< 1 Akoritho 2 >

1 Paniisile kwinu ainja ni akinalumbwango, niisile kwaa ni maneno ga usawishi ni hekima kati mwanilongela kweli yaiilwe kuhusu Nnongo.
Nilipokuja kwenu kaka na dada zangu, sikuja kwa maneno ya ushawishi na hekima kama nilivyohubiri kweli iliyofichika kuhusu Mungu.
2 Niiamuile nitange kwaa sosote panibile nkati yinu ila Yesu Kristo, ni ywembe ywasulubilwe.
Niliamua kutojua chochote nilipokuwa miongoni mwenu isipokuwa Yesu Kristo, na yeye aliyesulubiwa.
3 Nibile ni mwenga mu'udhaifu, ni mu'hofu, ni mu'lendema muno.
Na nilikuwa nanyi katika udhaifu, na katika hofu, na katika kutetemeka sana.
4 Ni ujumbe wango nolongela kwango kwabile kwaa mu'longela ushawishi ni hekima. Badala yake, yabile mu'kumdhihirisha Roho ni ya ngupu,
Na ujumbe wangu na kuhubiri kwangu hakukuwa katika maneno ya ushawishi na hekima. Badala yake, yalikuwa katika kumdhihirisha Roho na ya nguvu,
5 ili panga imani yinu ibe kwaa mu'hekima ya bandu, ila mu'ngupu ya Nnongo.
ili kwamba imani yenu isiwe katika hekima ya wanadadamu, bali katika nguvu ya Mungu.
6 Nambeambe twendalongela hekima nkati ya bandu apindo, lakini hekima kwaa ya dunia yee, au ya utawala wa muda woo, ambao wapeta. (aiōn g165)
Sasa tunaizungumza hekima miongoni mwa watu wazima, lakini si hekima ya dunia hii, au ya watawala wa nyakati hizi, ambao wanaopita. (aiōn g165)
7 Badala yake, twalongela hekima ya Nnongo mu'ukweli wabonekana kwaa, hekima ibonekana kwaa ambayo Nnongo aisawile kabla ya muda wa utukufu witu. (aiōn g165)
Badala yake, tunaizungumza hekima ya Mungu katika ukweli uliofichika, hekima iliyofichika ambayo Mungu aliichagua kabla ya nyakati za utukufu wetu. (aiōn g165)
8 Ntopo ywoywote ywa atawala ba muda woo ywatangite hekima yee, Kati waitangite mu'muda golwa, kana bansulubishe Ngwana wa utukufu. (aiōn g165)
Hakuna yeyote wa watawala wa nyakati hizi aliyeijua hekima hii, Kama wangeifahamu katika nyakati zile, wasingelimsulubisha Bwana wa utukufu. (aiōn g165)
9 Lakini kati yaiandikilwe, “Makowe yabile ntopo minyo yagabona, ntopo likutu lyagayowa, malango gawasa kwaa, makowe ambayo Nnongo atikuyaandaa kwa ajili ya balo bampendile ywembe.
Lakini kama ilivyoandikwa, “Mambo mbayo hakuna jicho limeyaona, hakuna sikio lililoyasikia, mawazo hayakufikiri, mambo ambayo Mungu ameyaandaa kwa ajili ya wale wampendao yeye.”
10 Aga nga makowe amabayo Nnongo atigaumwa petya kwa Roho, kwa mana Roho uchunguza kila kilebe, hata makowe gabile nkati ya Nnongo.
Haya ni mambo ambayo Mungu ameyafunua kwetu kupitia Roho, Kwa kuwa Roho huchunguza kila kitu, hata mambo ya ndani ya Mungu.
11 Kwa kuwa nyai ywatangite malango ga mundu, ila Roho ya mundu nkati yake? Nga nyo kae, ntopo ywatangite makowe ga nkati ya Nnongo, ila Roho wa Nnongo.
Kwa kuwa nani afahamuye mawazo ya mtu, isipokuwa roho ya mtu ndani yake? Hivyo pia, hakuna ajuaye mambo ya ndani ya Mungu, isipokuwa Roho wa Mungu.
12 Lakini tupoki kwaa roho ya dunia, lakini roho ywabilke aboka kwa Nnongo, ili tuwese tanga kwa uhuru wa makowe aga tupeilwe ni Nnongo.
Lakini hatukupokea roho ya dunia, lakini Roho ambaye anatoka kwa Mungu, ili kwamba tuweze kujua kwa uhuru mambo tuliyopewa na Mungu.
13 Twabaya makowe aga kwa maneno, ambayo Roho utupundisha. Roho ugatafsiri maneno ga kiroho kwa hekima ya kiroho.
Tunasema mambo haya kwa maneno, ambayo hekima ya mtu haiwezi kufundisha, lakini ambayo Roho hutufundisha. Roho hutafasiri maneno ya kiroho kwa hekima ya kiroho.
14 Mundu ywabile kwaa wa roho apokii kwaa makowe ambayo ni ya Roho wa Nnongo, kwa kuwa ago nga upuuzi kwake. Aweza kwaa kugatanga kwa sababu yatangika kwa roho.
Mtu asiye wa kiroho hapokei mambo ambayo ni ya Roho wa Mungu, kwa kuwa hayo ni upuuzi kwake. Hawezi kuyajua kwa sababu yanatambuliwa kiroho.
15 Kwa yolo wa kiroho huhukumu makowe yote. Lakini huhukumilwa ni wenge.
Kwa yule wa kiroho huhukumu mambo yote. Lakini huhukumiwa na wengine.
16 “Ywa nyai ywaweza kuyatanga malongo ga Ngwana, ambae ywaweza kumpundisha ywembe?” Lakini twabile ni malango ga Kristo
“Ni nani anaweza kuyajua mawazo ya Bwana, ambaye anaweza kumfundisha yeye?” Lakini tuna mawazo ya Kristo.

< 1 Akoritho 2 >