< Luka 15 >

1 Bai batoza ushuru boti ni benge bene sambi baichile kwa Yesu ni kumpekania.
Basi watoza ushuru wote na wengine wenye dhambi walikuja kwa Yesu na kumsikiliza.
2 Mafarisayo ni baandishi batinung'unika kababaya, mundu yoo hubakaribisha bene sambi ni lya nabo.”
Mafarisayowaote na waandishi wakanung'unika wakisema, “Mtu huyu huwakaribisha wenye dhambi na hata hula nao.”
3 Yesu kabaya mfano wono kwabe, kabaya,
Yesu akasema mfano huu kwao, akisema
4 “Nyai kwinu, kati abi ni ngondolo mia jimo ni mei teo anobite yumo kati yabo, apala kuwaleka balo tisini na tisa mupongote, ni ayende kumpala yolo ywanobite mpaka kumbona?
“Nani kwenu, kama ana kondoo mia moja na akipotelewa na mmoja wao, hatawaacha wale tisini na tisa nyikani, na aende akamtafute yule aliyepotea hadi amwone?
5 Ni ywewmbe maite mpatike umbeka mulipamba lyake ni pulaika.
Naye akisha kumpata humweka mabegani pake na kufurahia.
6 Paika kunyumba, ubakema mbwiga kwa yango ni jirani yake nakuwabakiya mupurahi pamope ni nee, kwa kuwa nimpatike ngondolo ywango ywaobite.'
Afikapo kwenye nyumba, huwaita rafiki zake na jirani zake akawaambia furahini pamoja nami, kwa kuwa nimempata kondoo wangu aliyepotea.'
7 Nindakuwabakia nyonyonyo kupabaa ni puraha kumaunde kwaajili ya mwene sambi yumo yatubu, zaidi ya bene haki tisini na tisa babile ntopo hoha ya tubu.
nawaambia vivyo hivyo kutakuwa na furaha mbinguni kwa ajili ya mwenye dhambi mmoja atubuye, zaidi ya wenye haki tisini na tisa ambao hawana haja ya kutubu
8 Au kuna nnwawa gani ywabile ni sarafu komi za mbanje, payaobite ni sarafu jimo, hapa washa taa ni pyaya nyumba ni kuipala kwa bidii hadi kuipata?
Au kuna mwanamke gani mwenye sarafu kumi za fedha, akipotewa na sarafua moja, hata washa taa na kufagia nyumba na kutafuta kwa bidii hadi atakapoipata?
9 Ni paibona hubakema mbwiga kwaa yake majirani bake kuwabakia mpurahi pamope ni nee, kwa kuwa niipatike sarafu yango yaniobite.
Na akiisha kuiona huwaita rafiki zake na jirani zake akawaambia furahini pamoja nami, kwa kuwa nimeipata tena sarafu yangu niliyokua nimeipoteza.
10 Hata nyoo nindakuwabakiya ibile puraha nnonge ya malaika wa Nnongo kwaajili ya mwene sambi yumo tubu.”
Hata hivyo nawaambia kuna furaha mbele ya malaika wa Mungu kwa ajili ya mwenye dhambi mmoja atubuye.”
11 Ni Yesu atibaya, “mundu yumo abile ni bana abele
Na Yesu akasema, “Mtu mmoja alikua na wana wawili
12 Yolo nchunu atikum'bakiya tate bake, tate unipei sehemu ya mali yango yoti kuirithi. Nga atibagana mali yake kati yabo.
yule mdogo akamwambia babaye, Baba nipe sehemu ya mali inayonistali kuirithi. Hivyo akagawanya mali zake kati yao.
13 Machoba ganambone kwaa yolo nchunu atokusanya vyoti anavyomiliki naboka kilambo cha mbale, na kwoo atitapanya mbanje yake, kwa pema ilebe yaipalite kwaa, na tapanya mbanje yake kwa anasa,
Siku si nyingi yule mdogo akakusanya vyote anavyomiliki akaenda nchi ya mbali, na huko akatapanya hela zake, kwa kununua vitu asivyo vihitaji, na kutapanya fedha zake kwa anasa.
14 Naye pabweni ayomwile tumiya yoti njala kolo itiyingya pakilambo chelo nayembe atumbwile panga abi na uhitaji.
Nae alipokua amekwisha tumia vyote njaa kuu iliingia nchi ile naye akaanza kuwa katika uhitaji.
15 Atiyenda ni kuajiri mwene kwa yumo wa raia wa kilambo chelo, ni yembe atikumpeleka kumng'unda wake lisha magobe.
Akaenda na kujiajiri mwenyewe kwa mmoja wa raia wa nchi ile, naye alimpeleka shambani kwake kulisha nguruwe.
16 Ni atitamani kuishibisha kwa maakapi yabalile kwa sababu ntopo mundu ywampei kilebe chochoti cha lya.
Na akawa akitamani kujishibisha kwa maganda waliyokula nguruwe kwa sababu hakuna mtu aliempa kitu chochote apate kula.
17 Ila yolo mwana nchunu patambwile mwoyoni mwake, abaite ni atumishi alenga wa tate bango bana chakulya chanambone cha tosha ni nenga nibile pano, ni waa na njala!
Ila yule mwana mdogo alipozingatia moyoni mwake, alisema 'ni watumishi wangapi wa baba yangu wanachakula kingi cha kutosha na mimi niko hapa, ninakufa na njaa!
18 Nipala boka ni yenda kwa tate bango, ni umbakiya, “Tate nikosite kunani ya maunde ni nnongi ya minyo gako.
Nitaondoka na kwenda kwa baba yangu, na kumwambia, “Baba nimekosa juu ya mbingu na mbele ya macho yako.
19 Nistahilli kwaa kemelwa mwana wako kae, unipange kati yumo wa atumwa bako.”
Sistahili kuitwa mwana wako tena; nifanye kama mmoja wa watumishi wako.”
20 Ndipo atiboka ni yenda kwa tate bake, pabile angaliu palipite napatate bake amweni akiya ayei lubela ni kumkumbatiya ni kumnoniya. Yolo mwana atikum'bakiya,
Ndipo akaondoka akaenda kwa baba yake. Alipokua angali mbali baba yake alimuona akamwonea huruma akaenda mbio na kumkumbatia na kumbusu.
21 “Tate nikosite kunani ya maunde ni nnonge ya minyo gako nistaili kwaa kemelwa mwana wako.'
Yule mwana akamwambia, 'baba nimekosa juu ya mbingu na mbele ya macho yako sistahili kuitwa mwana wako.'
22 Yolo tate atikuwabakiya atumishi bake,'mulileti upesi nganju ya ibile bora, mukamuwalike mujei ni pete mu'ingonji ni ilatu mumagolo.
Yule baba aliwaambia watumishi wake, 'lileteni upesi vazi lililo bora, mkamvike mtieni na pete kidoleni na viatu miguuni.
23 Boka po munileti ndama yolo yanonite nakumchinja uliye ni kupurai.
Kisha mleteni ndama yule alienona mkamchinje tule na kufurai.
24 Kwa kuwa mwana wango atiwaa naywembe abi hai. Ati oba nakwe atibonekana batumbwile shangilia.
Kwa kuwa mwanangu alikua amekufa naye yu hai. Alikua amepotea nae ameonekana wakaanza kushangilia.
25 Bai yolo mwana wake mpendo abile kumngunda. Pabayowine ni karibia kunyumba ayowine malobe ya nyambo ni ng'anda.
Basi yule mwanae mkubwa alikuwako shamba. Alipokuwa akija na kuikaribia nyumba alisikia sauti ya nyimbo na michezo.
26 Amkemite mtumishi yumo nakumlokiya makowe gano maana yake namani”
Akaita mtumishi mmoja akamuuliza mambo haya maana yake nini?
27 Mtumishi akam'bakiya mnunako haichile ni tate bako atikumchinjia ndama yanenipe kwasababu atibuya salama,'
Mtumishi akamwambia mdogo wako amekuja na baba yako amemchinjia ndama aliyenona kwa sababu amerudi salama.'
28 Mwana mpendo atikasirika akani jingiya nkati ni tate bake apitike panja kumpembeya.
Mwana mkubwa akakasirika akakataa kuingia ndani na babaye alitoka nje kumsihi.
29 Ila atikuyangwa tate bake baya, “lola nenga nitikutumikiya miaka yanambone, wala nikosite kwaa amri yako, lakini unipei kwaa mwana mbui lenga niweche sherekea ni rafiki zango.
Ila akamjibu babayake akisema, 'Tazama mimi nimekutumikia miaka mingi, wala sijakosa amri yako, lakini hujanipa mwana mbuzi, ili niweze kusherehekea na rafiki zangu.
30 Lakini paichile yono mwana wako watapakinye mali yako yoti pamope ni makahaba atikunchinjia ndama yanenipe.
Lakini alipokuja huyu mwana wako aliyetapanya mali yako yote pamoja na makahaba umemchinjia ndama alienona.
31 Tate akabakiya,'mwana wango, wenga u pamope ni nenga kila machoba goti ni vyoti yanibile vyo vyako wenga.
Baba akamwambia, 'Mwanangu, wewe u pamoja nami siku zote na vyote nilivyo navyo ni vyako.
32 Ila yapangite vyema kwitu kumpangiya sherehe ni purai, yono mbwiga wako atiwaa, nanambeambe abi nkoti, ni atioba ni ywembe apatikine.”
Ila ilikua vyema kwetu kufanya sherehe na kufurahi, huyu ndugu yako alikua amekufa, na sasa yu hai; alikua amepotea naye ameonekana.”

< Luka 15 >