< 2 Corinthians 2 >

1 But I determined this with myself, that I would not come again to you in heaviness.
Kwa eyo niamwile kw sehemu yangi mwene panga niise kwaa kae kwinu katika hali ya uchunhu.
2 For if I make you sorry, who is he then that makes me glad, but the same which is made sorry by me?
Mana natiasababishia mwenga matamwe, ni nyai ywanipuraisha nenga, lakini ni yolo ywabile ywaumizwa ni nenga?
3 And I wrote this same unto you, lest, when I came, I should have sorrow from them of whom I ought to rejoice; having confidence in you all, that my joy is the joy of you all.
Niandikile kati ya nipangite ili panga wakati waniisa kwinu niweze kwaa umizwa na balo babile panipangite nipuraike. Nibile na ujasiri kuhusu mwenga mwabote panga furaha yango yeyelo mubile nayo mwenga mwabote.
4 For out of much affliction and anguish of heart I wrote unto you with many tears; not that all of you should be grieved, but that all of you might know the love (agape) which I have more abundantly unto you.
Kwa kuwa naandikya mwenga lingana na mateso makolo, na dhiki ya mwoyo, na kwa machozi yanyansima. Nipala kwaa kuwasababishia mwenga matamwe. Badala yake, nipala muutange upendo wanyansima wanibile nao kwa ajili yinu.
5 But if any have caused grief, he has not grieved me, but in part: that I may not burden you all.
Mana kwabile ni yeyote ywasababisha matamwe, asababisha kwaa kwango kae, lakini kwa kiwango pulani bila beka ukale muno-kwinu mwenga mwabote.
6 Sufficient to such a man is this punishment, which was inflicted of many.
Ayee nga adhabu ya mundu yoo kwa baingi yatosha.
7 So that contrariwise all of you ought rather to forgive him, and comfort him, lest perhaps such a one should be swallowed up with overmuch sorrow.
Kwa eyo nambeambe badala ya adhabu, mpalikwa kumsamee ni kumfariji. Mupange nyoo ili panga aweze kwaa shindwa na huzunu yanyansima.
8 Wherefore I plead to you that all of you would confirm your love (agape) toward him.
Kwa eyo naatia mwoyo kuthibitisha upendo winu hadharani kwa ajili yaywembe.
9 In order to this end also did I write, that I might know the proof of you, whether all of you be obedient in all things.
Ayee nga sababu niandikile, ili panga niweze kuajaribu na kuyowa kuwa mana ni batii katika kila kilebe.
10 To whom all of you forgive any thing, I forgive also: for if I forgave any thing, to whom I forgave it, for your sakes forgave I it in the person of Christ;
Mana mwaweza msamiya yeyote, ni nenga namsamiya mundu yoo. Chelo chanikisamiya-kati nakisamiya chochote-kisameelwa kwa faida yinu katika uwepo wa Kristo.
11 Lest Satan should get an advantage of us: for we are not ignorant of his devices.
Ayee nga panga nchela aise kwaa kutupangia ubocho. Kwa kuwa twenga twaalalo kwaa kwa mipango yake.
12 Furthermore, when I came to Troas to preach Christ's gospel, and a door was opened unto me of the Lord,
Nnango utiyongoliwa kwango ni Ngwana paniisile katika mji wa Troa hubiri injili ya Kristo palyo.
13 I had no rest in my spirit, (pneuma) because I found not Titus my brother: but taking my leave of them, I went from thence into Macedonia.
Hata nyoo, nibile kwaa na amani ya mwoyo, kwa sababu nikwembine kwaa ni nongo bango Tito kolyo. Nga nyoo nialekite na kelebuka Makedonia.
14 Now thanks be unto God, which always causes us to triumph in Christ, and makes manifest the savour of his knowledge by us in every place.
Lakini ashukuriwe Nnongo, ywabile katika Kristo mara yote utuongoza twenga katika ushindi. Pitya twenga sambaza harufu inoite ya maarifa gake mahali pote.
15 For we are unto God a sweet savour of Christ, in them that are saved, and in them that perish:
Kwa mana twenga kwa Nnongo, ni harufu inoite ya Kristo, bote kwati ya balo babile lopolelwa na kati ya balo baangamia.
16 To the one we are the savour of death unto death; and to the other the savour of life unto life. And who is sufficient for these things?
Kwa bandu baangamia, ni harufu boka mu'kiwo mpaka kiwo. Kwa balo balopolwa, ni harufu inoite boka ukoto mpaka ukoto. Ywa nyai ywastahili ilebe yee?
17 For we are not as many, which corrupt the word (logos) of God: but as of sincerity, but as of God, in the sight of God speak we in Christ.
Kwa mana twenga twabile kwaa kati bandu banyansima bapemeya neno lya Nnongo kwa faida. Badala yake, kwa usapi wa nia, twabaya katika Kristo, kati ya tutumilwe boka kwa Nnongo, nnongi ya Nnongo.

< 2 Corinthians 2 >