< Zaburi 117 >

1 Msifuni Yahwe, enyi mataifa yote; enyi watu mhimidini yeye. 2 Kwa kuwa uaminifu wa agano lake ni mkuu kwetu, na uaminifu wa Yahwe wadumu milele. Msifuni Yahwe.

< Zaburi 117 >