< Yohana 6 >

1 Baada ya mambo haya, Yesu alienda pande za Bahari ya Galilaya, pia huitwa Bahari ya Tiberia.
这事以后,耶稣渡过加利利海,就是提比哩亚海。
2 Mkutano mkubwa ulikuwa ukimfuata kwa sababu waliona ishara alizozifanya kwa waliokuwa wagonjwa.
有许多人因为看见他在病人身上所行的神迹,就跟随他。
3 Yesu alipanda juu hadi upande wa juu wa mlima na akakaa huko na wanafunzi wake
耶稣上了山,和门徒一同坐在那里。
4 (Na Pasaka, Sikukuu ya Wayahudi ilikuwa imekaribia).
那时犹太人的逾越节近了。
5 Yesu alipoinua macho yake juu na kuona umati mkubwa unakuja kwake, akamwambia Filipo, “Tutakwenda wapi kununua mikate ili hawa waweze kula”?
耶稣举目看见许多人来,就对腓力说:“我们从哪里买饼叫这些人吃呢?”(
6 (Lakini Yesu aliyasema haya kwa Filipo kwa kumjaribu kwa kuwa yeye mwenyewe alijua atakachofanya).
他说这话是要试验腓力;他自己原知道要怎样行。)
7 Filipo akamjibu, “Hata mikate ya thamani ya dinari mia mbili isingelitosha hata kila mmoja kupata hata kipande kidogo.”
腓力回答说:“就是二十两银子的饼,叫他们各人吃一点也是不够的。”
8 Andrea, mmoja wa wanafunzi wake ndugu yake Simoni Petro akamwambia
有一个门徒,就是西门·彼得的兄弟安得烈,对耶稣说:
9 Yesu, “Kuna mvulana hapa ana mikate mitano na samaki wawili, lakini hii yafaa nini kwa watu wengi namna hii?”
“在这里有一个孩童,带着五个大麦饼、两条鱼,只是分给这许多人还算什么呢?”
10 Yesu akawambia, “Waketisheni watu chini” (kulikuwa na nyasi nyingi mahali pale). Hivyo wanaume wapata elfu tano wakakaa chini.
耶稣说:“你们叫众人坐下。”原来那地方的草多,众人就坐下,数目约有五千。
11 Kisha Yesu akachukua ile mikate mitano akashukuru akawawagawia wale waliokuwa wamekaa. Vivyo hivyo akawagawia samaki kwa kadiri ya vile wavyohitaji.
耶稣拿起饼来,祝谢了,就分给那坐着的人;分鱼也是这样,都随着他们所要的。
12 Watu waliposhiba, aliwambia wanafunzi wake, “Vikusanyeni vipande vya mabaki, vilivyobaki ili kwamba kisipotee chochote.”
他们吃饱了,耶稣对门徒说:“把剩下的零碎收拾起来,免得有糟蹋的。”
13 Basi wakakusanya na kujaza vikapu kumi na viwili, vipande vya mikate mitano ya shayiri- vipande vilivyosazwa na wale waliokula.
他们便将那五个大麦饼的零碎,就是众人吃了剩下的,收拾起来,装满了十二个篮子。
14 Kisha watu walipoona ishara hii aliyoifanya walisema, “Kweli huyu ndiye yule nabii ajaye ulimwenguni.”
众人看见耶稣所行的神迹,就说:“这真是那要到世间来的先知!”
15 Yesu alipotambua kuwa walikuwa wanataka kumkamata ili wamfanye kuwa mfalme wao, alijitenga, tena na akaenda mlimani yeye peke yake.
耶稣既知道众人要来强逼他作王,就独自又退到山上去了。
16 Ilipokuwa jioni, wanafunzi wake walishuka kwenda ziwani.
到了晚上,他的门徒下海边去,
17 Wakapanda kwenye mtumbwi na walikuwa wakivuka kuelekea Kapernaumu. (Giza lilikuwa limeingia na Yesu alikuwa bado hajaja kwao).
上了船,要过海往迦百农去。天已经黑了,耶稣还没有来到他们那里。
18 Wakati huo upepo mkali ulikuwa ukivuma, na bahari ilikuwa ikendelea kuchafuka.
忽然狂风大作,海就翻腾起来。
19 Tena wanafunzi wake walipokuwa wamepiga makasia kama ishirini na matano au thelathini, wakamwona Yesu akitembea juu ya bahari kuukaribia mtumbwi, na wakaogopa.
门徒摇橹,约行了十里多路,看见耶稣在海面上走,渐渐近了船,他们就害怕。
20 Lakini akawambia, “Ni mimi! Msiogope.”
耶稣对他们说:“是我,不要怕!”
21 Tena walikuwa tayari kumbeba kwenye mtumbwi, na mara mtumbwi ulifika kwenye nchi mahali walipokuwa wakienda.
门徒就喜欢接他上船,船立时到了他们所要去的地方。
22 Siku iliyofuata, mkutano uliokuwa umesimama upande wa bahari waliona kuwa hakuna mtumbwi mwingine isipokuwa ule ambayo Yesu na wanafunzi wake walikuwa hawajaupanda lakini wanafunzi wake walikuwa wameenda zao wenyewe.
第二日,站在海那边的众人知道那里没有别的船,只有一只小船,又知道耶稣没有同他的门徒上船,乃是门徒自己去的。
23 (Ingawa, kulikuwa na baadhi ya mitumbwi iliyotoka Tiberia karibu na mahali walipokula mikate baada ya Bwana kutoa shukrani).
然而,有几只小船从提比哩亚来,靠近主祝谢后分饼给人吃的地方。
24 Wakati makutano walipotambua kuwa sio Yesu wala wanafunzi wake walikuwa kule, wao wenyewe walipanda ndani ya mitumbwi wakaenda Kapernaumu wakimtafuta Yesu.
众人见耶稣和门徒都不在那里,就上了船,往迦百农去找耶稣。
25 Baada ya kumpata upande mwingine wa ziwa wakamuuliza, “Rabbi ulikuja lini huku?”
既在海那边找着了,就对他说:“拉比,是几时到这里来的?”
26 Yesu akawajibu, akawambia, Amini, amini, mnanitafuta mimi, sio kwa sababu mliziona ishara, bali kwa sababu mlikula mikate na kushiba.
耶稣回答说:“我实实在在地告诉你们,你们找我,并不是因见了神迹,乃是因吃饼得饱。
27 Acheni kukifanyia kazi chakula chenye kuharibika, bali mkifanyie kazi chakula kidumucho hata milele kile ambacho mwana wa Adamu atawapa, kwa kuwa Mungu Baba ameweka muhuri juu yake.” (aiōnios g166)
不要为那必坏的食物劳力,要为那存到永生的食物劳力,就是人子要赐给你们的,因为人子是父 神所印证的。” (aiōnios g166)
28 Kisha wakamwambia, “Ni nini tunapaswa kufanya ili kuzifanya kazi za Mungu?”
众人问他说:“我们当行什么才算做 神的工呢?”
29 Yesu akajibu, “Hii ndiyo kazi ya Mungu: kwamba mmwamini yeye aliyemtuma.”
耶稣回答说:“信 神所差来的,这就是做 神的工。”
30 Basi wakamwambia, “Ni ishara zipi utakazofanya, kwamba tunaweza kuziona na kukuamini? Utafanya nini?
他们又说:“你行什么神迹,叫我们看见就信你;你到底做什么事呢?
31 Baba zetu walikula manna jangwani, kama ilivyo andikwa, “Aliwapa mikate kutoka mbinguni ili wale.”
我们的祖宗在旷野吃过吗哪,如经上写着说:‘他从天上赐下粮来给他们吃。’”
32 Kisha Yesu akawajibu, “Amini, amini, sio Musa aliyewapa mkate kutoka mbinguni, bali Baba yangu ndiye awapaye mkate wa kweli kutoka mbinguni.
耶稣说:“我实实在在地告诉你们,那从天上来的粮不是摩西赐给你们的,乃是我父将天上来的真粮赐给你们。
33 Kwa kuwa mkate wa Mungu ni ule ushukao kutoka mbinguni na kuupatia uzima ulimwengu.
因为 神的粮就是那从天上降下来、赐生命给世界的。”
34 Basi wakamwambia, “Bwana tupatie huu mkate wakati wote.”
他们说:“主啊,常将这粮赐给我们!”
35 Yesu akawambia, “Mimi ndiye mkate wa uzima, yeye ajaye kwangu hatapata njaa na yeye aniaminiye hatahisi kiu kamwe.”
耶稣说:“我就是生命的粮。到我这里来的,必定不饿;信我的,永远不渴。
36 Ingawa niliwaambia kwamba, mmeniona, na bado hamuamini.
只是我对你们说过,你们已经看见我,还是不信。
37 Wote ambao Baba anaonipa watakuja kwangu, na yeyote ajaye kwangu sitamtupa nje kabisa.
凡父所赐给我的人必到我这里来;到我这里来的,我总不丢弃他。
38 Kwa kuwa nimeshuka kutoka mbinguni, sio kwa ajili ya kufanya mapenzi yangu, bali mapenzi yake aliyenituma.
因为我从天上降下来,不是要按自己的意思行,乃是要按那差我来者的意思行。
39 Na haya ndiyo mapenzi yake aliyenituma, kwamba nisimpoteze hata mmoja wa wale alionipa, bali nitawafufua siku ya mwisho.
差我来者的意思就是:他所赐给我的,叫我一个也不失落,在末日却叫他复活。
40 Kwa kuwa haya ndiyo mapenzi ya Baba yangu, kwamba yeyote amtazamaye Mwana na kumwamini apate uzima wa milele; nami nitamfufua siku ya mwisho. (aiōnios g166)
因为我父的意思是叫一切见子而信的人得永生,并且在末日我要叫他复活。” (aiōnios g166)
41 Kisha wayahudi wakamnung`unikia kumhusu yeye kwa sababu alisema, “Mimi ni mkate ulioshuka kutoka mbinguni.”
犹太人因为耶稣说“我是从天上降下来的粮”,就私下议论他,
42 Wakasema, “Huyu siyo Yesu mwana wa Yusuph, ambaye baba yake na mama yake tunamfahamu? Imekuwaje sasa anasema, 'Nimeshuka kutoka mbinguni`?”
说:“这不是约瑟的儿子耶稣吗?他的父母我们岂不认得吗?他如今怎么说‘我是从天上降下来的’呢?”
43 Yesu akajibu, akawambia, “Msinung'unikiane miongoni mwenu wenyewe.
耶稣回答说:“你们不要大家议论。
44 Hakuna mtu ajaye kwangu asipovutwa na Baba yangu aliyenituma, nami nitamfufua siku ya mwisho.
若不是差我来的父吸引人,就没有能到我这里来的;到我这里来的,在末日我要叫他复活。
45 Kwa kuwa imeandikwa katika manabii, 'Watafundishwa na Mungu.' Kila aliyesikia na amejifunza kutoka kwa Baba, huja kwangu.
在先知书上写着说:‘他们都要蒙 神的教训。’凡听见父之教训又学习的,就到我这里来。
46 Sio kwamba kuna mtu aliyemwona Baba, isipokuwa yeye atokaye kwa Mungu- amemwona Baba.
这不是说有人看见过父,惟独从 神来的,他看见过父。
47 Amini, amini yeye aaminiye anao uzima wa milele. (aiōnios g166)
我实实在在地告诉你们,信的人有永生。 (aiōnios g166)
48 Mimi ni mkate wa uzima.
我就是生命的粮。
49 mababa zenu walikula manna jangwani, na wakafa.
你们的祖宗在旷野吃过吗哪,还是死了。
50 Huu ndio mkate ushukao kutoka mbinguni, ili kwamba mtu aule sehemu yake ili asife.
这是从天上降下来的粮,叫人吃了就不死。
51 Mimi ni mkate uishio ambao umeshuka kutoka mbinguni. Kama mtu yeyote akila sehemu ya mkate huu, ataishi milele. Mkate nitakao utoa ni mwili wangu kwa ajili ya uzima wa ulimwengu.” (aiōn g165)
我是从天上降下来生命的粮;人若吃这粮,就必永远活着。我所要赐的粮就是我的肉,为世人之生命所赐的。” (aiōn g165)
52 Wayahudi wakakasirika wenyewe kwa wenyewe na wakaanza kubishana wakisema, “Mtu huyu anawezaje kutupa mwili wake tuule?”
因此,犹太人彼此争论说:“这个人怎能把他的肉给我们吃呢?”
53 Kisha Yesu akawambia, “Amini, amini, msipoula mwili wa Mwana wa Adamu na kuinywa damu yake, hamta kuwa na uzima ndani yenu.
耶稣说:“我实实在在地告诉你们,你们若不吃人子的肉,不喝人子的血,就没有生命在你们里面。
54 Yeyote aulaye mwili wangu na kuinywa damu yangu anao uzima wa milele, nami nitamfufua siku ya mwisho. (aiōnios g166)
吃我肉、喝我血的人就有永生,在末日我要叫他复活。 (aiōnios g166)
55 Kwa kuwa mwili wangu ni chakula cha kweli, na damu yangu ni kinywaji cha kweli.
我的肉真是可吃的,我的血真是可喝的。
56 Yeye aulaye mwili wangu na kuinywa damu yangu hukaa ndani yangu, nami ndani yake.
吃我肉、喝我血的人常在我里面,我也常在他里面。
57 Kama Baba mwenye uzima alivyonituma, na kama niishivyo kwa sababu ya Baba, na yeye pia ataishi kwa sababu yangu.
永活的父怎样差我来,我又因父活着;照样,吃我肉的人也要因我活着。
58 Huu ndio mkate ushukao kutoka mbinguni, sio kama vile mababa walivyo kula wakafa. Yeye aulaye mkate huu ataishi milele. (aiōn g165)
这就是从天上降下来的粮。吃这粮的人就永远活着,不像你们的祖宗吃过吗哪还是死了。” (aiōn g165)
59 Yesu aliyasema mambo haya ndani ya sinagogi alipokuwa akifundisha huko Kapernaumu.
这些话是耶稣在迦百农会堂里教训人说的。
60 Ndipo wengi wa wanafunzi wake waliposikia haya, wakasema, “Hili nifundisho gumu ni nani awezaye kulipokea?”
他的门徒中有好些人听见了,就说:“这话甚难,谁能听呢?”
61 Yesu kwa sababu alijua ya kuwa wanafunzi wake walikuwa wakilinung'unikia jambo hili, akawambia je jambo hili linawakwaza?
耶稣心里知道门徒为这话议论,就对他们说:“这话是叫你们厌弃吗?
62 Basi itakuaje mtakapomwona mwana wa Adamu akishuka kutoka alikokuwa kabla?
倘或你们看见人子升到他原来所在之处,怎么样呢?
63 Ni Roho ndiye atoaye uzima. Mwili haufaidii kitu chochote. Maneno niliyoyasema kwenu ni roho na ni uzima.
叫人活着的乃是灵,肉体是无益的。我对你们所说的话就是灵,就是生命。
64 Bado kuna watu kati yenu wasioamini.” kwa sababu Yesu alijua tangu mwanzo yule ambaye asiyeweza kuamini na yeye ambaye angemsaliti.
只是你们中间有不信的人。”耶稣从起头就知道谁不信他,谁要卖他。
65 Akawambia, ni kwa sababu hii niliwambia kwamba hakuna mtu awezaye kuja kwangu isipokuwa amepewa na Baba.”
耶稣又说:“所以我对你们说过,若不是蒙我父的恩赐,没有人能到我这里来。”
66 Baada ya haya wanafunzi wake wengi walirudi nyuma na hawakuambatana naye tena.
从此,他门徒中多有退去的,不再和他同行。
67 Yesu akawambia wale kumi na wawili, “Je na ninyi mnataka kuondoka?”
耶稣就对那十二个门徒说:“你们也要去吗?”
68 Simoni Petro akamjibu, “Bwana twende kwa nani kwani wewe unayo maneno ya uzima wa milele, (aiōnios g166)
西门·彼得回答说:“主啊,你有永生之道,我们还归从谁呢? (aiōnios g166)
69 na tumeamini na kujua kuwa wewe ni Mtakatifu wa Mungu.”
我们已经信了,又知道你是 神的圣者。”
70 Yesu akawambia, “Je mimi sikuwachagua ninyi, na mmoja wenu ni ibilisi?
耶稣说:“我不是拣选了你们十二个门徒吗?但你们中间有一个是魔鬼。”
71 Sasa alikuwa akiongea kuhusu Yuda, mwana wa Simoni Iskariote, kwa kuwa alikuwa ni yeye akiwa mmoja wa wale kumi na wawili, ambaye ndiye angemsaliti Yesu.
耶稣这话是指着加略人西门的儿子犹大说的;他本是十二个门徒里的一个,后来要卖耶稣的。

< Yohana 6 >