< Zaburi 117 >

1 Msifuni Bwana, enyi mataifa yote; mtukuzeni yeye, enyi watu wote. 2 Kwa kuwa upendo wake kwetu ni mkuu, uaminifu wa Bwana unadumu milele. Msifuni Bwana.

< Zaburi 117 >