< Luka 8 >

1 Baada ya haya Yesu alikwenda, akawa anazunguka katika miji na vijiji akihubiri habari njema za Ufalme wa Mungu. Wale wanafunzi wake kumi na wawili walikuwa pamoja naye,
Yapilike mundu mwipi kwemba Yesu tumbwe miyanya katika ilambo ni lilyambo mbalimbali, kahubiri ni tangaza habari inanoga ya Nnongo ni balo komi ni abele bayihi pamope nakwe,
2 pia baadhi ya wanawake waliokuwa wametolewa pepo wachafu na kuponywa magonjwa. Miongoni mwao alikuwepo Maria Magdalene, aliyetolewa pepo wachafu saba;
Nyonyo alwawa fulani babaponike boka kwa nchela ni matamwe maingi, abile Mariamu ywakemelwa Magdalena ambaye ywaminyike nchela saba.
3 Yoana mkewe Kuza, msimamizi wa nyumba ya watu wa nyumbani mwa Herode; Susana; na wengine wengi waliokuwa wakimhudumia kwa mali zao.
Yoana nyumbowe kuza meneja wa Herode, Susana, ni alwawa banyansima, babapiyite mali yabe kwaajili yabe bene.
4 Umati mkubwa wa watu ulipokuwa ukija kwa Yesu kutoka kila mji, akawaambia mfano huu:
Ni baada ya bandu banyansima kwembana pamope babile bandu boka ilambo yenge, atilongela nabo kwa tumiya mifano.
5 “Mpanzi alitoka kwenda kupanda mbegu zake. Alipokuwa akitawanya mbegu, nyingine zilianguka kando ya njia; zikakanyagwa, nao ndege wa angani wakazila.
Mpandii ayei panda mbeyu, papandage baadhi ya mbeyu yatombokii mbwega ya ndila batikuilebata pae ya magolo ni iyuni batikuichonwa.
6 Mbegu nyingine zilianguka penye miamba, nazo zilipoota, hiyo mimea ikakauka kwa kukosa unyevu.
Mbeyu yenge yatumbwike pa ukando wabile maliwe ni paibalike miche yatiyama sababu pabile kwaa ni machi.
7 Nazo mbegu nyingine zilianguka kwenye miiba, nayo ile miiba ikakua pamoja nazo, na kuisonga hiyo mimea.
Mbeyu yewnge yatumbwike pene mikongo yabile mimimwa, nayo mikongo yatiyuma pamope ni yilo mbeyu ni yatikuibana.
8 Mbegu nyingine zilianguka kwenye udongo mzuri. Zikaota na kuzaa mara mia moja zaidi ya mbegu alizopanda.” Baada ya kusema haya, Yesu akapaza sauti, akasema, “Mwenye masikio ya kusikia, na asikie.”
Lakini mbeyu yenge yatumbwike pa ukando waupwaika ni yatipambika yakulya mara mia zaidi. Baada ya Yesu kubaya makowe haga, atibaya, “Ywabile ni makutu ni ayowine”
9 Wanafunzi wake wakamuuliza maana ya mfano huo.
Kaia benepunzi bake batikunnokiya maana ya mpwano uno,
10 Naye akasema, “Ninyi mmepewa kufahamu siri za Ufalme wa Mungu, lakini kwa wengine nazungumza kwa mifano, ili, “‘ingawa wanatazama, wasione; ingawa wanasikiliza, wasielewe.’
Yesu atikuwabakiya, “mpeilwe upendeleo wa kwipwa siri ya ufalme wa Nnongo, lakini bandu benge papundishwa bai kwa mifano, linga kwamba, “mana babweni kana babone, ni mana bayowine kana baelewe.”
11 “Maana ya mfano huu ni hii: Mbegu ni neno la Mungu.
Na yii nga maana ya mpwano wono, mbeyu nga neno lya Nnongo.
12 Zile zilizoanguka kando ya njia ni wale ambao husikia neno, naye ibilisi anakuja na kuliondoa neno kutoka mioyoni mwao, ili wasije wakaamini na kuokoka.
Mbeyu ya itumbwike mumbwega ya ndila nga balo bandu babali yowa lineno, ni baadaye nnau nchela ulitola kulipu boka mumwoyo, linga kana kwaa amini no kombolelwa.
13 Zile mbegu zilizoanguka kwenye mwamba ni wale ambao hulipokea neno kwa furaha wanapolisikia, lakini hawana mizizi. Wanaamini kwa muda mfupi, lakini wakati wa kujaribiwa huiacha imani.
Ni yilo yatumbwike pa maliwe nga bandu balo babaliyowa neno ni kulipokya kwa pulaha lakini ndandai yeyete, baaminiya muda mwipi, ni wakati taabu banda tumbuka.
14 Zile mbegu zilizoanguka kwenye miiba ni mfano wa wale wanaosikia, lakini wanapoendelea husongwa na masumbufu ya maisha haya, utajiri na anasa, nao hawakui.
Ni mbeyu yilo yaitumbwike pa mimimwa nga bandu babayuwa lineno, lakini wanapoendelea kukua yandakuibana maisha ni utajiri ni uzuri wa maisha ga ni bapapa kwaa.
15 Lakini zile mbegu zilizoanguka kwenye udongo mzuri ni mfano wa wale ambao hulisikia neno la Mungu na kulishika kwa moyo mnyofu wa utiifu, nao kwa kuvumilia kwingi huzaa matunda.
Likini yelo itumbwike pa mbwega unanoga nga ywaa baada ya yowa neno bandu balo anyenyekevu ni mwoyo inanoga, baada ya kuliyowa neno ulikamuliya ni libaa salama ni papa matunda ya uvumilivu.
16 “Hakuna mtu awashaye taa na kuificha ndani ya gudulia au kuiweka mvunguni mwa kitanda. Badala yake, huiweka juu ya kinara, ili wale waingiao ndani waone mwanga.
Sasa ntopo hata yumo ywa washa taa ni kuipunika kwa bakuli au kuibeka pae ya kindanda, badala ya kuibeka panani linga kila mundu ywa jingiya apate kuibona.
17 Kwa maana hakuna jambo lolote lililofichika ambalo halitafichuliwa, wala lolote lililositirika ambalo halitajulikana na kuwekwa wazi.
Kwa kuwa ntopo chakipala iyilwa, au chochote chakibile siri ambacho chakipala tanganikwa kwaa chakibaa pa mbweya.
18 Kwa hiyo, kuweni waangalifu mnavyosikia. Kwa maana yeyote aliye na kitu atapewa zaidi. Lakini yule asiye na kitu, hata kile anachodhani anacho atanyangʼanywa.”
Kwa nyo ube makini pau pikaniya, kwa sababu ywa bile nacho, bapa kunn'yongeyekea zaidi, lakini yolo ywa ngali nacho hata chelo kichini cha abile nacho kapatola.”
19 Wakati mmoja mama yake Yesu na ndugu zake walikuja kumwona, lakini hawakuweza kumfikia kwa sababu ya msongamano wa watu.
Baadaye mao bake Yesu ni anunabe batiicha kwake bamkaribie kwaa kwasababu ya bandu banyansima,
20 Mtu mmoja akamwambia, “Mama yako na ndugu zako wako nje wanataka kukuona.”
Ni boti batikummakiya, “Mabako ni anunabo bai palo bapala kukubona wenga.
21 Yesu akamjibu, “Mama yangu na ndugu zangu ni wale wote wanaolisikia neno la Mungu na kulifanya.”
Lakini, Yesu kaayangwa ni kubaya, “Mao bangu ni anuna bangu ni balo babalipikaniya neno lya Nnongo ni kulitii.
22 Siku moja Yesu alipanda ndani ya mashua pamoja na wanafunzi wake, akawaambia, “Tuvukeni twende mpaka ngʼambo ya ziwa.” Nao wakaondoka.
Yapitike lichoba limo kati ya machoba galo Yesu ni benepunzi bake baubwike mu'ngalaba, ni kuabakiya, “tuloke mpaka kwiya.”baandaite ngalaba yabe.
23 Hivyo walipokuwa wakienda, akalala usingizi. Dhoruba kali ikatokea mle ziwani, hata mashua ikawa inajaa maji, nao walikuwa katika hatari kubwa.
Lakini pabatumbwi boka, Yesu agonjike lugono, ni dhoruba ngolo yabile ni mbepo, ni ngalaba yabe itumbwe twilya machi ni bai katika hatari ngolo muno.
24 Wanafunzi wake wakamwendea na kumwamsha, wakisema, “Bwana, Bwana, tunaangamia!” Yeye akaamka, akaukemea ule upepo na yale mawimbi; dhoruba ikakoma, nako kukawa shwari.
Baadaye baichi benepunzi bake kun'yumuya, kababaya, “Ngwana nkolo! Ngwaba nkolo! tui karibu ni waa! Ngayumuka ni kubendya nchunga ni mawimbi ga machi nga tulia ni panga ni utulivu.
25 Akawauliza wanafunzi wake, “Imani yenu iko wapi?” Kwa woga na mshangao wakaulizana, “Huyu ni nani, ambaye anaamuru hata upepo na maji, navyo vikamtii?”
Nga abakiya, “imani yinu ii kwako?” Batiyogopa, Batichangala, balongei kila mundu na nyine, “Ywa nyai, kiasi kwamba amrisha mbepo ni machi tuliya?”
26 Basi wakafika katika nchi ya Wagerasi, ambayo iko upande wa pili wa ziwa kutoka Galilaya.
Baikite pa kilambo cha Garasini yaibile upande wa nchogo wa Galilaya.
27 Yesu aliposhuka kutoka mashua na kukanyaga ufuoni, alikutana na mtu mmoja wa mji ule aliyekuwa amepagawa na pepo mchafu, naye kwa muda mrefu alikuwa havai nguo wala kuishi nyumbani, bali aliishi makaburini.
Yesu paulwite ni libata pae, mundu pulani boka mukilambo, akwembine nakwe, kwa muda mwingi abii awalae kwaa ngobo, ni atamae kwaa munnyumba, lakini atamae mumakaburi.
28 Alipomwona Yesu, alipiga kelele, akajitupa chini mbele yake na kusema kwa sauti kuu, “Una nini nami, Yesu, Mwana wa Mungu Aliye Juu Sana? Nakuomba, usinitese!”
Pamweni Yesu alei kwa lilobe, ni tumbuka pae nnonge yake kwa lilobe likolo andebaya, nipangite kilebe gani kwako, Yesu mwana wa Nnongo ywabile kunani? Nenda kuloba kana upwati nenga.
29 Wakati huo Yesu alikuwa amemwamuru yule pepo mchafu amtoke huyo mtu. Mara nyingi huyo pepo mchafu alimpagaa, na hata alipofungwa kwa minyororo mikono na miguu na kuwekwa chini ya ulinzi, alikata hiyo minyororo na kupelekwa na huyo pepo mchafu kwenda nyikani.
Yesu ngaa amrisha munneke mundu yulwa nchela kwa mara yanambone ganda uboka hata mana bamtabike nyororo ni kumana bandu kunendela anda kutwana ni yenda ni nchela mpaka mulijangwa.
30 Yesu akamuuliza, “Jina lako ni nani?” Akamjibu, “Legioni,” kwa kuwa alikuwa ameingiwa na pepo wachafu wengi mno.
Yesu annokiye, “lina lyako nyai?”ayangwi baya, “Legion” Kwamaana tubi ni nchela banambone gajingii kwake.
31 Wale pepo wachafu wakamsihi sana asiwaamuru kwenda katika Shimo. (Abyssos g12)
Baayendelii kunnoba kana utubakiye tuyende mulimbwa. (Abyssos g12)
32 Palikuwa na kundi kubwa la nguruwe hapo likilisha kando ya kilima. Wale pepo wachafu wakamsihi Yesu awaruhusu wawaingie hao nguruwe, naye akawaruhusu.
Likundi lya ngobe labile kalilya pa kitumbi, banobiye aruhusu bakajingii kwa balo ngobe. Ni atibaruhusu panga nyoo.
33 Wale pepo wachafu walipomtoka yule mtu, wakawaingia wale nguruwe, nalo kundi lote likateremkia gengeni kwa kasi, likatumbukia ziwani na kuzama.
Kwa nyoo balo nchela babutukeye kwi yolo mundu ni jingya kwa balo ngobe ni lilo likundi latibutuka pano pakitumbi mpaka kulibwawa ni tumbukya moo.
34 Wale watu waliokuwa wakichunga lile kundi la nguruwe walipoona yaliyotukia, wakakimbia, wakaeneza habari hizi mjini na mashambani.
Balo bandu bababile kabaleleya balo ngobe pakabweni chakipitile, bati butuka pia taarifa palo pakilambo ni sehemu yenge yaii tindiya palo.
35 Nao watu wakatoka kwenda kujionea wenyewe yaliyotukia. Walipofika hapo alipokuwa Yesu, wakamkuta yule mtu aliyetokwa na pepo wachafu amekaa karibu na Yesu, akiwa amevaa nguo na mwenye akili timamu! Wakaogopa.
Bandu pabayowine hago batiyenda bona chakipiite, ni baichi kwa Yesu bamweni mundu ambaye nchela gatikumuka, abile aweli vizuri ni mwene akili timamu, atami pa magulu ga Yesu, ni batiyogopa.
36 Wale walioyaona mambo hayo wakawaeleza watu wengine jinsi yule mtu aliyekuwa amepagawa na pepo wachafu alivyoponywa.
Nga mundu yumo ywa gabweni atumbwi kuachimuliya benge jinsi hayo mundu wabile kaganongoya nchela mwaponike.
37 Ndipo watu wote wa nchi ile ya Wagerasi wakamwomba Yesu aondoke kwao, kwa sababu walikuwa wamejawa na hofu. Basi akaingia katika mashua, akaondoka zake.
Bandu boti ba nkoa wa Ageres ni maeneo gake gagalindia banobite Yesu aboke kwasababu babii ni uwaoga nkolo muno. Ni ajingile mungalaba ku uruka.
38 Yule mtu aliyetokwa na pepo wachafu akamsihi Yesu afuatane naye, lakini Yesu akamuaga, akamwambia:
Mundu yolo ywabokwile ni nchela atikunsihi Yesu yenda nakwe, lakini Yesu atikumbakiya ayende no baya,
39 “Rudi nyumbani ukawaeleze mambo makuu Mungu aliyokutendea.” Kwa hiyo yule mtu akaenda, akatangaza katika mji wote mambo makuu ambayo Yesu alimtendea.
“Ubuye mu nyumba yako ni ubalange galo goti ambayo Nnongo apangite kwa wenga. Ayo mundu kaboka, kuitangaza poti mu ijiji ni goti ambago Yesu kapanga kwanembe.
40 Basi Yesu aliporudi, umati mkubwa wa watu ukampokea kwa furaha, kwani walikuwa wakimngojea.
Ni Yesu kabuya, kipenga sa bandu satikunkaribisha, kwa mana boti babile batikusubiri.
41 Kisha mtu mmoja, jina lake Yairo, aliyekuwa kiongozi wa sinagogi, akaja na kuanguka miguuni mwa Yesu, akimwomba afike nyumbani kwake,
Linga kaisa mundu yumo ywakemelwa Yairo nga yumo nkati ya atawala mu'sinagogi. Yairo katomboka pa'magolo ga Yesu ni kumnoba muno ayende munyumba yake,
42 kwa kuwa binti yake wa pekee, mwenye umri wa miaka kumi na miwili, alikuwa anakufa. Yesu alipokuwa akienda, umati wa watu ukamsonga sana.
kwa mana abile ni mwana nnwawa yumo bai, ywabile ni miaka komi ni ibele, ni abile nkati ya hali yo waa. Paabile kayenda, kipenga sa bandu satikunkengama ni ywembe.
43 Katika umati huo palikuwa na mwanamke mmoja aliyekuwa na tatizo la kutokwa damu kwa muda wa miaka kumi na miwili. Tena alikuwa amegharimia yote aliyokuwa nayo kwa ajili ya matibabu, wala hakuna yeyote aliyeweza kumponya.
Nnwawa yumo ywatokwa ni mwai kwa myaka komi ni ibele abile palo ni atumile mbanje yoti kwa aganga, lakini ntopo ywamponyile hata yumo,
44 Huyo mwanamke akaja kwa nyuma ya Yesu na kugusa upindo wa vazi lake. Mara kutokwa damu kwake kukakoma.
kaisa kunchogo ya Yesu ni kukamwa lipindo lya ngobo yake, ni ghafla mwai yaachile kum'moka.
45 Yesu akauliza, “Ni nani aliyenigusa?” Watu wote walipokana, Petro akasema, “Bwana, huu umati wa watu unakusonga na kukusukuma kila upande.”
Yesu kabaya, “Nyai ywanikamwile?” Pabakanikiye bote, Petro kabaya, Ngwana nkolo, kipenga sa bandu kabansukuma ni kunzonga.”
46 Lakini Yesu akasema, “Kuna mtu aliyenigusa, kwa maana nimetambua kuwa nguvu zimenitoka.”
Lakini Yesu kabaya, “Mundu yumo anikamwile, mana naiyowa ngupu yatiboka kwango.”
47 Yule mwanamke alipofahamu ya kuwa hawezi kuendelea kujificha, alikuja akitetemeka, akaanguka miguuni mwa Yesu. Akaeleza mbele ya watu wote kwa nini alimgusa na jinsi alivyoponywa mara.
Ywa nnwawa paabweni yabile aweza kwaa kificha chaapangite, katumbwa lendema, katomboka pae nnongi ya Yesu katangaza nnongi ya bandu bote sababu yai panga ankamwe ni aponywile saa yeyelo.
48 Basi Yesu akamwambia, “Binti, imani yako imekuponya. Nenda kwa amani.”
Boka po kabaya kwanembe, “Nwawa, imani yako ikupangite ube nzima. Yenda kwa Amani.”
49 Yesu alipokuwa bado anasema, akaja mtumishi kutoka nyumbani kwa Yairo, yule kiongozi wa sinagogi, kumwambia, “Binti yako amekwisha kufa. Usiendelee kumsumbua Mwalimu.”
Paabile yendelya kubaya, mundu yumo kaisa boka munyumba ya ntawala ywa li'sinagogi, kabaya, “Nwawa wako atiwaa. Kana usumbuke mwalimu.”
50 Yesu aliposikia jambo hili, akamwambia Yairo, “Usiogope. Amini tu, naye binti yako atapona.”
Lakini Yesu pabaayowine nyoo, kannyangwa, “Kana uyogope. Amini kae, ni alowa lopolwa.”
51 Walipofika nyumbani kwa Yairo, hakumruhusu mtu yeyote aingie ndani naye isipokuwa Petro, Yakobo na Yohana, pamoja na baba na mama wa yule binti.
Kayingya mu ayo nyumba, aruhusu kwaa mundu yeyote kujingii pamope niywembe, ila Petro, Yohana ni Yakobo, tate ba nwawa, ni mao bake.
52 Wakati ule ule watu wote walikuwa wakilia na kuomboleza kwa ajili ya huyo binti. Yesu akawaambia, “Acheni kulia. Huyu binti hajafa, ila amelala.”
Muda bandu bote babile bakiomboleza ni kumoywa lilobe kwaajili yake, lakini kabaya, “Kna mumpangii ndoti, awile kwaa, lakini agonjike kae.
53 Wao wakamcheka kwa dharau, wakijua kuwa amekwisha kufa.
Lakini batikunheka kwa kundharau, batiyowa kuba awile.
54 Yesu akamshika yule binti mkono na kuita, “Binti, amka!”
Lakini ywembe, kankamwa luboko yolo nnwawa, ni kunkema kwa lilobe, kabaya, Mwana, uluka”
55 Roho yake ikamrudia, naye akainuka mara moja. Akaamuru apewe kitu cha kula.
roho yake yankerebukye, ni kauluka saa yeyelo. Atikwaamuru kuwa, apeilwe kilebe pulani ili alye.
56 Wazazi wake wakastaajabu sana, lakini Yesu akawakataza wasimwambie mtu yeyote juu ya yale yaliyotukia.
Azazi bake batishangala, lakini atikwaamuru kana bammakii mundu chabile chapangilwe.

< Luka 8 >