< Luka 17 >

1 Yesu akawaambia wanafunzi wake, “Mambo yanayosababisha watu watende dhambi hayana budi kutukia. Lakini ole wake mtu yule anayeyasababisha.
Yesu atikuwabakiya benepunzi bake, “makowe yagasababisha bandu bapange sambi hana budi pitya, lakini ole winu mundu ywasababisha!
2 Ingekuwa heri kama mtu huyo angefungiwa jiwe la kusagia shingoni na kutoswa baharini, kuliko kumsababisha mmojawapo wa hawa wadogo kutenda dhambi.
Bora panga nyoo mana mundu yoo atitabilwa liwe lanatopa lya yagio paingo ni kumtaika mu'bahari, kuliko kumpanga yumo wa haba achunu atenda sambi.
3 Kwa hiyo, jilindeni. “Kama ndugu yako akikukosea mwonye, naye akitubu, msamehe.
Muilindange, mana nnongo wako atikukosea umketeboye, ni ywembe akitubu umsamehe.
4 Kama akikukosea mara saba kwa siku moja na mara saba kwa siku moja akaja kwako akisema, ‘Ninatubu,’ msamehe.”
Mana akukoseite mara saba kwa lichoba limo ni mara saba kwa lichoba limo aichile kwako baya,'nindatubu,'umsamee”
5 Mitume wake wakamwambia Bwana, “Tuongezee imani.”
Mitume bak batikum'bakiya Ngwana, “utuyongekee imani yitu,”
6 Bwana akawajibu, “Kama mkiwa na imani ndogo kama punje ya haradali, mngeweza kuuambia mti huu wa mkuyu, ‘Ngʼoka ukaote baharini,’ nao ungewatii.
Ngwana abayite, “mana mwabile na imani kati punje ya haradari, mwawezite kuubakiya nkongo wono wa munene, kuutapwa ni ukabolike mubahari, nakwe ungebatii.
7 “Ikiwa mmoja wenu ana mtumishi anayelima shambani au anayechunga kondoo, je, mtumishi huyo arudipo atamwambia, ‘Karibu hapa keti ule chakula?’
Lakini nyai kati yinu, abile ni mtumishi ywalema mng'unda wake ama ywachunga ngondolo, apala kum'bakiya pabuya kung'unda, uwiche haraka ni keti uliye chakulya.
8 Je, badala yake, hatamwambia, ‘Niandalie chakula, nile, jifunge unitumikie ninapokula na kunywa; baadaye waweza kula na kunywa?’
Je apala kum'bakiya,'uniandalie chakulya nilye, ni uitabe mkanda ni unitumikie mpaka paniyomwa lya na nywaa. Badala ya poo apala lya na nywaa?
9 Je, huyo mtu atamshukuru mtumishi huyo kwa kutimiza yale aliyoamriwa?
Hapakumshukuru mtumishi ywoo kwasababu atimizite galo abakilwe?
10 Vivyo hivyo nanyi mkiisha kufanya mliyoagizwa, semeni, ‘Sisi tu watumishi tusiostahili; tumefanya tu yale tuliyopaswa kufanya.’”
Nyonyonyo ni mwenga mana mupangite yaniwalagile mubaye twenga tu atumishi tustahili kwaa, tupangite tu galo gatupasayo panga.'
11 Yesu alipokuwa njiani akienda Yerusalemu, alipitia mpakani mwa Samaria na Galilaya.
Yatikuwapitya kwamba pabile safarini yenda Yerusalemu, atipita mpakani mwa Samaria ni Galilaya.
12 Alipokuwa akiingia kwenye kijiji kimoja, watu kumi waliokuwa na ukoma wakakutana naye. Wakasimama mbali,
Pajingile pakijiji chimo, kwoo atikoliana ni bandu komi bababile ni ukoma, atiyema kuutalu.
13 wakapaza sauti, wakasema, “Yesu, Bwana, tuhurumie!”
Batondobiye lilobe baya, “Yesu Ngwana hutuhurumiye.”
14 Alipowaona akawaambia, “Nendeni mkajionyeshe kwa makuhani.” Nao walipokuwa njiani wakienda, wakatakasika.
Pababweni atikuwabakiya, “Muyende mukailaye kwa makuhani,” nabo pababile andayenda batitakasika.
15 Mmoja wao alipoona kwamba amepona, akarudi kwa Yesu, akimsifu Mungu kwa sauti kuu.
Yumo wabe pabweni kwamba aponi, atibuya kwa lilobe likolo atikumsifu Nnongo.
16 Akajitupa miguuni mwa Yesu akamshukuru. Yeye alikuwa Msamaria.
Atikilikita mumagolo ya Yesu atikushukuru, yembe abile Msamaria.
17 Yesu akauliza, “Je, hawakutakaswa wote kumi? Wako wapi wale wengine tisa?
Yesu kayangwa, kabaya, “Je batakasike kwaa boti komi? babile kwako balo benge tisa?
18 Hakuna hata mmoja aliyeonekana kurudi ili kumshukuru Mungu isipokuwa huyu mgeni?”
Ntopo hata yumo ywabonekine buya lenga kumtukuza Nnongo, bali yono mgeni?
19 Yesu akamwambia, “Inuka na uende zako, imani yako imekuponya.”
Ammakiye, “Ukatuke ni uyende zako imani yako ikuponyile.”
20 Yesu alipoulizwa na Mafarisayo Ufalme wa Mungu utakuja lini, yeye akawajibu, “Ufalme wa Mungu hauji kwa kuchunguza kwa bidii,
Palokiye ni Mafarisayo ufalme wa Nnongohiucha lichoba lyako? Yesu atibaya, “Ufalme wa Nnongo kilebe cha wezekana kwaa bonekana.
21 wala watu hawatasema, ‘Huu hapa,’ au ‘Ule kule,’ kwa maana Ufalme wa Mungu umo ndani yenu.”
Wala, bandu bapala baya kwaa, “mulinge pano! ama, mulinge kolo! kwa maana ufalme wa Nnongo ubile nkati yinu”
22 Kisha Yesu akawaambia wanafunzi wake, “Wakati utafika ambapo mtatamani kuiona moja ya siku ya Mwana wa Adamu, lakini hamtaiona.
Yesu atikuwabakiya anapunzi bamke, wakati upalaika ambapo mpala tamani kuibona yumo la lichoba la mwana wa Adamu, lakini mupala kulibona kwaa.
23 Watu watawaambia, ‘Yule kule!’ Au, ‘Huyu hapa!’ Msiwakimbilie.
Wapala kum'bakiya, mulinge, kolo! mulinge pano!' Lakini kana muyende linga, wala kubakengama.
24 Kwa maana kama vile umeme wa radi umulikavyo katika anga kuanzia mwisho mmoja hadi mwingine, ndivyo atakavyokuwa Mwana wa Adamu katika siku yake.
Kati umeme wa njai umulikao katika anga tumbulia upande umo hadi wenge. Nga nyoo hata mwana wa Adamu aba nyo katika lichoba lyake.
25 Lakini kwanza itampasa kuteseka katika mambo mengi na kukataliwa na kizazi hiki.
Lakini kwanza impasa teseka katika makowe yanambone ni kumkana ni kizazi cheno.
26 “Kama ilivyokuwa siku za Noa, ndivyo itakavyokuwa katika siku za Mwana wa Adamu.
Kati yalibile lichoba lya Nuhu, ngaipalanga katika lichoba lya mwana wa Adamu.
27 Watu walikuwa wakila na kunywa, wakioa na kuolewa, mpaka siku ile Noa alipoingia katika safina. Ndipo gharika ikaja na kuwaangamiza wote.
Walile, na nywaa, bakikobeka ni konda mpaka lichoba lelo ambalo Nuhu pajingie katika safina ni mafuriko paichile ni kubaangamiza boti.
28 “Ndivyo ilivyokuwa katika siku za Loti: Watu walikuwa wakila na kunywa, wakinunua na kuuza, wakilima na kujenga.
Nga chaibile katika lichoba lya Ruthu, babile nywaa, pema ni pemeya, lema ni chenga.
29 Lakini siku ile Loti alipoondoka Sodoma, ikanyesha mvua ya moto na kiberiti kutoka mbinguni ukawaangamiza wote.
Lakini lichoba lelo latu paboi Sodoma, wanyei ula wa moto ni kiberiti boka kumaunde ni kubaangamiza boti.
30 “Hivyo ndivyo itakavyokuwa siku ile Mwana wa Adamu atakapofunuliwa.
Nga nyo yaipala panga lichoba lelo lya mwana wa Adamu paumukulwa.
31 Siku hiyo, mtu yeyote aliye juu ya dari ya nyumba yake, hata vitu vyake vikiwa ndani ya hiyo nyumba, asishuke kuvichukua. Vivyo hivyo mtu aliye shambani asirudi nyumbani kuchukua chochote.
Lichoba liyo kana umruhusu ywabile mudari ya nyumba auluka tola bidhaa yake nkati ya nyumba. Ni kana umruhusu ywabile kumnguta buya kaya.
32 Mkumbukeni mke wa Loti!
Mkumbukiya mnyumbowe Ruthu.
33 Mtu yeyote anayejaribu kuyaokoa maisha yake atayapoteza, na yeyote atakayeyapoteza maisha yake atayaokoa.
Yeyoti ywapala kuyalopya maisha gake apala kuya abiya, lakini yeyoti yayaobiya maisha gake apala kugalopwa.
34 Nawaambia, usiku huo watu wawili watakuwa wamelala kitanda kimoja; naye mmoja atatwaliwa na mwingine ataachwa.
Nindakuwabakiya, kilo cheno kupabaa ni bandu abile katika kindanda chimo, yumo apala tolekwa, ni yenge apala lekwa. Pulabaa ni anwawa abele bandaaga nafaka pamope, yumo apala tolekwa ni yenge lekwa.”
35 Wanawake wawili watakuwa wanasaga nafaka pamoja; naye mmoja atatwaliwa na mwingine ataachwa. [
36 Wanaume wawili watakuwa wanafanya kazi pamoja shambani; mmoja atachukuliwa na mwingine ataachwa.]”
37 Kisha wakamuuliza, “Haya yatatukia wapi Bwana?” Akawaambia, “Pale ulipo mzoga, huko ndiko tai watakapokusanyika.”
Bannobiye, “Wapi Nnongo?” Kaayangwa, “Palo pabile mzoga, ndipo tai kabakusanyika pamope.”

< Luka 17 >