya nabii, akisema,
23 Lola, bikira apatola ndumbo ni beleka mwana nnalome, ni akemwa lina lyake Imanueli maana yake, “Nnongo pamope natwenga.”
“Tazama, bikira atachukua mimba na kuzaa mtoto wa kiume, na watamwita jina lake Imanueli”— maana yake, “Mungu pamoja nasi.”
24 Yusufu atiyumuka kuoma mulugono ni panga kati malaika wa Ngwana akoite nga atikumpotwa kati nnyumbo bake.
Yusufu aliamka kutoka usingizini na kufanya kama malaika wa Bwana alivyomwamuru na alimchukua kama mkewe.
25 Palyo, agonjike kwaa nakwe mpaka paapapite mwana wake nnalome akemilwe lina lyake Yesu.
Hata hivyo, hakulala naye mpaka alipojifungua mtoto wa kiume na alimwita jina lake Yesu.

+ Mathayo 1 >