< Luka 3 >

1 Wavi mwaka wa kumi na mhanu wa unkosi waki nkosi wa ku Loma Tibelio, penapo Ponsio Pilatu avi nkosi wa mulima wa ku Yudea. Na Helodi alongosai ku Galilaya, na mhaja waki Filipi alongosa ku Itulea na Tilakoniti. Na Lusania alongosa ku Abilene,
Sasa, katika mwaka wa kumi na tano wa utawala wa Kaisari Tiberia, wakati Pontio Pilato alikuwa gavana wa Uyahudi, Herode alikuwa mkuu wa mkoa wa Galilaya, na Filipo ndugu yake alikuwa mkuu wa mkoa wa Iturea na Trakoniti, na Lisania alikuwa mkuu wa mkoa wa Abilene,
2 lukumbi lwenulo Anasi na Kayafa vavi vamlota vakulu va Chapanga. Penapo ndi lilovi la Chapanga lamhikili Yohani mwana wa Zakalia kulugangatu.
na wakati wa ukuhani mkuu wa Anasi na Kayafa, Neno la Mungu lilimjia Yohana mwana wa Zakaria, jangwani.
3 Yohani akahamba pamulima woha wewavi mumbaka wa mfuleni Yoludani, akavya kuvakokosela vandu, valekayi kumbudila Chapanga na vabatiziwa, na Chapanga yati akuvalekekesa gevambudili.
Alisafiri katika mkoa wote kuzunguka Mto Yordani, akihubiri ubatizo wa toba kwa ajili ya msamaha wa dhambi
4 Ngati chegayandikwi muchitabu cha Isaya mweavi mlota wa Chapanga, “Mundu ikemela kwa lwami luvaha kulugangatu, ‘Mumkwalila Bambu njila yivaha, mukagolosa pala peibwela kupita.
Kama ilivyoandikwa katika kitabu cha maneno ya Isaya nabii, “sauti ya mtu aliaye nyikani, “Itengenezeni tayari njia ya Bwana, yatengenezeni mapito yake yaliyoonyoka.
5 Ligodi loloha lihilaliwayi, Chitumbi chochoa na chitumbi yati chidandasiwayi na pepapindili yati pigoloswa, na njila zina magodi zihilaliwayi.
Kila bonde litajazwa, kila mlima na kilima vitasawazishwa, barabara zilizopinda zitanyoshwa, na njia zilizoparaza zitalainishwa.
6 Na vandu voha va pamulima yati vaulola usangula kuhuma kwa Chapanga.’”
Watu wote watauona wokovu wa Mungu.”
7 Yohani akaujovela msambi wa vandu vevamuhambili ndava ya kubatiziwa. “Nyenye vana va Liyoka! Yani mweavajovili ngati muhotola kutila ligoga la Chapanga yeyivii papipi kubwela?
Hivyo, Yohana akawaambia makutano makubwa ya watu waliomjia wapate kubatizwa na yeye, “Ninyi uzao wa nyoka wenye sumu, nani aliwaonya kuikimbia gadhabu inayokuja?
8 Ngati mikongo ya matunda cheyiganikiwa kupambika, na nyenye mkitayi mambu ga kulangisa, mkotwiki kumbudila Chapanga. Mkotoka kutumbula kujijovela ngati Ibulahimu dadi witu. Chakaka nikuvajovela Chapanga ihotola kugakita maganga aga kuvya vana va Ibulahimu!
Zaeni matunda yanayoedana na toba, na msianze kusema ndani yenu, “Tunaye Ibarahimu ambaye ni baba yetu; kwa sababu nawaambia ya kwamba, Mungu anaweza kumwinulia Ibrahimu watoto hata kutokana na mawe haya.
9 Na hinu livagu livi litendekiwi pamikiga ya mkongo, na mkongo wowoha wula wangapambika matunda gabwina yati udumuliwa na kutagiwa kumotu.”
Tayari shoka limeshawekwa kwenye mzizi wa miti. Hivyo, kila mti usiozaa matunda mema, hukatwa na kutupwa motoni.
10 Msambi wa vandu ukamkota Yesu, “Hinu tikita kyani?”
Kisha watu katika makutano walimuuliza wakisema, “Sasa tunatakiwa tufanyeje?”
11 Yohani akavayangula, “Mundu mweavi na nyula zivili ampela muyaki mweangavya nazu, na mweavi na vyakulya na mwene akita mewa.”
Alijibu na kuwaambia, “kama mtu ana kanzu mbili anatakiwa atoe kanzu moja kwa mwingine ambaye hana kabisa, na ambaye ana chakula na afanye vivyo hivyo.”
12 Na vatola kodi mewa vabwelili kwa Yohani kubatiziwa, ndi vakamkota “Muwula, hinu tikita wuli tete?”
Kisha baadhi ya watoza ushuru walikuja pia kubatizwa, na wakamwambia, “Mwalimu, tunatakiwa kufanya nini?
13 “Akavajovela, mkotoka kutola kodi kuyonjokesa chemulagaziwi.”
Akawaambia, “Msikusanye fedha zaidi kuliko mnachotakiwa kukusanya.”
14 Manjolinjoli na vene vakamkota, “Na tete tikita wuli?” Akavajovela, “Mkotoka kutola mashonga kwa mundu yoyoha kwa makakala na kumtakila mundu yoyoha ga udese na mukolayi na luhuna zinu.”
Baadhi ya maaskari pia wakamuuliza wakisema, “Na sisi je? Tunatakiwa tufanye nini?” Akawambia, “Msichukue fedha kwa mtu yeyote kwa nguvu, na msimtuhumu mtu yeyote kwa uongo. Ridhikeni na mishahara yenu.”
15 Ndava vandu voha valindalilayi kubwela kwa msangula, ndi vakatumbula kukotana vene kwa vene kumvala Yohani, manya mwene ndi Kilisitu msangula mwaatijovili Chapanga.
Sasa, kwa kuwa watu walikuwa na shauku ya kumngojea Kristo atakaye kuja, kila mmoja alikuwa anawaza moyoni mwake kuhusu Yohana kama yeye ndiye Kristo.
16 Yohani akavajovela woha, “Nene nikuvabatiza kwa manji, nambu mweibwela ana makakala kuliku nene, kwa mwene, nene chindu lepi nakuganikiwa hati kuwopola nyosi za champali zaki. Mwene yati akuvabatiza kwa Mpungu Msopi na motu.
Yohana akajibu kwa kuwaambia wote, “Mimi nawabatiza ninyi kwa maji, lakini kuna mmoja ajaye ambaye ana nguvu kuliko mimi, na sisitahili hata kufungua kamba za viatu vyake. Atawabatiza ninyi kwa Roho Mtakatifu na kwa moto.
17 Mu mawoko gaki akamwili lupalu lwa kupepetela nganu, na nganu ya bwina akuyivika pamonga muchibana, na masasa akugayocha motu wangajima.”
Pepeto lake liko mkononi mwake ili kusafisha vizuri uwanda wake wa kupepetea ngano na kuikusanya ngano ghalani mwake. Lakini, atayateketeza makapi kwa moto ambao hauwezi kuzimika.
18 Na kwa malovi gangi gamahele, Yohani akangamili kuvajovela vandu vakotoka kumbudila Chapanga kwa kuvakokosela Lilovi la Bwina.
Kwa maonyo mengine mengi pia, alihubiri habari njema kwa watu.
19 Nambu Yohani amuywangili chilongosi Helodi, ndava amtoli Helodiya mdala wa mhaja waki na kumgega, na mambu gahakau gamahele geakitili.
Yohana alimkemea pia Herode mkuu wa mkoa kwa kumuoa Herodia, mke wa ndugu yake na kwa maovu mengine mengi ambayo Herode alikuwa ameyatenda.
20 Kangi Helodi akayonjokesa uhakau, kwa kumkunga Yohani muchifungu.
Lakini baadaye Herode alifanya uovu mwingine mbaya sana. Alimfunga Yohana gerezani.
21 Vandu voha pavamali kubatiziwa, Yesu namwene abatiziwi na kuni iyendelela kuyupa kwa Chapanga, lihundi la kunani likadinduka.
Kisha ilitokea kwamba, wakati watu wote walipokuwa wakibatizwa na Yohana, naye Yesu alibatizwa pia. Wakati alipokuwa akiomba, mbingu zikafunguka.
22 Ndi Mpungu Msopi ukamuhelela panani yaki wavi ngati higa ya ngunda, na lwami lukayuwanika kuhuma kunani kwa Chapanga, “Veve ndi wamwana vangu mweuniganisi.”
Roho Mtakatifu akashuka juu yake kwa mfano wa kiwiliwili kama njiwa, wakati huo huo sauti ikaja kutoka mbinguni ikisema, “Wewe ni Mwanangu mpendwa. Ninapendezwa sana na wewe.”
23 Yesu peatumbwili kuhenga lihengu lila, ahegalili miyaka selasini. Na vandu vangi vamuholalelayi manya avi mwana wa Yosefu, Yosefu avi mwana wa Heli,
Sasa Yesu mwenyewe, alipoanza kufundisha, alikuwa na umri upatao miaka thelathini. Alikuwa ni mwana (kama ilivyotadhaniwa) wa Yusufu, mwana wa Eli,
24 Heli avi mwana wa Matati, Matati avi mwana wa Lawi, Lawi avi mwana wa meliki, Meliki avi mwana wa Yanai, Yanai avi mwana wa Yosefu,
mwana wa Mathati, mwana wa Lawi, mwana wa Melki, mwana wa Yana, mwana wa Yusufu,
25 mweavi mwana wa matatia, mwana wa Amosi, mwana wa Nahumu, mwana wa Esili, mwana wa Nagai,
mwana wa Matathia, mwana wa Amosi, mwana wa Nahumu, mwana wa Esli, mwana wa Nagai,
26 mwana wa Maati, mwana wa Matatia, mwana wa Shemeni, mwana wa Yoseki, mwana wa Yuda,
mwana wa Maati, mwana wa Matathia, mwana wa Semeini, mwana wa Yusufu, mwana wa Yuda,
27 mweavi mwana wa Yohanani, mwana wa Lesa, mwana wa Zelubabeli, mwana wa Shealitieli, mwana wa Neli,
mwana wa Yoanani, mwana wa Resa, mwana wa Zerubabeli, mwana wa Shealtieli, mwana wa Neri,
28 mwana wa Meliki, mwana wa Adi, mwana wa Kosamu, mwana wa Elimadamu, mwana wa Eli,
mwana wa Melki, mwana wa Adi, mwana wa Kosamu, mwana wa Elmadamu, mwana wa Eri,
29 mweavi mwana wa Yoshua, mwana wa Eliezeli, mwana wa Yolimu, mwana wa Matati, mwana wa Lawi,
mwana wa Yoshua, mwana wa Eliezeri, mwana wa Yorimu, mwana wa Matathi, mwana wa Lawi,
30 mweavi mwana wa Simioni, mwana wa Yuda, mwana wa Yosefu, mwana wa Yonamu, mwana wa Eliakimu,
mwana wa Simeoni, mwana wa Yuda, mwana wa Yusufu, mwana wa Yonamu, mwana wa Eliyakimu,
31 mweavi mwana wa Melea, mwana wa Mena, mwana wa Matata, mwana wa Nasani, mwana wa Daudi,
mwana wa Melea, mwana wa Mena, mwana wa Matatha, mwana wa Nathani, mwana wa Daudi,
32 mweavi mwana wa Yese, mwana wa Obedi, mwana wa Boazi, mwana wa Solomoni, mwana wa Nashoni,
mwana wa Yese, mwana wa Obedi, mwana wa Boazi, mwana wa Salmoni, mwana wa Nashoni,
33 mweavi mwana wa Aminadabu, mwana wa Adimini, mwana wa Alini, mwana wa Heziloni, mwana wa Pelisi, mwana wa Yuda,
mwana wa Abinadabu, mwana wa Aramu, mwana wa Hesroni, mwana wa Peresi, mwana wa Yuda,
34 mweavi mwana wa Yakobo, mwana wa Izaki, mwana wa Ibulahimu, mwana wa Tela, mwana wa Naholi,
mwana wa Yakobo, mwana wa Isaka, mwana wa Ibrahimu, mwana wa Tera, mwana wa Nahori,
35 mweavi mwana wa Selugi, mwana wa Leu, mwana wa Pelegi, mwana wa Ebeli, mwana wa Sala,
mwana wa Seruig, mwana wa Ragau, mwana wa Pelegi, mwana wa Eberi, mwana wa Sala,
36 mweavi mwana wa Kenani, mwana wa Alifakisadi, mwana wa Shemu, mwana wa Nuhu, mwana wa Lameki,
mwana wa Kenani, mwana wa Arfaksadi, mwana wa Shemu, mwana wa Nuhu, mwana wa Lameki,
37 mweavi mwana wa Metusela, mwana wa Henoki, mwana wa Yeledi, mwana wa Mahalaleli, mwana wa Kenani,
mwana wa Methusela, mwana wa Henoko, mwana wa Yaredi, mwana Mahalalei, mwana wa Kenani,
38 mweavi mwana wa Enoshi, mwana wa Seti, mwana wa Adamu mwavi mwana wa Chapanga.
mwana wa Enoshi, mwana wa Sethi, mwana wa Adamu, mwana wa Mungu.

< Luka 3 >