< 1 Yohana 2 >

1 Bana bango apendwa, nabaandikiya makowe aga kwinu ili mupange kwaa sambi. Lakini mana yumo winu apangite sambi, tubile na wakili ywabile pamope na Tate, Yesu Kristo-ambaye ni mwenye haki.
Watoto wangu wapendwa, nawaandikia mambo haya kwenu ili msitende dhambi. Lakini kama mmoja wenu akitenda dhambi, tunaye wakili aliye pamoja na Baba, Yesu Kristo- ambaye ni mwenye haki.
2 Ywembe ni mpatanishi kwa sambi yitu, na kwa sambi yitu kichake kwaa, lakini pia kwa ulimwengu mzima.
Yeye ni mpatanishi kwa dhambi zetu, na si kwa dhambi zetu pekee, lakini pia kwa ulimwengu mzima.
3 Kwa lee tutangite panga tumtangite ywembe, kati twaitunza amri yake.
Kwa hili twajua kwamba twamjua yeye, kama tukizitunza amri zake.
4 Ywembe ywabaya, “Nintangite Nnongo,” lakini azikamwa kwaa amri zake, ni mbocho, na kweli ibile kwaa nkati yake.
Yeye asemaye, “Namjua Mungu,” lakini hazishiki amri zake, ni mwongo, na kweli haimo ndani yake.
5 Lakini yeyote ywakamwa neno lyake, kweli katika mundu yolo upendo wa Nnongo utikamilishwa. Katika lee tutangite panga tubile nkati yake.
Lakini yeyote ashikaye neno lake, kweli katika mtu yule upendo wa Mungu umekamilishwa. Katika hili twajua kwamba tuko ndani yake.
6 Ywembe ywabaya atama nkati ya Nnongo apalikwa mwene kae kuyenda kati yelo Yesu Kristo atiyenda.
Yeye asemaye anaishi ndani ya Mungu anapaswa mwenyewe pia kuenenda kama vile Yesu Kristo alivyoenenda.
7 Apendwa, niandika kwaa mwenga amri yambeambe, ila amri ya zamani ambayo muiyomwile kuwa nayo tangu mwanzo. Amri ya zamani ni neno ambalo mwatilipekania.
Wapenzi, siwaandikii ninyi amri mpya, bali amri ya zamani ambayo mmekwisha kuwa nayo tangu mwanzo. Amri ya zamani ni neno ambalo mlilolisikia.
8 Hata nyo naandikiya mwenga amri yambeambe, ambayo ni kweli katika Kristo na kwitu, kwa nana libendo lyapeta, na bweya ya kweli ibile tayari yamulikya.
Hata hivyo ninawaandikia ninyi amri mpya, ambayo ni kweli katika Kristo na kwenu, kwa sababu giza linapita, na nuru ya kweli iko tayari inaangaza
9 Ywembe ywabaya abile mwene nuru na kunchukia nongowe abile katika libendo hata nambeambe.
Yeye asemeye yuko kwenye nuru na amchukia ndugu yake yuko katika giza hata sasa.
10 Ywembe ywampenda nongowe atama katika bweya na ntopo likowe lolote laweza kunkwaza.
Yeye ampendaye ndugu yake anaishi katika nuru na hakuna jambo lolote liwezalo kumkwaza.
11 Lakini ywembe ywamchukiya nongowe abile mulibendo na atyanga mulibendo; Ywembe atangite kwaa kolyo ayendamkwa mana libendo lyatimpofua micho gake.
Lakini yeye amchukiaye ndugu yake yuko gizani na anatembea gizani; Yeye hajui wapi aendako, kwa sababu giza limeyapofusha macho yake.
12 Nabaandikia mwenga, bana apendwa, kwa sababu mwatisamiwa sambi yinu kwa ajili ya lina lyake.
Nawaandikia ninyi, watoto wapendwa, kwa sababu mmesamehewa dhambi zenu kwa ajili ya jina lake.
13 Nabaandikya mwenga, mwa tate, kwa mana mutangite ywembe ywabile tangu mwanzo. Nabaandikya mwenga, vijana, kwa mana mwatimshinda yolo nchela. Natibaandikiya mwenga, bana achunu, kwa mana muntangite Tate.
Nawaandikia ninyi, akina baba, kwa sababu mnamjua yeye aliye tangu mwanzo. Nawaandikia ninyi, vijana, kwa sababu mmemshinda yule mwovu. Nimewaandikia ninyi, watoto wadogo, kwa sababu mnamjua Baba.
14 Natibaandikya mwenga mwa tate, kwa mana mutangite ywembe ywabile tangu mwanzo. Nabaandikya mwenga vijana, kwa mana mubile imara, na neno lya Nnongo litami nkati yinu, na mwatimshinda yolo nchela.
Nimewaandikia ninyi, akina baba, kwa sababu mnamjua yeye aliye tangu mwanzo. Nimewaandikia ninyi, vijana, kwa sababu mko imara, na neno la Mungu linakaa ndani yenu, na mmemshinda yule mwovu.
15 Kana muipende dunia wala makowe ambayo yabile katika dunia. Mana itei yolo atiipenda dunia, upendo ba kumpenda Tate ubile kwaa nkati yake.
Msiipende dunia wala mambo ambayo yaliyo katika dunia. Iwapo yule ataipenda dunia, upendo wa kumpenda Baba haumo ndani yake.
16 Mana kila kilebe chakibile katika dunia-tamaa ya yega, tamaa ya minyo, na kiburi cha ukoto-vyabokania kwaa na Tate lakini vyabokana na dunia,
Kwani kila kitu kilichomo katika dunia- tamaa ya mwili, tamaa ya macho, na kiburi cha uzima- havitokani na Baba lakini vinatokana na dunia.
17 Dunia na tamaa zake zapeta. Ila ywembe ywapanga mapenzi ga Nnongo yolo atama milele. (aiōn g165)
Dunia na tamaa zake zinapita. Bali yeye afanyaye mapenzi ya Mungu huyo adumu milele. (aiōn g165)
18 Bana achunu, ni muda wa mwisho. Kati ambavyo muyowine panga ywampinga Kristo aisa, hata nambeambe bampinga Kristo baisile, kwa hali yee tutangite panga ni muda wa mwisho.
Watoto wadogo, ni wakati wa mwisho. Kama ambavyo mmesikia kwamba mpinga kristo anakuja, hata sasa wapinga kristo wamekuja, kwa hali hii tunajua kwamba ni wakati wa mwisho.
19 Batiyenda zao boka kwetu, mana babile kwaa ba kwetu. Mana babile ba kwetu balowa yendelea kuwa pamope natwe. Lakini muda batiyenda zao, chelo chakibonekeya kuwa babile kwaa ba kwetu.
Walikwenda zao kutoka kwetu, kwani hawakuwa wa kwetu. Kama vile wangekuwa wa kwetu wangeendelea kuwa pamoja nasi. Lakini wakati walipo kwenda zao, hicho kilionyesha hawakuwa wa kwetu.
20 Lakini mpeyilwe mauta na yolo Mtakatifu, mwenga mwabote muitangite kweli.
Lakini mumetiwa mafuta na yule Mtakatifu, nanyi nyote mnaijua kweli.
21 Nabaandikiya kwaa mwenga kwa sababu muitangite kwaa kweli, ila kwa sababu muitangite na kwa sababu ntopo ubocho wa yelo kweli.
Sikuwaandikia ninyi kwa sababu hamuijui kweli, bali kwa sababu mnaijua na kwa sababu hakuna uongo wa ile kweli
22 Nyai ni mbocho ila ni ywembe ywapinga panga Yesu ni Kristo? Ayoo mundu ni mpinga Kristo, palo paampinga Tate na mwana.
Nani ni mwongo bali ni yeye anayepinga kwamba Yesu ni Kristo? Huyu mtu ni mpinga kristo, pale anapo mpinga Baba na Mwana.
23 Ntopo ywampinga Mwana atame na Tate. Yeyote ywamkiri Mwana abile na Tate kae.
Hakuna anaye mpinga Mwana akawa na Baba. Yeyote anaye mkiri Mwana anaye Baba pia.
24 Mana kwa ajili yinu, chelo mukipekaniya boka mwanzo leka kiyendelee kuwa nkati yinu. Mana chelo mukipekaniya boka mwanzo chatama nkati yinu, kae, mwatama nkati ya Mwana na Tate.
Kama kwa ajili yenu, kile mlichosikia toka mwanzo acha kiendelee kuwa ndani yenu. Kama kile mlichosikia toka mwanzo kitakaa ndani yenu, pia, mtakaa ndani ya Mwana na Baba.
25 Na yee niahadi ywatupeile twenga: ukoto wa milele. (aiōnios g166)
Na hii ni ahadi aliyotupatia sisi: uzima wa milele. (aiōnios g166)
26 Natibaandikiya aga mwenga kuhusu balo ambao bangebaongoza mwenga katika ubocho.
Nimewaandikia haya ninyi kuhusu wale ambao wangewaongoza ninyi katika upotevu.
27 Kwa ajili yinu, yalo mauta yamugapokii boka kwake yatama nkati yinu, na mumwitajia kwaa mundu yoyote kuafundisha, ila mana mauta yake yabafundisha kuhusu makowe yote na ni kweli na ubocho kwaa, na hata mana yatibafundisha, mutame nkati yake.
Na kwa ajili yenu, yale mafuta mliyoyapokea kutoka kwake yanakaa ndani yenu, na hamtahitaji mtu yeyote kuwafundisha. bali kama mafuta yake yanawafundisha kuhusu mambo yote na ni kweli na siyo uongo, na hata kama yameshawafundisha, kaeni ndani yake.
28 Nambeambe, bana apendwa, mutame nkati yake, ili muda paatokeya, tuweze kuwa na ujasiri na kujisika kwaa oni nnongi yake katika kuisa kwake.
Na sasa, watoto wapendwa, kaeni ndani yake, ili wakati atakapotokea, tuweze kuwa na ujasiri na siyo kujisikia aibu mbele yake katika kuja kwake.
29 Mana mutangite kuwa ywembe ni mwenye haki, mutangite panga kila yumo ywapanga haki ateibelekwa ni ywembe.
Kama mnajua kuwa yeye ni mwenye haki, mnajua kwamba kila mmoja atendaye haki amezaliwa na yeye.

< 1 Yohana 2 >