< 1 Nyakati 8 >

1 Wana watano wa Benjamini walikuwa Bela mwana wake wa kwanza, Asibeli, Ahara,
便雅憫的長子比拉,次子亞實別,三子亞哈拉,
2 Noha, na Rafa.
四子挪哈,五子拉法。
3 Wana wa Bela walikuwa Adari, Gera, Abihudi,
比拉的兒子是亞大、基拉、亞比忽、
4 Abishau, Naamani, Ahoa,
亞比書、乃幔、亞何亞、
5 Gera, Shefufani, na Huramu.
基拉、示孚汛、戶蘭。
6 Hawa walikuwa uzao wa Ehudi ambao walikuwa vichwa vya koo kwa wakazi wa Geba, ambao walihimizwa kuhamia Manahati:
以忽的兒子作迦巴居民的族長,被擄到瑪拿轄;
7 Naamani, Ahijahi, na Gera. Wa mwishi, Gera, aliwaongoza katika kuhama. Alikuwa baba wa Uza na Ahihudi.
以忽的兒子乃幔、亞希亞、基拉也被擄去。基拉生烏撒、亞希忽。
8 Shaharaimu akawa baba wa watoto katika ardhi ya Moabu, baada ya kuwatariki wake zake Hushimu na Baara.
沙哈連休他二妻戶伸和巴拉之後,在摩押地生了兒子。
9 kwa mke wake Hodeshi, Shaharaimu akawa baba wa Yobabu, Zibia, Mesha, Malkamu,
他與妻賀得同房,生了約巴、洗比雅、米沙、瑪拉干、
10 Yeuzi, Shachia, na Mirima. Hawa walikuwa wana wake, viongozi katika koo zao.
耶烏斯、沙迦、米瑪。他這些兒子都是族長。
11 Alikwisha kuwa baba wa Abitubi, na Elipaali kwa Hushimu.
他的妻戶伸給他生的兒子有亞比突、以利巴力。
12 Wana wa Elipaali walikuwa Eba, Mishamu, na Shemedi ( ambao walijenga Ono na Lod pamoja na vijiji vilivyozunguka.)
以利巴力的兒子是希伯、米珊、沙麥。沙麥建立阿挪和羅德二城與其村莊。
13 Pia walikuwako Beria na Shema. Walikuwa vichwa vya koo walizoishi Aijalon, Ambao waliwaondoa wakazi wa Gati.
又有比利亞和示瑪是亞雅崙居民的族長,是驅逐迦特人的。
14 Beria alikuwa na wana watatu: Ahio, Shashaki, Jeremothi,
亞希約、沙煞、耶利末、
15 Zebadia, Aradi, Eda,
西巴第雅、亞拉得、亞得、
16 Mikaeli, Ishipa, na Joha.
米迦勒、伊施巴、約哈都是比利亞的兒子。
17 Elipaa alikuwa na wana hawa: Zebadia, Meshulamu, Hiziki, Heba,
西巴第雅、米書蘭、希西基、希伯、
18 Ishimerai, Izilia, na Yobabu.
伊施米萊、伊斯利亞、約巴都是以利巴力的兒子。
19 Shimei alikuwa na wana hawa: Yokimu, Zikri, Zabdi,
雅金、細基利、撒底、
20 Elienai, Zilletai, Elieli,
以利乃、洗勒太、以列、
21 Adaia, Beraia, na Shimrati.
亞大雅、比拉雅、申拉都是示每的兒子。
22 Shashaki alikuwa na wana hawa: Ishipani, Eba, Elieli,
伊施班、希伯、以列、
23 Abdoni, Zikri, Hanani,
亞伯頓、細基利、哈難、
24 Hanania, Elamu, Antotoja,
哈拿尼雅、以攔、安陀提雅、
25 Ifdeia, na Penueli.
伊弗底雅、毗努伊勒都是沙煞的兒子。
26 Yerohamu alikuwa na wana hawa: Shamsherai, Sheharia, Atli,
珊示萊、示哈利、亞他利雅、
27 Yaareshia, Elija, na Zikri.
雅利西、以利亞、細基利都是耶羅罕的兒子。
28 Hawa walikuwa vichwa vya koo na viongozi walioishi Yerusalemu.
這些人都是著名的族長,住在耶路撒冷。
29 Baba wa Gibeoni, Jeieli, ambaye mke wake aliitwa Maaka, aliishi ndani ya Gibeoni.
在基遍住的有基遍的父親耶利。他的妻名叫瑪迦;
30 Uzao wake wa kwanza alikuwa Abdoni, akafatia Zuri, Kishi, Baali, Nadab,
他長子是亞伯頓。他又生蘇珥、基士、巴力、拿答、
31 Gedori, Ahio, na Zekari.
基多、亞希約、撒迦、米基羅。
32 Mwana mwingine wa Yeieli alikuwa Mikloti, ambaye akaja kuwa baba wa Shimea. Pia wanaishi karibu na ndugu zao Yerusalemu.
米基羅生示米暗。這些人和他們的弟兄在耶路撒冷對面居住。
33 Neri alikuwa baba wa Kishi. Kishi alikuwa baba wa Sauli. Sauli alikuwa baba wa Yonathani, Malkishua, Abinadabu, na Ishbaali.
尼珥生基士;基士生掃羅;掃羅生約拿單、麥基舒亞、亞比拿達、伊施‧巴力。
34 Mwana wa Yonathani alikuwa Meribu Baali. Meribu Baali alikuwa baba wa Mika.
約拿單的兒子是米力‧巴力;米力‧巴力生米迦。
35 Wana wa Mika walikuwa Pithoni, Meleki, Tarea, and Ahazi.
米迦的兒子是毗敦、米勒、他利亞、亞哈斯;
36 Ahazi akawa baba wa Yehoada. Yehoada alikuwa baba wa Amelethi, Azimavethi, na Zimri. Zimri alikuwa baba wa Moza.
亞哈斯生耶何阿達;耶何阿達生亞拉篾、亞斯瑪威、心利;心利生摩撒;
37 Moza alikuwa baba wa Binea. Binea alikuwa baba wa Rafa. Rafa alikuwa baba wa Eleasa. Eleasa alikuwa baba wa Azeli.
摩撒生比尼亞;比尼亞的兒子是拉法;拉法的兒子是以利亞薩;以利亞薩的兒子是亞悉。
38 Azeli alikuwa na wana sita: Azrikamu, Bokeru, Ishimaeli, Obadia, na Hanani. Wote hawa walikuwa wana wa Azeli.
亞悉有六個兒子,他們的名字是亞斯利干、波基路、以實瑪利、示亞利雅、俄巴底雅、哈難。這都是亞悉的兒子。
39 Wana wa Esheki, kaka yake, walikuwa Ulamu mzaliwa wake wa kwanza, Yeushi wa pili, na Elifeleti wa tatu.
亞悉兄弟以設的長子是烏蘭,次子耶烏施,三子是以利法列。
40 Wana wa Ulamu walikuwa wanaume wa mapambano na warusha mishale wa zuri. Walikuwa na wana wengi na wajukuu, jumla ya 150. Wote hawa walikuwa uzao wa Benjamini.
烏蘭的兒子都是大能的勇士,是弓箭手,他們有許多的子孫,共一百五十名,都是便雅憫人。

< 1 Nyakati 8 >