< Luka 7 >

1 Baada ya Yesu yomwa kila kilebe chabile kakibaya kwa bandu babampekaniyage, ajingii Karpenaumu.
Baada ya Yesu kumaliza kila kitu alichokuwa anasema kwa watu waliomsikiliza, akaingia Kapernaumu.
2 Mmanda pulani ywa akida, ywabile ywa thamani muno kake, abile ntamwe muno ni abile karibu na waa.
Mtumwa fulani wa akida, aliyekuwa wa thamani sana kwake, alikuwa mgonjwa sana na alikuwa karibu ya kufa.
3 Lakini ayowine usu Yesu, yolo akida antumite kiongozi wa kiyahudi, kunnoba aiche kunkombwa mmanda wake linga kanaawe.
Lakini akiwa amesikia kuhusu Yesu, yule Akida alimtuma kiongozi wa kiyahudi, kumwomba aje kumwokoa mtumwa wake ili asife.
4 Pabaikite papipi ni Yesu, batikunnoba kweli ni baya, “andastahili upalikwa panga nya kwaajili yake,
Walipofika karibu na Yesu, walimsihi kwa bidii na kusema, “anastahili kwamba unapaswa kufanya hivi kwa ajili yake,
5 Kwasababu andakulipenda taifa litu, ni ywanjengite sinagogi kwaajili yitu.”
kwa sababu analipenda taifa letu, na ndiye aliyejenga sinagogi kwa ajili yetu”.
6 Yesu ayendeli ni safari yake pamope nakwe, lakini kabla anaika kwaa kuutalu ni nnyumba, afisa yumo aatumite mambwiga bake longela nakwe, “Ngwana, kana uuchoshe wa mwene kwasababu ya nenga nistahili kwa wenga jingya mu dari yangu.
Yesu akaendelea na safari yake pamoja nao. lakini kabla hajaenda mbali na nyumba, afisa mmoja aliwatuma marafiki zake kuzungumza naye. “Bwana, usijichoshe mwenyewe kwa sababu mimi sistahili wewe kuingia kwenye dari yangu.
7 Kwasababu yino nifikilie kwa hata nenga namwene panga nenda pwaika icha kwako, lakini ubaye lineno tu ni mmanda wango apapona.
Kwa sababu hii sikufikiria hata mimi mwenyewe kuwa ninafaa kuja kwako, lakini sema neno tu na mtumishi wangu atapona.
8 Kwani nenga na mundu wanibile pa mamlaka na nibii ni askari pae yango, abaya kwa yuu 'Yenda” ni andayenda, ni kwa ywenge 'Icha” ni andaicha ni mtumishi wango “upange nyaa” ni ywembe andapanga.
Kwani mimi pia ni mtu niliyewekwa kwenye mamlaka na nina askari chini yangu. Husema kwa huyu “Nenda” na huenda, na kwa mwingine, “Njoo” naye huja, na kwa mtumishi wangu 'Fanya hiki', na yeye hufanya”.
9 Yesu payowine haga atichangala ni kubagalambukiya makutano bababile kabankengama ni baya, “Nindawabakiya hata mu'Isreali, nabona kwa mundu mwene imani kolo kati yolo.
Yesu aliposikia haya alishangaa, na kuwageukia makutano waliokuwa wanamfuata na kusema.”Nawaambia, hata katika Israeli, sijawahi kuona mtu mwenye imani kuu kama huyu.
10 Boka po balo babatumilwe babuyangine kaya ni kunkolya mtumishi abile nkoto.
Kisha wale waliokuwa wametumwa walirudi nyumbani na kumkuta mtumishi akiwa mzima.
11 Pulani baada ya haga, yapitike kuwa Yesu ende safiri yenda kilambo che nge chakemelwa Naini. Benepunzi bake bayeyi pamope nakwe bakengimine na bandu banyansima.
fulani baada ya haya, ilitokea kuwa Yesu alikuwa anasafiri kwenda mji ulioitwa Naini. wanafunzi wake wakaenda pamoja naye wakiambana na umati wa watu.
12 Paikite papipii ni nnyango wa kilambo linga, mundu ywa wile abile apotwilwe ni nga mwana yumo kwa mao ywake. ywabile mnomelanga, ni umati wa akilishi buka pa kilambo bai pamope ni ywembe.
Alipofika karibu na Lango la jiji tazama, mtu aliyekufa alikuwa amebebwa, na ni mtoto wa pekee kwa mama yake. aliyekuwa mjane, na umati wa wawakilishi kutoka kwenye jiji walikuwa pamoja naye.
13 Pamweni Ngwana atikumwegeleya kwa rwangu muno husu ywembe ni kummakia “kana ulile”
Alipomwona, Bwana akamsogelea kwa huruma kubwa sana juu yake na akamwambia, “Usilie”.
14 Nga egelya nnonge ni kukungwa lijeneza bababutulile maiti ni balo babaputwike batiyimaaa ngaabaya “wenga wa kijana uyumuke.”
Kisha akasogea mbele akaligusa jeneza ambalo walibebea mwili, na wale waliobeba wakasimama akasema “Kijana nasema amka”
15 Ywa awile ngakakatuka ni tama kitako ni tumbwa longela. Boka po Yesu kampea ywa mwana kwa mao bake.
Mfu akainuka na kukaa chini na akaanza kuongea. Kisha Yesu akamkabidhi kwa mama yake.
16 Boka po hofu ibajingile boti, bayendeli kumtukuza Nnongo bende baya “Nabii nkolo alikakatulwa nkati yitu” ni “Nnongo alingite bandu bake.”
Kisha hofu ikawajaa wote. wakaendelea kumtukuza Mungu wakisema “Nabii mkuu ameinuliwa miongoni mwetu” na “Mungu amewaangalia watu wake”
17 Hayii habari inanoga ya Yesu yatienea Yudea yoti ni kwa mikoa yoti ya jirani.
Hizi habari njema za Yesu zilienea Yudea yote na kwa mikoa yote ya jirani.
18 Benepunzi ba Yohana bammakiye mambo goti haga.
Wanafunzi wa Yohana walimwamwambia mambo haya yote.
19 Ndipo Yohana ngaa ankema abeli nkati ya Benepunzi bake ni kubatuma kwa Ngwana baya “wenga yulo ywa icha, au kuna mundu ywenge tumnende?
Ndipo Yohana akawaita wawili wa wanafunzi wake na kuwatuma kwa Bwana kusema “Wewe ndiye yule ajaye, au kuna mtu mwingine tumtazamie?
20 Bapaikite karibu ni Yesu aba payite Yohana mbatizaji atitumite kwako baya, “wenga nga yolo au kui na mundu ywenge tumnende?
Walipofika karibu na Yesu hawa wakasema, “Yohana mbatizaji ametutuma kwako kusema, 'Wewe ni yule ajaye au kuna mtu mwingine tumtazamie?”
21 Kwa wakati woo aaponyike bandu banyansima buka nkati ya matamwe ni mateso, buka kwa nchela, ni kwa bandu ipofu apeile bona.
kwa wakati huo aliowaponya watu wengi kutoka katika magonjwa na mateso, kutoka kwa roho wachafu, na kwa watu wenye upofu aliwapa kuona.
22 Yesu ayangwine baya kwabe, “Baada ya n'yei kwa mwokite mkammakiye Yohana chamkibweni ni kukiyoa. Babile ipofu bapokya bona ni iwete banda tyanga, bene ukoma banda pona, iziwi banda yoa, babawile banda yuka ni panga akolo kai, bangali ni kilebe aabakiya habari inanoga.
Yesu akajibu na kusema kwao. “Baada ya kuwa mmekwenda mlikotoka mtamjulisha Yohana mlichokiona na kukisikia. Wenye upofu wanapokea kuona na viwete wanatembea, wenye ukoma wanatakasika, viziwi wanasikia, wafu wanafufuliwa na kuwa hai tena, masikini wanaambiwa habari njema.
23 Ni mundu ywaleka kwaa kuniamini nenga kwa sababu ya matendo gango abalikilwe.”
Na mtu ambaye hataacha kuniamini mimi kwa sababu ya matendo yangu amebarikiwa”.
24 Baada ya balo babatumilwe ni Yohana buyangana kwaba bukite Yesu nga tumbwe longela na bandu husu Yohana, “Mwayei panja bona namani, nnai wautikatika ni mchunga?
Baada ya wale waliotumwa na Yohana kurudi walikotoka, Yesu akaanza kusema kwa makutano juu ya Yohana, “Mlikwenda nje kuona nini, mwanzi ukiwa unatikiswa na upepo?
25 Lakini mwayei panja bona namani, mundu ywa weti vizuri? linga bandu balo babawala ngubo ya kifalme ni ishi maisha ga staree babile bene nafasi ya kifalme.
lakini mlikwenda nje kuona nini, mtu aliyevaa vizuri? tazama watu wale wanaovaa mavazi ya kifalme na kuishi maisha ya starehe wako kwenye nafasi za wafalme.
26 Lakini nn'yenda panja bona namani, Nabii? Elo, nenda baya kwinu na muno kuliko nabii.
lakini mnakwenda nje kuona nini, Nabii? Ndiyo, ninasema kwenu na zaidi sana kuliko nabii.
27 Uyu ngaba ywaandikilwe, linga nenda kutuma mjumbe wango nnongi ya minyo yinu, ywapala andaa ndila kwaajili yango,
Huyu ndiye aliyeandikiwa, “Tazama, namtuma mjumbe wangu mbele ya macho yenu, atakeyeandaa njia kwa ajili yangu,
28 Mbayaa kwinu, kati ya balo bababelekwile ni nnwawa, ntopo nkolo kati Yohana, lakini mundu ywangali muhimu muno nga ywaa lama ni Nnongo mahali pabile ywembe, apanga nkolo kuliko Yohana.”
Nasema kwenu, kati ya wale waliozaliwa na mwanamke, hakuna mkuu kama Yohana, lakini mtu asiye muhimu sana atakayeishi na Mungu mahali alipo yeye, atakuwa mkuu kuliko Yohana.”
29 Ni bandu boti pabayowine haga pamope ni babatosage ushuru, batitangaza Nnongo nga mwene haki. Babile kati yabe babatizilwe kwa ubatizo wa Yohana.
Na watu wote waliposikia haya pamoja na watoza ushuru, walitangaza kuwa Mungu ni mwenye Haki. Walikuwepo kati yao wale waliobatizwa kwa ubatizo wa Yohana.
30 Lakini mafarisayo ni bataalamu ba saliya ya kiyahudi amabbo babatizilwe ni ywembe batikana hekima ya Nnongo kwaajili yabe bene.
Lakini mafarisayo na wataalamu wa sheria za kiyahudi, ambao hawakubatizwa na yeye walikataa hekima za Mungu kwa ajili yao wenyewe.
31 Kai mbaweza linganisha mwenga ni namani bandu ba kizazi cheno? Bai kitiwi?
Tena naweza kuwalinganisha na nini watu wa kizazi hiki? Wakoje hasai?
32 Balingana ni bana babang'anda pasoko, babatama ni kemana yumo baada ya ywenge kababaya,'tuliyula filimbi kwaajili yinu, ni mng'andike kwaa, twatilombola mlelite kwaa.”
Wanafanana na watoto wanaocheza kwenye eneo la soko, wanaokaa na kuitana mmoja baada wa mwingine wakisema, 'Tumepuliza filimbi kwa ajili yenu, na hamkucheza. tumeomboleza na hamkulia.'
33 Yohana mbatizaji aichile alile kwaa nkate wala anywile kwa lilogwa, ni mmayite, “Aina mashetani.
Yohana mbatizaji alikuja hakula mkate wala hakunywa divai, na mkasema “Ana pepo.
34 Mwana wa mundu aichile alile ni ywa ni mmayite linga aina choyo ni nnevi, limbwiga ni babatosa ushuru ni bene sambi.
Mwana wa Mtu amekuja amekula na kunywa na mkasema, “Angali ni mlafi na mlevi, rafiki wa watoza ushuru na wenye dhambi!
35 Lakini hekima bakwipwile kuwa ibile ni haki kwa bana bake boti.”
Lakini hekima imetambulika kuwa ina haki kwa watoto wake wote.”
36 Yumo ywa balo, afarisayo anobite ayende akalye nakwe. Baada ya Yesu jingya munyumba ya mafarisayo, alindikii meza linga alye.
Mmoja wa mafarisayo alimwomba Yesu aende kula pamoja naye. Baada ya Yesu kuingia kwenye nyumba ya farisayo, aliegemea kwenye meza ili ale.
37 Linga abi na nnwawa katika kilambo chilo abi ni sambi. Akwipwile kuwa atamii kwa farisayo, alelike chupa ya mauta gananungya.
Tazama kulikuwa na mwanamke mmoja katika jiji hilo aliyekuwa na dhambi. Akagundua kuwa alikuwa amekaa kwa Farisayo, akaleta chupa ya manukato.
38 Ayemi nchungu yake karibu ni maghulu gake kuno kalela. Kae atumbwi tepengaya maghulu kwa nywili ya mutwe wakeni kuipakalaya mauta gananungya.
Alisimama nyuma yake karibu na miguu yake huku akilia. Tena alianza kulowanisha miguu yake kwa machozi, na kuifuta kwa nywele za kichwa chake, akiibusu miguu yake na kuipaka manukato.
39 Ni yulo farisayo ywa nkokiti Yesu pamweni nyoo, awechike mwene abayite, mana mundu yuu apanga nabii, apendaga hayu nyai ni nnwawa wa namna gani ywa mkunywa, ya panga mwene sambi.
Na yule farisayo aliyekuwa amemwalika Yesu alipoona hivyo, akawaza mwenyewe akisema, “Kama huyu mtu angekuwa nabii, angejua huyu ni nani na ni aina gani ya mwanamke anayemgusa, ya kuwa ni mwenye dhambi.
40 Yesu atin'yangwa ni kum'makiya, “Simoni nibiina kikowe cha kukubakiya.” Abayite, “kibaye bai mwalimu”
Yesu akajibu na kumwambia, “Simoni nina kitu cha kukuambia. “Akasema” “Kiseme tu mwalimu!”
41 Yesu abayite, “pabii ni alongelwa abile ba kopite kwa mundu yumo. Yumo abi kadaiwa dinari mia tano ni wene ibele adaiwa dinari hamsini.
Yesu akasema “Kulikuwa na wadaiwa wawili kwa mkopeshaji mmoja. Mmoja alikuwa anadaiwa dinari mia tano na wa pili alidaiwa dinari hamsini.
42 Ni pabile ntopo ela ya kunnepa atikuwasameya boti. Tubwe ywakuywa mpenda muno?
Na walipokuwa hawana pesa ya kumlipa aliwasamehe wote. Sasa ni nani atampenda zaidi?
43 Simoni ati kunn'yangwa “mbona ywa nyansima. Yesu amakiya uukumu sawasawa.”
Simoni akamjibu na kusema, “Nadhani aliyesamehewa zaidi.”Yesu akamwambia, “Umehukumu kwa usahihi.”
44 Yesu nga ngalabukya mnwawa ni baya kwa Simoni, “Wandamwona uyu nnwawa. Nijingii munyumba yako. Umbei kwaa machi kwa ajili ya magulu gangu, lakini huyu, kwa morii gake ateoengiye magulu gangu ni kugafula kwa nywili yake.
Yesu akamgeukia mwanamke na kusema kwa Simoni, “Unamwona huyu mwanamke. Nimeingia kwenye Nyumba yako. Hukunipa maji kwa ajili ya miguu yangu, lakini huyu, kwa machozi yake, alilowanisha miguu yangu na kuifuta kwa nywele zake.
45 Huninonii kwaa, lakini ywembe, tangu panjiyite muno alekite kwaa kuninoniya magulu gangu.
Hukunibusu, lakini yeye, tangu alipoingia humu hakuacha kunibusu miguu yangu.
46 Huipakiye kwaa magulu gangu mauta, lakini aipakiye magulu gangu mauta gananungya.
Hukuipaka miguu yangu kwa mafuta, lakini ameipaka miguu yangu kwa manukato.
47 Kwa jambo lee, nenda kubakia kwamba abe ni sambi zanyansima ni ninsamilie muno, ni kai atipenda muno, lakini ywasamehelwa pachini apendike pachini tu.”
Kwa jambo hili, nakwambia kwamba alikuwa na dhambi nyingi na amesamehewa zaidi, na pia alipenda zaidi. Lakini aliyesamehewa kidogo, hupenda kidogo tu.”
48 Baadaye aamakiye nnwawa, “sambi yako ichamiilwe.”
Baadaye akamwambia mwanamke, “Dhambi zako zimesamehewa”
49 Balo babatami pameza pamope nakwe ngabatumbwa longela bene kwa bene, “Aywa nyai mpaka ansamii sambi?”
Wale waliokaa mezani pamoja naye wakaanza kusemezana wao kwa wao, “Huyu ni nani mpaka anasamehe dhambi?”
50 Ni Yesu amakiye nnwawa imani yako ikukombwile, Uyende kwa amani.”
Na Yesu akamwambia mwanamke, “Imani yako imekuokoa. Enenda kwa amani”

< Luka 7 >