< Marko 13 >

1 Yesu alipokuwa akitembea kutoka hekaluni, mmoja wa wanafunzi wake akamwuliza, “Mwalimu, tazama mawe haya yakushangaza na majengo!”
Yesu katyanga kuoma Hekaluni, mwenepunzi yumo kanlokiya, “Mwalimu lola malibe gano gakukanganya ni masengo!”
2 Akamwambia, Unaona majengo haya makubwa? Hakuna hata jiwe moja litakalo salia juu ya jingine ambalo halitaangushwa chini”.
kam'bakiya, “Wandobona masengo gano makolo? Ntopo hata libwe limo laingia kunani ya lyenge la tomboywa kwa pae.”
3 Naye alipokuwa amekaa juu ya Mlima wa Mizeituni nyuma ya hekalu, Petro, Yakobo, Yohana na Andrea wakamwuliza kwa siri,
Ni ywembe palyo atami kunani ya kitombe sa mizaituni ukiogo ya Hekalu, Petro, Yakobo, Yohana ni Andrea kabanlokiya kwa siri,”
4 “Tuambie, mambo haya yatakuwa lini? Ni nini dalili ya mambo haya kutokea?”
Tubakiye gano mambo gaba lini? kele dalili ya upitia gano?”
5 Yesu alianza kuwaambia, “Kuweni makini kwamba mtu yoyote asiwapotoshe.
Yesu katumbwa kuwabakiya, “mbe makini mundu kana aba potosha.
6 Wengi watakuja kwa jina langu wakisema, 'Mimi ndiye', na watawapotosha wengi.
Bingi baisa kwa lina lyango kabakoya,'Ndiye Nenga' nawatawa potosha bingi.
7 Mtakaposikia vita na tetesi za vita, msiogope; mambo haya hayana budi kutokea, lakini mwisho bado.
Palyo mwayowa vita ni mayegeyo ya vita, kanamyogope, mambo gano gapitya bai, lakini kuke bado kuika mwisho.
8 Taifa litainuka kinyume na taifa jingine, na ufalme kinyume na ufalme. Patakuwa na matetemeko sehemu mbalimbali, na njaa. Huu ni mwanzo wa utungu.
Taifa lainuka kiogo ni taifa lyenge, ni upwalume ni upwalume wenge, pabaa ni malendemo ni njara, Gono mwanzo wa utungu.
9 Iweni macho. Watawapeleka hadi mabarazani, na mtapingwa katika masinagogi. Mtasimamishwa mbele ya watawala na wafalme kwa ajili yangu, kama ushuhuda kwao.
Mbe minyo, Mwapelekwa mabarazani, na mwapengwa mmasinagogi, mwayemekwa kulonge ya utawala ni ya upwalume mwalo wa nee. Kati usaidi kwabe.
10 Lakini injili lazima kwanza ihubiriwe kwa mataifa yote.
Injili lazima wete ihubiriwekumataifa gote.
11 Watakapo wakamata na kuwakabidhi, msiogope kuhusu kile mtakachosema. Ndani ya muda huo, mtapewa nini cha kusema; hamtakuwa ninyi mtakaoongea, bali Roho Mtakatifu.
Palyo baaboywa ni kuakabidhi, kana myogope kwa selo mwakikoya, nkati ya muda gogo, mwapaywa sa kukoya, mwaba kwa mwenga mwalongela bali Roho mtakatifu.
12 Ndugu atamshitaki ndugu kuuawa, baba na mtoto wake. Watoto watasimama kinyume cha baba zao na kuwasababisha kuuawa.
Nongo atanshitaki nnongo kubulaga, tate ni mwanage. Bana baakana tate
13 Mtachukiwa na kila mtu kwa sababu ya jina langu. Lakini atakayevumilia mpaka mwisho, mtu huyo ataokoka.
babe ni kusababisha babulagwe. Mwakanwa ni kila mundu mwalo wa lina lyango. Lakini ywa atama mpaka mwisho aokoka.
14 Mtakapoona chukizo la uharibifu limesimama pale lisipotakiwa kusimama (asomaye na afahamu), ndipo walioko ndani ya Yuda wakimbilie milimani,
Mana mubweni chukizi lya uharibifu liyemi palyo lipaliwe kwa kuyema (asomaye ni atange) ndipo balyo bai kwa Yuda babutukiye ukitombe,
15 naye aliyeko juu ya nyumba asishuke chini ya nyumba, au kuchukua chochote kilichoko nje,
Ywa abi kunani ya nyumba kana aluke pae ya nyumba na kana atole kilebe sosote sa kibi kunza,
16 na aliyeko shambani asirudi kuchukua vazi lake.
Ni ywa abi mugonda kana abuye kuisa kutola ngobo yake.
17 Lakini ole wao wanawake wenye mimba na wanyonyeshao katika siku hizo!
Lakini ole wabe alwawa bene tumbo ni balyo alwawa bai ni bana kabayonga eyo lisiku!
18 Ombeni kwamba isitokee wakati wa baridi.
Muyope kana ipitye lisiku ya umande.
19 Kwani patakuwa na mateso makubwa, ambayo hayajawahi kutokea, tangu Mungu alipoumba ulimwengu, mpaka sasa, hapana, wala haitatokea tena.
Paba ni masaka makolo iyo lisiku, ambayo ganopitya kwa tangu Nnongo aumbike Dunia. Mpaka mbeyambe ya inapitya kwaa na ipitya kwaa.
20 Mpaka Bwana atakapopunguza siku, hakuna mwili utakaookoka, lakini kwa ajili ya wateule, atakaowachagua, atapunguza namba za siku.
Mpaka Bwana palyo apongoya siku, ntopo yega yaokoka, lakini mwalowa atende, abo asagula, apongoya namba za siku.
21 Wakati huo kama mtu yeyote atawaambia, Tazama, Kristo yuko hapa!' au 'Tazama, yuko pale!' msiamini.
Wakati huo mana mundu yeyote kabaakokeya, lola, Kristo abi pano! au 'Lola abi palyo!' kana mwamini.
22 Kwani Wakristo wa uongo na manabii wa uongo watatokea na watatoa ishara na maajabu, ili kwamba, wawadanganye, yamkini hata wateule.
Akriso wa ubocho ni anabii ba ubocho bapitya ni kupiya ishara ya maajabu. ili bababosolwe, Yamkini hata wateule.
23 Iweni macho! Nimekwisha wambia haya yote kabla ya wakati.
M'be minyo! Nialogolile gano gote kabla ya wakati.
24 Lakini baada ya mateso ya siku hizo, jua litatiwa giza, mwezi hautatoa mwanga wake,
Baada ya matabiyo ya siku eyo, lisoba layeyelwa lubendo, mwei wapiya kwa wanga wake.
25 nyota zitaanguka kutoka angani, na nguvu zilizoko mbinguni zitatikisika.
Ndondwa ya tomboka kuoma kunani ni ngupu eyo ibi kunani ya lendema.
26 Ndipo watakapomwona Mwana wa Adamu akija mawinguni kwa nguvu kubwa na utukufu.
Apo bamwona mwana wa Adamu kaisa kuma unde kwa ngupu ngolo ni utukufu.
27 Ndipo atatuma malaika zake na atawakusanya pamoja wateule wake kutoka pande kuu nne za dunia, kutoka mwisho wa dunia mpaka mwisho wa mbingu.
Aatuma malaika bake ni kuakusanya pamwepe ateule bake kuoma mbande ngoto ina za Dunia, kuoma mbande ngolo ina za Dunia, kuoma mwisho wa bwee mpaka mwisho wa maunde.
28 Kwa mtini jifunzeni. Kama tawi liwezavyo kutoa na kuweka haraka majani yake, ndipo mtajua kwamba kiangazi kiko karibu.
Muntela jifunzeni, kati litambe ya lipiya ni kubeka manyei gake, ndipo mwatanga kuba kiangazi kibi karibu.
29 Ndivyo ilivyo, mtakapoona mambo haya yakitokea, jueni kwamba yuko karibu, na malango.
Ndivyo mwabona mambo gano kagapitya, mulange abi karibu, ya nlango.
30 Kweli, nawambieni, hiki kizazi hakitapita mbali kabla mambo haya hayajatokea.
Kweli, nabakiya, seno kibelei kipeta kwa kutalu kabla mambo gano ganapitya.
31 Mbingu na nchi zitapita, lakini maneno yangu hayatapita kamwe.
Maunde ni bwee wapeta lakini mayaulyo gango gapeta kwaa.
32 Lakini kuhusu siku hiyo au saa, hakuna ajuaye, hata malaika wa mbinguni, wala Mwana, ila Baba.
Kuhusu eyo lisiku au saa, ntopo oyo atanga, hata malaika wa kunani, wala Mwana, ila Tate.
33 Iweni macho, Tazama, kwa sababu hamjui ni muda gani yatatokea. (Zingatia: Mstari huu, “Muwe waangalifu, Tazameni na ombeni kwa sababu...” haumo kwenye nakala za kale).
M'be minyo lola, mwalo ntangike kwaa muda gani yapitya.
34 Ni kama mtu anayeenda safarini: akaacha nyumba yake, na kumweka mtumwa wake kuwa mtawala wa nyumba, kila mmoja na kazi yake. Na kumwamuru mlinzi kukaa macho.
Ni kati mundu ayenda safari: kaleka nsengo wake, ni kumbeka mbanda wake kuba ntawala wa nsengo, kila mundu ni kazi yake. Ni kum'bakiya mlinzi kutama minyo.
35 Kwa hiyo iweni macho! Kwani hamjui ni lini bwana wa nyumba atakaporudi nyumbani, yawezekana ni jioni, usiku wa manane, wakati jogoo atakapowika, au asubuhi.
kwaiyo m'be minyo! kwani mtangike kwaa mwene nsengo lisiku gani ubuya ukasake, ya wezekana kitamunyo, kiloo, palyo nzogolo abeka, au bwamba.
36 Kama akija ghafla, asikukute umelala.
Mana aisi gafla, kana akubone ugonzike.
37 Kile nikisemacho kwako nakisema kwa kila mtu: Kesheni”!
Eso nikubakiya wenga ni m'bakiya kila mundu: kana mgonza.

< Marko 13 >