< Yohana 4 >

1 Yesu atangite kuwa Mafarisayo bayowine kuwa Yesu abile abafundisha ni kuabatiza zaidi ya Yohana.
Basi Yesu alipofahamu kuwa Mafarisayo wamesikia kuwa Yesu alikuwa anafuasa na kuwabatiza zaidi ya Yohana,
2 (Ila Yesu mwene abatiza kwaa ila banapunzi bake),
(ingawa Yesu mwenyewe alikuwa habatizi ila wanafunzi wake),
3 Aboi Yudea no yenda Galilaya.
alitoka Judea na akaenda Galilaya.
4 Ibile muhimu peta Samalia.
Hivyo ilikuwa muhimu kupitia Samaria.
5 Paikite mu. nnema wa Samaria, wakemelwa Sikari, papipi ni lieneo lya Yakobo atikumpea mwana wake Yusufu.
Na akafika kwenye mji wa Samaria, unaoitwa Sikari, karibu na eneo ambalo Yakobo alimpa mwanae Yusufu.
6 Ni kiembwa cha Yakobo chabile palyo. Yesu achokite kwaajili ya safari ni kutama papipi ni kiembwa. Ubile muda wa mutwekati.
Na kisima cha Yakobo kilikuwa hapo. Yesu alikuwa amechoka kwa ajili ya safari na akakaa karibu na kisima. Ilikuwa muda wa mchana.
7 Nwawa Msamalia aisile kutola mase, ni Yesu kammakiya, “Unipei mase niywee.”
Mwanamke Msamaria alikuja kuteka maji, na Yesu akamwambia, “Nipe maji ninywe.”
8 Kwa kuwa anapunzi bake babile batiyenda mjini kupemea chakulya.
Kwa sababu wanafunzi wake walikuwa wameenda zao mjini kununua chakula.
9 Yolo nnwawa atikummakiya, “Ipalika namani wenga wa Myahudi, kunloba nenga Msamaria, kilebe cha nywaa?” Kwa mana Ayahudi kabachangamana kwaa ni Asamalia.
Yule mwanamke akamwambia, “Inakuaje wewe Myahudi, kuniomba mimi mwanamke Msamaria, kitu cha kunywa?” Kwa sababu Wayahudi hawachangamani na Wasamaria.
10 Yesu kannyangwa, “mana utangite karama ya Nnongo, ni yolo ywakumakiye “Mbei mase,' ywalowa kunnoba, ni kukupeya mase ga ukoti.”
Yesu akamjibu, “Kama ungelijua karama ya Mungu, na yule anayekuambia 'Nipe maji, ' ungelimwomba, na angelikupa maji ya uzima.”
11 Nwawa kayangwa, “Ngwana ubile kwaa ni ndoo yochotya, ni kilose sabile kirefu. Walowa kugapata wapi mase ga ukoti?
Mwanamke akajibu, “Bwana hauna ndoo ya kuchotea, na kisima ni kirefu. Utayapata wapi Maji ya Uzima?
12 Je wenga nga nkolo, kuliko tate bitu Yakobo, ywatupeile kiembwa, ni ywembe mwene ni bana bake pamope ni mifugo yake banywea mase ga kisima chino?”
Je wewe ni mkuu, kuliko baba yetu Yakobo, ambaye alitupa kisima hiki, na yeye mwenyewe na watoto wake pamoja na mifugo yake wakanywa maji ya kisima hiki?”
13 Yesu kanyangwa, “Yeyoti ywanyaa mase aga alowa pata kiu kae?
Yesu akajibu, “Yeyote anywae maji haya atapata kiu tena,
14 lakini ywembe ywa nywaa mase ganipea nenga alowa pata kwaa kiu kae. Badala yake mase ganimpeya yapangika chemchem yaibubujika hata milele.” (aiōn g165, aiōnios g166)
lakini yeye atakaye kunywa maji nitakayompa hatapata kiu tena. Badala yake maji nitakayompa yatakuwa chemchemi inayobubujika hata milele.” (aiōn g165, aiōnios g166)
15 Yolo nnwawa kammakiya, “Ngwana, naloba ago mase ili kana niipate kiu, ili kana niangaike kuisa pano kutola mase.”
Yule mwanamke akamwambia, “Bwana, nayaomba maji hayo ili nisipate kiu, na nisihangaike kuja hapa kuchota maji.”
16 Yesu kammakiya, “Uyende ukankeme nchengo wako.”
Yesu akamwambia, “Nenda kamwite mumeo, kisha urudi.”
17 Nwawa kammakiya, “Nibile kwaa ni nchengo.” Yesu kanyangwa, “Ubayite sapi,'Nibile kwaa ni nchengo,'
Mwanamke akamwambia, “Sina mume.” Yesu akajibu, “Umesema vyema, 'Sina mume;'
18 Mana ubile ni analome atano, ni yumo ywabile naye nambeambe ni nchengo wako kwaa. Katika lelo ubayite ukweli!”
kwa maana umekuwa na wanaume watano, na mmoja ambaye unaye sasa sio mume wako. Katika hili umesema kweli!”
19 Nwawa kammakiya, “Ngwana nabweni kuwa wenga wa nabii.
Mwanamke akamwambia, “Bwana naona yakuwa wewe ni nabii.
20 Tate bitu babile bakiabudu mu'kitombe chelo. Lakini mwenga mwabaya ya kuwa Yerusalemu nga pandu ambapo bandu bapaswa kuabudu.”
Baba zetu waliabudu katika mlima huu. Lakini ninyi mwasema ya kuwa Yerusalemu ndiyo sehemu ambayo watu wanapaswa kuabudu.”
21 Yesu kanyangwa, “Nwawa, niamini, muda uisile mwalowa abudu kwaa Tate mu'kitombe chelo au Yerusalemu.
Yesu akamjibu, “Mwanamke, niamini, wakati unakuja ambapo hamtamwabudu Baba katika mlima huu au Yerusalemu.
22 Mwenga bandu mwakiabudu kilebe chamukitangite kwaa, lakini twenga twaabudu chelo twakitangite, kwa mana wokovu uboka kwa Ayahudi.”
Ninyi watu mwaabudu kile msichokijua, lakini sisi twaabudu tunachokijua, kwa sababu wokovu watoka kwa Wayahudi.”
23 Hata nyoo, muda waisa, ni mbeambe ubile pano, muda balo baabudu kweli balowa kumwabudu Tate atikuwapala bandu wa aina yee kupangika bandu babile bamwabudu.
Hatahivyo, wakati unakuja, na sasa upo hapa, wakati waabuduo kweli watamwabudu Baba katika roho na kweli, kwa sababu Baba anawatafuta watu wa namna hiyo kuwa watu wake wanao mwabudu.
24 Nnongo ni Roho, ni balo bamwabudu bapalikwa kumwabudu kwa roho ni kweli.”
Mungu ni Roho, na wale wanaomwabudu wanapaswa kumwabudu kwa roho na kweli.”
25 Nnwawa kammakiya, “Nitangite kuwa Masihi anaisa, (Ywakemelwa Kristo). Aywo mana aisile alowa kutubakiya yoti.”
Mwanamke akamwambia, “Ninajua kuwa Masihi anakuja, (aitwaye Kristo). Huyo atakapokuja atatwambia yote.”
26 Yesu kammakiya, “Nenga ubayite ninenga nga ywembe.”
Yesu akamwambia, “Mimi unayesema nami ndiye.”
27 Muda woo anapunzi bake babuyangine. Nabo batishangala kwa namani abile kaalongela ni nwawa, lakini ntopo ywathubutu kunnobia, “Upala namani?” au “Kwa mwanja namani ulongela ni ywembe?”
Wakati huo huo wanafunzi wake wakarudi. Nao walishangaa kwa nini alikuwa akizungumza na mwanamke, lakini hakuna aliyethubutu kumuuliza, “Unataka nini?” au “Kwa nini unazungumza naye?”
28 Yolo nnwawa aulekite mtungi wake ni kuyenda mjini kuamakiya bandu,
Hivyo mwanamke akauacha mtungi wake na akaenda mjini na akawambia watu,
29 “Muise kunlola mundu ywanibakiye makowe gangu yoti ganipangite, je yawezekana kuwa nga Kristo?”
“Njooni mwone mtu aliyeniambia mambo yangu yote niliyoyatenda, je yawezekana akawa ndiye Kristo?”
30 Baboi mjini ni kuisa kwake.
Wakatoka mjini wakaja kwake.
31 Muda wa mutwe kati anapunzi bake batikunnoba kababaya, “Rabi ulye chakulya.”
Wakati wa mchana wanafunzi wake walimsihi wakisema, “Rabi kula chakula.”
32 Lakini ywembe kaabakiya, “Nenga nibile ni chakulya mukitangite kwaa mwenga,”
lakini yeye aliwambia, “Mimi ninacho chakula msichokijua ninyi.”
33 Anapunzi bake kabakokeyana, ntopo ywaletike kilebe chochote kulya,” je baletike?
Wanafunzi wakaambizana, hakuna aliyemletea kitu chochotekula,”Je walileta?”
34 Yesu kaamakiya, “Chakulya chango ni kugapanga mapenzi gake ywembe ywanitumile ni kwitimiza kazi yake.
Yesu akawambia, “Chakula changu ni kufanya mapenzi yake yeye aliyenituma na kutimiza kazi yake.
35 Je mulongela kwaa,'Bado miezi itano ni mauno gapangika tayari?' Naabakiya mulinge migunda yabile tayari kwa mauno.
Je, hamsemi, 'Bado miezi mitano na mavuno yatakuwa tayari?' Ninawambieni tazameni mashamba yalivyo tayari kwa mavuno!
36 Ywembe ywauna upokya mishahara ni kukusanya matunda kwaajili ya ukoto angeyomoka, ili ywembe apandae ni ywembe ywauna bapuraike mpamo. (aiōnios g166)
Yeye avunaye hupokea mishahara na kukusanya matunda kwa ajili ya uzima wa milele, ili kwamba yeye apandaye naye avunaye wafurahi pamoja. (aiōnios g166)
37 Kwa mana lilongelo lee ni lya kweli,'Yumo ywapanda ni ywenge auna.'
Kwa kuwa msemo huu ni wa kweli, 'Mmoja apanda na mwingine avuna.'
38 Natikwatuma una chabile mwakihangaikia kwaa. Benge bapangite kasi ni mwenga mujingya mu'puraha ya kasi yabe.”
Niliwatuma kuvuna ambacho hamkukihangaikia, Wengine wamefanya kazi na ninyi mmeingia katika furaha ya kazi yao.”
39 Asamaria baingi mu'mji wolo batimwamini kwa taarifa ya yolo nnwawa ywabile atishuhudia.”Ywanibakiye makowe goti yanigapangite.”
Wasamaria wengi katika mji ule walimwani kwa sababu ya taarifa ya yule mwanamke aliyekuwa akishuhudia, “Aliyeniambia mambo yote niliyoyafanya.”
40 Nyoo Asamaria baisile kunnoba atame pamope nabo ni katama kwao kwa masoba abele.
Hivyo Wasamaria walipokuja walimsihi akae pamoja nao na akakaa kwao kwa siku mbili.
41 Ni baingi muno batikumwanini pitya neno lyake.
Na wengi zaidi wakamwamini kwa sababu ya neno lake.
42 Bammakiye yolo nnwawa, “Tutiamini kwa maneno gako kwaa kae, kwa mana twenga twabene tuyowine, nambeambe tuyowine kuwa hakika ywembe nga mwokozi wa ulimwengu.”
Wakamwambia yule mwanamke, “Tunaamini sio tu kwa maneno yako, kwa sababu sisi wenyewe tumesikia, na sasa twafahamu kuwa hakika yeye ni mwokozi wa ulimwengu.”
43 Baada ya masoba ago abele, atiboka ni kuyenda Galilaya.
Baada ya siku hizo mbili, akaondoka na kuelekea Galilaya.
44 Kwa mama ywembe mwene abile atitangaza kuwa nabii abile kwaa ni heshima mu'nnema wake mwene.
Kwa sababu yeye mwenyewe alikuwa ametangaza kuwa nabii hana heshima katika nchi yake mwenyewe.
45 Paaisile kuoma Galilaya, Agalilaya batikumpokya. Babile babweni makowe goti agapangite Yerusalemu mu'sikukuu, kwa mana na bembe babile mu'sikukuu.
Alipokuja kutoka Galilaya, Wagalilaya walimkaribisha. Walikuwa wameona mambo yote aliyoyafanya Yerusalemu kwenye sikukuu, kwa sababu na wao pia walikuwa wamehudhuria kwenye sikukuu.
46 Aisile kae Kana ya Galilaya kolo atigabadilisha mase kuwa divai. Pabile ni ofisa mwana wake abile mtamwe kolyo Kapernaumu.
Alikuja tena Kana ya Galilaya huko alikoyabadilisha maji kuwa divai. Palikuwa na ofisa ambaye mwana wake alikuwa ni mgonjwa huko Kapernaumu.
47 Payowine kuwa Yesu aboi Yudea ni yenda Galilaya, kayenda kwa Yesu ni kumsihi auluke kumlopwa mwana wake, ywabile karibu ya kiwo.
Aliposikia kuwa Yesu alitoka Judea na kwenda Galilaya, alienda kwa Yesu na kumsihi atelemke amponye mwanawe, ambaye alikuwa karibu kufa.
48 Nga Yesu kammakiya, “Mwenga pamwaibweni kwaa ishara ni maajabu muweza kwaa aminiya.
Ndipo Yesu akamwambia, “Ninyi msipoona ishara na maajabu hamwezi kuamini.
49 Kiongozi kabaya, “Ngwana uluka pae kabla mwana wangu kuwaa.”
Kiongozi akasema, “Bwana shuka chini kabla mwanangu hajafa.”
50 Yesu kammakiya, “Uyende mwana wako ni nkoto.” Yolo mundu aaminiya neno lyalibayite Yesu ni yenda zake.
Yesu akamwambia, “Nenda mwanao ni mzima.” Yule mtu akaamini neno alilolisema Yesu na akaenda zake.
51 Paabile auluka, amanda bake kabampokya ni kummakiya mwana wake abile nkoto.
Alipokuwa akishuka, watumishi wake walimpokea na kumwambia mwana wake alikuwa mzima.
52 Kaalaluya ni muda gani aupatike ukoto. Kabannyangwa, “Jana muda wa saa saba homa yanlekite.”
Hivyo akawauliza ni muda gani alipata nafuu. Wakajibu, “Jana muda wa saa saba homa ilipomwacha.”
53 Nga tate bake atangite kuwa ni muda wowolo Yesu abayite, “Mwana wako nga nkoto.” Nyoo ywembe ni familiya yake baaminiye.
Ndipo baba yake akatambua kuwa ni muda ule ule Yesu aliosema, “Mwana wako ni mzima.” Hivyo yeye na familia yake wakaamini.
54 Ayee yabile nga ishara yana ibele yapangite Yesu palo aboite Yudea yendya Galilaya.
Hii ilikuwa ni ishara ya pili aliyoifanya Yesu alipotoka Yudea kwenda Galilaya.

< Yohana 4 >