< Ufunuo 3 >

1 Kwa malaika wa kanisa la Sardi uandike maneno ya yulo ywa kumulya yalo Roho saba ya Nnungu ni ndondwa saba “Ndakite ambacho chaupangite uina sifa ya panga wa ukoto wa wakati uwile.
Kwa malaika wa kanisa la Sardi andika: 'Maneno ya yule anayeshikilia zile roho saba za Mungu na nyota saba. “Najua ambacho umefanya. Una sifa ya kuwa hai, lakini u-mfu.
2 Uyumuke na ugapange imara gagaisa lile, lakini gai karibu waa, kwasababu machuba yandabona na itendo yako ikamilike pa minyo ga Nnungu wangu.
Amka na kuimarisha yaliyosalia, lakini yako karibu kufa, kwa sababu sikuyaona matendo yako yamekamilika machoni pa Mungu wangu.
3 Kwahiyo ukumbuki galo galo gaupokile na yua, ugalii na tubu. lakini mana uyumwike kwaa mbaicha kati mwii, na watanga kwaa saa yakuuyampaicha kunani yake.
Kwa hiyo, kumbuka, yale uliyoyapokea na kusikia. Yatii na kutubu. Lakini usipoamka, nitakuja kama mwivi, na hutajua saa ipi nitakayokuja juu yako.
4 Lakini kui na maina machini ya bandu katika Sardi ambayo bana chafua kwaa ngobo yabe. Batyanga pamope na nee, baweti ngobo uu, kwasababu bandastahili.
Lakini kuna majina machache ya watu katika Sardi ambao hawakuchafua nguo zao. Watatembea pamoja nami, wamevaa nguo nyeupe, kwa sababu wanastahili.
5 Yulo ywa shinda bapakun'gwalika ngobo uu, na nilifuata kwaa lina lyake buka katika kitabu cha ukoto na nalitambua lina lyake nnongi ya tati bangu, na nnongiya malaika.
Yeye ashindaye atavikwa mavazi meupe, na kamwe sitalifuta jina lake kutoka katika kitabu cha uzima, na nitalitaja jina lake mbele ya Baba yangu, na mbele ya malaika.
6 Mana ubile na lichikilo, upikani Roho agabakia makanisa.”
Ukiwa na sikio, sikiliza Roho ayaambiavyo makanisa.”
7 “Kwa makanisa ga Philadefia uandike: Maneno ga mtakatifu ni kwelii ywabile ni punguo ya Daudi andayangwa na ntupu ywa wecha yigala.
“Kwa malaika wa kanisa la Philadefia andika: Maneno ya aliye mtakatifu na kweli - aliye na funguo za Daudi, hufungua na hakuna afungaye, hufunga na hakuna awezaye kufungua.
8 Ndagite chaukipangite linga, nikubiki nnongi yako nnyango wauyugulikwe ambao ntupu ywa weza yigala. Ndangite ubile ni ngupu njini lakini utii neno lyangu unalikana kwaa lina lyangu
Najua ambacho umetenda. Tazama, nimekuwekea mbele yako mlango uliofunguliwa ambao hakuna awezaye kuufunga. Najua unazo nguvu kidogo, lakini umelitii neno langu na hujalikana jina langu.
9 Ulingee! Boti bababile ba sinagogi la nchela, balo bababayage bembe nga Ayahudi na kumbe nyoli badala yake babaya ubocho. Naapanga baiche na bamijinamii nnongi ya magulu gako ni batanga natikupenda.
Angalia! Wote walio wa sinagogi la shetani, wale wasemao wao ni Wayahudi na kumbe siyo, badala yake wanadanganya. Nitawafanya waje na kusujudu mbele ya miguu yako, na watajua ya kuwa nilikupenda.
10 Kwa kuwa utunzike amri yangu kwa komea muno nakulindela na saa yako ya kukupaya ambayo yendaicha katika ulimwengu woti, kuwapaya balo boti babata pa kilambo.
Kwa kuwa umetunza amri yangu kwa uvumilivu wa uthabiti, nitakulinda pia katika saa yako ya kujaribiwa ambayo inakuja katika ulimwengu wote, kuwajaribu wale wote wanaoishi katika nchi.
11 Nenda icha upesi ukamulie muno chalo chaubile nacho linga kanaubee mundu wa tola kofia yako.
Naja upesi. Shikilia sana kile ulichonacho ili asiwepo mtu wa kuitwaa taji yako.
12 Nipala kumpanga ywembe ywashinda panga lugoma katika hekalu la Nnungu wangu, na hapala pita kwaa panja kamwe. Nipala kuliandikia kwake lina lya Nnungu wangu, lina la mji wa Nnungu wangu (yerusalemuwanyambe, wahuuluka pae poka kumaunde kwa Nnongo wangu) nalina liake layambe.
Nitamfanya yeye ashindaye kuwa nguzo katika hekalu la Mungu wangu, na hatatoka nje kamwe. Nitaliandika kwake jina la Mungu wangu, jina la mji wa Mungu wangu (Yerusalemu mpya, ushukao chini toka mbinguni kwa Mungu wangu), na jina langu jipya.
13 Yembe yabile na lichikilo, na yowe chabaya Roho kwa makanisa.'
Yeye aliye na sikio, na asikie ambacho Roho anasema kwa makanisa.'
14 Kwa malaika wa kanisa lya Laodika uandike: maneno gake ywabile Amina, ywategemewa ni shahidi mwaminifu, mtawala kunani ya uumbaji wa Nnungu.
“Kwa malaika wa kanisa la Laodikia andika: 'Maneno yake aliye Amina, wakutegemewa na shahidi mwaminifu, mtawala juu ya uumbaji wa Mungu.
15 Ndangite chaukipangite, ni kwamba wenga si wa mbepo ama mwoto!
Najua ambacho umefanya, na kwamba wewe si baridi wala moto, natamani kwamba ungekuwa wa baridi au moto!
16 Nyo, kwasababu wenga ni vuguvugu, ntupu mwoto wa mbepo, nipala kukutapika upita munkano wangu.
Hivyo, kwa sababu wewe ni vuguvugu, si moto wala baridi, nitakutapika utoke kinywani mwangu.
17 Kwa kuwa ubaya, “Nenga na tajiri, nibile na mali ynambone, na nipala kwaa chochote.” Lakini utangite kwaa kwamba wwnga ni duni muno, wahuchunikiwa, masikiniu, kipofu na uchi.
Kwa kuwa unasema, “Mimi ni tajiri, nimekuwa na mali nyingi, na sihitaji chochote.” Lakini hujui kwamba wewe ni duni sana, wakuhuzunikiwa, maskini, kipofu na uchi.
18 Upekani ushauri wangu, upeme kwango dhahabu yaisafishilwe kwa mwoto lenga upate panga watajiri, na ngobo uuu ya ing'ara lenga ujiwalike mwene na kana ubone oni ya uchi wako, ni mauti ya pakala katika minyo gako upate bona.
Sikiliza ushauri kwangu: Nunua kwangu dhahabu iliyosafishwa kwa moto ili upate kuwa tajiri, na nguo nyeupe za kumetameta ili ujivike mwenyewe na usioneshe aibu ya uchi wako, na mafuta ya kupaka katika macho yako upate kuona.
19 Kila ywanipenda, ninda kumwelekeza ni kumfundisha namna yaipalikwa tama; kwa nyo, upange mkweli wa tubu.
Kila nimpendaye, namwelekeza na kuwafundisha namna iwapasavyo kuishi; kwa hiyo, kuwa mkweli na kutubu.
20 Lola nindayema katika mnyango ni nikombwa odi, yeyoti ywayowa lilobe lyango ni yogowa mnango, nipala icha na jingiya munyumba gake ni lya chakulya nokwe ni ywembe pamope na nee.
Tazama nasimama katika mlango na kubisha. Yeyote asikiaye sauti yangu na kufungua mlango, nitakuja na kuingia nyumbani kwake, na kula chakula naye na yeye pamoja nami.
21 Ywembe ywashinda, nipala kumpeya haki ya tama pae pamope ni nee kunani ya kiteo chango cha enzi, kati nenga chanishindile na tama pae pamope ni Tate bango kunani ya kiteo chake cha enzi.
Yeye ashindaye, nitampa haki ya kukaa chini pamoja nami juu ya kiti changu cha enzi, kama vile mimi nilivyoshinda na kukaa chini pamoja na Baba yangu juu ya kiti chake cha enzi.
22 Ywembe ywabile lichikilo na apekani ambacho Roho ayabakiya makanisa.
Yeye aliye na sikio, na asikilize ambacho Roho ayaambia makanisa.”

< Ufunuo 3 >