< Akolosai 2 >

1 Kwa mana nipala muitange jinsi ambayo nibile na taabu zanyansima kwa ajili yinu, kwa bote babile Laodikia na kwa bote ambao babona kwaa minyo yango mu'yega.
I want you to know in how great a struggle I am engaged for you and for Christ’s people at Laodicea, and for all who have not yet seen me;
2 Napanga kazi ili kuwa mu'mioyo yabe iweze kufarijiwa kwa kuletwa pamope mu'lipendo ni mu'utajiri woti wanansima wa uhakika kamili wa maarifa, mu'kuitanga siri ya kweli ya Nnongo, lwabile ni Kristo.
in the hope that they, being bound to one another by love, and keeping in view the full blessedness of a firm conviction, may be encouraged to strive for a perfect knowledge of God’s hidden truth,
3 Mu'hazina yoti ya hekima ni maarifa ziyowanika kwaa.
even Christ himself, in whom all treasures of wisdom and knowledge lie hidden.
4 Nilongela nyoo ili kwamba mundu yeyoti kana aise kuwapangia hila kwa hotuba yabile ni ushawishi.
I say this to prevent anyone from deceiving you by plausible arguments.
5 Na ingawa nibile kwaa pamope ni nenga mu'yega, lakini nabile ni mwenga mu'roho. Napuraika kuubona utaratibu winu unoite ni ngupu ya imani yinu mu'Kristo.
It is true that I am not with you in person, but I am with you in spirit, and am glad to see the good order and the unbroken front resulting from your faith in Christ.
6 Kati mwampokii Kristo Ngwana, mutyange mu'ywembe.
Since, therefore, you have received Jesus, the Christ, as your Lord, live your lives in union with him –
7 Muiimarishe mu'ywembe, muchengwe nkati ya ywembe, muimarishwe nkati ya imani kati mwamupundishilwe, kutabilwa mu'shukrani yanyansima.
rooted in him, building up your characters through union with him, growing stronger through your faith, as you were taught, overflowing with faith and thanksgiving.
8 Mulole ya kuwa mundu yeyote kana abanase kwa falsafa ni maneno matupu ga ubocho lingana na mapokeo ga bandu, lingana na kanuni ya kidunia, na lingana kwaa na Kristo.
Take care that there is not someone who will carry you away by his ‘philosophy’ – a hollow sham! – following, as it does, mere human traditions, and dealing with puerile questions of this world, and not with Christ.
9 Kwa kuwa mu'ywembe ukamilifu woti wa Nnongo utamile mu'yega.
For in Christ the Godhead in all its fulness dwells incarnate;
10 Mwenga mwatijazwa mu'ywembe. Ywembe nga ntwe wa kila uweza ni mamlaka.
and, by your union with him, you also are filled with it. He is the head of all archangels and powers of heaven.
11 Mu'ywembe kae mwatitahiriwa kwa tohara ipangilwa kwaa na bandu mu'kuboyelwa yega wa nyama, lakini nga mu'tohara ya Kristo.
By your union with him you received a circumcision that was not performed by human hands, when you threw off the tyranny of the earthly body, and received the circumcision of the Christ.
12 Mwatisikwa pamope ni ywembe mu'ubatizo. Na kwa ndela ya imani ywembe mwatifufuliwa kwa uweza wa Nnongo, ywabile atikutufufua boka mu'kiwo.
For in baptism you were buried with Christ; and in baptism you were also raised to life with him, through your faith in the omnipotence of God, who raised him from the dead.
13 Na mwabile mwatiwaa mu'makosa yinu na kutahiriwa kwaa kwa yega yinu, awapangite ukoto pamope ni ywembe ni kuasamehe makosa yitu yote.
And to you, who once were dead, by reason of your sins and your uncircumcised nature – to you God gave life in giving life to Christ! He pardoned all our sins!
14 Atikuifuta kumbukumbu ya madeni yaiandikilwe, ni taratibu yaibile kunchogo na twenga. Aiboite yote na kuigongomea msalabani.
He canceled the bond which stood against us – the bond that consisted of ordinances – and which was directly hostile to us! He has taken it out of our way by nailing it to the cross!
15 Atikuiboywa ngupu ni mamlaka. Atikugabeka wazi na kugapanga kuwa sherehe ya ushaidi kwa ndela ya msalaba wake.
He rid himself of all the powers of evil, and held them up to open contempt, when he celebrated his triumph over them on the cross!
16 Kwa nyo, mundu kana abamuhukumu mwenga mu'kulya au mu'kunywa, au kuhusu lisoba lya sikukuu au mwezi waayambe, au lisoba lya Sabato.
Do not, then, allow anyone to take you to task on questions of eating or drinking, or in the matter of annual or monthly or weekly festivals.
17 Ayee nga ivuli ya makowe gaisa, lakini kiini nga Kristo.
These things are only the shadow of what is to come; the substance is in the Christ.
18 Mundu yeyote kana anyang'anywe tuzo yake kwa tamaniya unyenyekevu ni kwa kuabudu mamlaka. Mundu wa jinsi yee ujingya mu'makowe yaayabonikiye ni kushawishiwa ni mawazo yake kwa yega.
Do not let anyone defraud you of the reality by affecting delight in so-called ‘humility’ and angel-worship. Such a person busies themselves with their visions, and without reason are rendered conceited by their merely human intellect.
19 Ywembe aukamwa kwaa ntwe kuwa yega woti pitya viungo vyake ni mifupa uungwa na kushikamanikiwa kwa mpamo; ni hukua kwa ukuaji ubokana no Nnongo.
They fail to maintain union with the head, to whom it is due that the whole body, nourished and knit together by the contact and connexion of every part, grows with a divine growth.
20 Mana itei mwati waa pamope ni Kristo kwa tabia za dunia, mbona mwatama kati mwatiwajibika kwa dunia:
Since, with Christ, you became dead to the puerile teaching of this world, why do you submit, as if you still belonged to the world,
21 “Kana muikamwe, wala kuionja, wala kuigusa?”
to such ordinances as ‘Do not handle, or taste, or touch’?
22 Aga goti yatiamuliwa kwa ajili ya uharibifu woisa ni matumizi, bokana na maelekezo ni mapundisho ga bandu.
For all the things referred to in them cease to exist when used. You are following mere human directions and instructions.
23 Saliya zino zabile ni hekima ya dini zabile zatitengwa kwa ubinafsi ni unyeyekevu ni mateso ga yega. Lakini zabile kwaa ni thamani dhidi ya tamaa ya yega.
Such prohibitions appear reasonable where there is a desire for self-imposed service, and so-called ‘humility,’ and harsh treatment of the body, but are of no real value against the indulgence of our earthly nature.

< Akolosai 2 >