< Yakobo 2 >

1 Mwalongo bango kana muibalange imani ya Ngwana witu Yesu Kristu, Ngwana wa Utukufu, kwopendelea bandu fulani.
Ndugu zangu msiifuate imani ya Bwana Yesu Kristo, Bwana wa utukufu, kwa kupendelea watu fulani.
2 Kati mundu fulani ajingii mu'mikutano yinu aweti pete ya dhahabu no aweti kinanoga, kabee ajingingile maskini ywabile aweti kwaa kinoyite.
Kama mtu fulani akiingia kwenye mikutano yenu amevaa pete za dhahabu na mavazi mazuri, pia akaingia masikini mwenye mavazi machafu,
3 no laya kumpala muno yolo mwene aweti ngobo inoite no baya “Chonde wenga tama pano pandu panoite” lakini mummakiye yolo maskini, “Wenga yema pano.” au “Tama pae ya magolo gango.”
na mkaonyesha kumjali zaidi yule mwenye mavazi mazuri na kusema, “Tafadhari wewe keti hapa mahali pazuri” lakini mkamwambia yule masikini, “Wewe simama pale,” au “Kaa chini ya miguu yangu.”
4 Je, muhukumiana kwaa mwenga mwabene, ni kua baamuzi babile ni mawazo mabou?
Je, hamuhukumiani ninyi wenyewe, na kuwa waamuzi wenye mawazo mabaya?
5 Mupekani, mwalongo bango mwapendilwe, je, Nnongo achawile kwaa maskini ba dunia kuapanga matajiri mu imani ni kurithi upwalume waadile babampindile?
Sikilizeni, ndugu zangu wapendwa, je, Mungu hakuwachagua masikini wa dunia kuwa matajiri katika imani na kurithi ufalme aliowaahidia wampendao?
6 Lakini mwasalawile maskini! Je matajiri kwaa kabawatesa mwenga, na bembe kabaaburuta kwaa mahakamani mwenga?
Lakini mmewadharau masikini! Je, sio matajiri wanaowatesa ninyi, na sio wao wanaowaburuta mahakamani?
7 Je matajiri kwaa babalitukana lina lelo linoite lyamukemilwe kwake?
Je, si matajiri wanaolitukana jina lile zuri ambalo kwalo mnaitiwa?
8 Hata nyoo, kati mwatiitimiza yelo saliya ya upwalume kati yaiandikilwe mu'maandiko, “upalikwa kumpenda jirani yako kati wenga wa mwene,” mwapanga vyema.
Hata hivyo, kama mwaitimiza ile sheria ya kifalme kama ilivyoandikwa katika maandiko, “Utampenda jirani yako kama wewe mwenyewe,” mwafanya vyema.
9 Lakini kati mwaipendile baadhi ya bandu, mwalowa panga sambi, mwahukumu ni saliya kuwa ni watekuwa saliya.
Lakini kama mkipendelea baadhi ya watu, mnatenda dhambi, mwahukumiwa na sheria kuwa ni wavunja sheria.
10 Kwanyo ywoywoti ywaifata saliya yoti, na bado akobile nukta yimo tu, abile ni hatia ya tekwana saliya yoti.
Kwa kuwa yeyote atiiye sheria yote, na bado akajikwaa katika nukta moja tu, amekuwa na hatia ya kuvunja sheria yote!
11 Kwamba Nnongo atebaya, “kana uzini,” nga ywembe abayite, “kana ubulage,” mana uzini kwaa, lakini wabulaga, utekwanike saliya ya Nnongo.
Kwa kuwa Mungu aliyesema, “Usizini,” ndiye pia aliyesema, “Usiue.” Kama hauzini, lakini una uwa, umekwishavunja sheria ya Mungu.
12 Kwa eyo mulongele no kwiheshimu kati balo mubile karibu hukumilwa na saliya ya uhuru.
Kwa hiyo zungumzeni na kutii kama wale ambao mko karibu kuhukumiwa na sheria ya uhuru.
13 Kwa mana hukumu uisa bila huruma kwa balo babile kwaa ni huruma. Huruma uitukuza yene nnani ya hukumu.
Kwa kuwa hukumu huja pasipo huruma kwa wale wasio na huruma. Huruma hujitukuza juu ya hukumu.
14 Kwina uzuri gani, alongo bango, kati mundu abaya nibile ni imani, lakini abile kwaa ni makowe?
Kuna uzuri gani, ndugu zangu, kama mtu anasema ninayo imani, lakini hana matendo? Je, imani hiyo yaweza kumwokoa?
15 Je yelo imani yawesa kumlopwa? Kati nongo nnalome au nnwawa ni mhitaji wa ngobo au chakulya cha kila lisoba,
Kama ndugu wa kiume au wa kike ni muhitaji wa mavazi au chakula cha kila siku,
16 ni yumo winu kaamakiya, “Muyende kwa imani, mukayote mwoto ni mulye kunanoga,” lakini kana muapeye mahitaji muhimu ya yega, ifaike namani?
na mmoja wenu akawaambia, “Nendeni kwa amani, mkaote moto na mle vizuri,” lakini hamuwapi mahitaji muhimu ya mwili, hiyo yafaaa nini?
17 Imani kichake, kati yabile kwaa ni makowe, ifaike kwaa.
Hali kadhalika, imani pekee, kama haina matendo, imekufa.
18 Bado mundu fulani aweza baya, “Ubile ni imani, ni nenga nabile ni makowe.” Nilaye imani yako panga kwaa makowe, ni nenga nalowa kukulaya imani yango kwa makowe gango.
Bado mtu fulani anaweza kusema, “Una imani, na mimi ninayo matendo.” Nionyeshe imani yako pasipo matendo, nami nitakuonyesha imani yangu kwa matendo yangu.
19 Wendaamini kuwa kwabile ni Nnongo yumo, ubile sahihi. Lakini nchela nabo batiamini nyoo ni lendema.
Waamini kuwa kuna Mungu mmoja; uko sahihi. Lakini mapepo nayo yanaamini hivyo na kutetemeka.
20 Je, upala yowa, ywa mundu mpumbavu, namna yolo imani bila makowe ifaike kwaa?
Je, unataka kujua, ewe mtu mpumbavu, namna ambavyo imani hiyo pasipo matendo isivyofaa?
21 Je Tate bitu kwaa Abrahamu ywaabalangilwe haki kwa makowe gampiite mwana wake Isaka nnani ya madhabahu?
Je, si baba yetu Abrahamu alihesabiwa haki kwa matendo alipomtoa mwanawe Isaka juu ya madhabahu?
22 Mwabweni kuwa imani yake ipangite kazi ni makowe gake, ni kwa makowe gake, imani yake yaiyikiye kusudio lyake.
Mnaona kuwa imani yake ilifanya kazi na matendo yake, na kwa matendo yake, imani yake ilifikia kusudio lake.
23 Maandiko gatimizwa gagabaya, “Abrahamu atimwamini Nnongo, ni atibalangilwa kuwa mwene haki.”Kwa eyo Abrahamu atikemelwa rafiki ba Nnongo.
Maandiko yalitimizwa yasemayo, “Abrahamu alimwamini Mungu, na akahesabiwa kuwa ni mwenye haki.” Hivyo Abrahamu aliitwa rafiki wa Mungu.
24 Mwamweni kuwa kwa makowe mundu alowa balangilwa haki, na nga imani kwaa kichake.
Mwaona kuwa kwa matendo mtu huhesabiwa haki, na si kwa imani tu.
25 Kadhalika, Je abile kwaa Rahabu yolo kahaba ywabalangilwe haki kwa matendo, ywaakaribisha ajumbe ni kuapeleka kwa ndela yenge?
Hali kadhalika, je, hakuwa Rahabu yule kahaba alihesabiwa haki kwa matendo, alipowakaribisha wajumbe na kuwapeleka kwa barabara nyingine?
26 Kwa mana kati ya yega bila roho wawile, nyonyo, imani bila makowe iwile.
Kwa kuwa kama vile mwili usipokuwa na roho umekufa, vivyo hivyo imani pasipo matendo imekufa.

< Yakobo 2 >