< Zaburi 134 >

1 Njoni, mtukuzeni Yahwe, enyi nyote watumishi wa Yahwe, ninyi mnaotumika hekaluni mwa Yahwe wakati wa usiku. 2 Inueni mikono yenu patakatifu pake na mtukuzeni Yahwe. 3 Mungu na awabariki toka Sayuni, yeye aliye ziumba mbingu na nchi.

< Zaburi 134 >