< Ufunuo 11 >

1 Napeilwe mnoi wa tumia kati imba ya pemiya. nabila kilwa,'niboke nikalenge hekalu lya Nnongo ni madhabahu, ni balo bamwabudu nkati yabe.
Nilipewa mwanzi wa kutumia kama fimbo ya kupimia. Niliambiwa, “Ondoka na ukapime hekalu la Mungu na madhabahu, na wale wanaoabudu ndani yake.
2 Lakini kana ulenge eneo lya luwa wa panja pahekalu, kwa kuwa bapeilwe bandu bamataifa bapala kuulebata mji mtakatifu kwa muda wa miei arobaini ni ibele.
Lakini usipime eneo la ua wa nje ya hekalu, kwa kuwa wamepewa watu wa Mataifa. Wataukanyaga mji mtakatifu kwa muda wa miezi arobaini na miwili.
3 Nipala kuwapea mashahidi wango abele mamlaka ya tabiri kwa muda wa machoba 1,260, kana bawalite maguniya.”
Nitawapa mashahidi wangu wawili mamlaka ya kutabiri kwa muda wa siku 1, 260, wakiwa wamevaa magunia.”
4 Haga mashahidi ni mikongo ibele ya mizeituni ni vinara vyabile vyaviemite nnonge ya Ngwana wa kilambo.
Hawa mashahidi ni miti miwili ya mizeituni na vinara viwili ambavyo vimesimama mbele ya Bwana wa dunia.
5 Kati mundu ywoywoti atiamua kubadhuru, mwoto upala peta mumikano yabe ni kuwadhuru adui yabe yeyoti ywapala kubadhuru lazima abulagwe kwa ndela yino.
Kama mtu yeyote ataamua kuwadhuru, moto hutoka vinywani mwao na kuwadhuru adui zao. Yeyote anayetaka kuwadhuru lazima auawe kwa njia hii.
6 Haba mashaidi bana uwezo wa taba anga leno kana uniye ulo wakati wa tabiri. Bana ngupu ya galambua mache panga damu ni kuipanga kilambo kwa kila aina ya pigo wakati woti babapala.
Hawa mashahidi wana uwezo wa kufunga anga ili kwamba mvua isinyeshe wakati wanatabiri. Wana nguvu ya kubadili maji kuwa damu na kuipiga nchi kwa kila aina ya pigo wakati wowote wakitaka.
7 Wakati babayomwa ushuhuda wabe, yolo mnyama ywapita muliyembwa lalibile ntopo ni mwisho apanga vita dhidi yabe. apashinda kuwabulaga. (Abyssos g12)
Wakati watakapokuwa wamemaliza ushuhuda wao, yule mnyama anayetoka kwenye shimo lisilo na mwisho atafanya vita dhidi yao. Atawashinda na kuwaua. (Abyssos g12)
8 yega yabe ipala gonja katika mitaa ya miji mikolo (ambao mifani yabe ukemwa Sodoma ni Misri) Nga Ngwana wabe atisulubiwa.
Miili yao italala katika mtaa wa mji mkuu (ambao kimfano unaitwa Sodoma na Misri) ambapo Bwana wao alisulubiwa.
9 Kwa masoba atatu ni nusu baadhi pita katika jamaa za bandu, kabila, lugha ni kila taifa bapala linga yega yabe ni bapala piya kibali bekwa mumakaburi.
Kwa siku tatu na nusu baadhi kutoka katika jamaa za watu, kabila, lugha na kila taifa watatazama miili yao na hawatatoa kibali kuwekwa katika kaburi.
10 Balo babatama pakilambo bapala furaikwa kwaajili yabe ni shangilia, bate tumiana zawadi kwa sababu haba manabii abele batikuwatesa balo batami pa kilambo.
Wale wanaoishi katika nchi watafurahi kwa ajili yao na kushangilia, hata kutumiana zawadi kwa sababu hao manabii wawili waliwatesa wale walioishi katika nchi.
11 Lakini baada ya machoba gatatu ni nusu pumzi ya ukoti boka kwa Nnongo ipala kuewajingia nabo bapala yema kwa magolo yabe. Hofu ngoro ipala kuwa tombokiya balo babalola.
Lakini baada ya siku tatu na nusu pumzi ya uhai kutoka kwa Mungu itawaingia nao watasimama kwa miguu yao. Hofu kuu itawaangukia wale wanaowaona.
12 Boka po bapala yowa lilobe likolo boka kumaunde kaiwabakiya, “muichange kono!” Nabo bayenda kunani kumaunde katika liunde, wakati adui yabe kabalola.
Kisha watasikia sauti kuu kutoka mbinguni ikiwaambia, “Njoni huku!” Nao watakwenda juu mbinguni katika wingu, wakati adui zao wakitazama.
13 Katika saa yoo kupala baa litetemeko likolo lya mbwee ni jimo ya komi ya miji ipala tomboka. Bandu elfu saba bapala bulagwa ni tetemeko babaigalo akoti bapala yogopa ni kumpea utukufu Nnongo wa kumaunde.
Katika saa hiyo kutakuwepo na tetemeko kuu la ardhi na moja ya kumi ya mji itaanguka. Watu elfu saba watauawa katika tetemeko na watakaobaki hai wataogopeshwa na kumpa utukufu Mungu wa mbinguni.
14 Ole ya naibele ipitike. Mulinge! Ole ya naitatu inda icha upesi.
Ole ya pili imepita. Angalia! Ole ya tatu inakuja upesi.
15 Boka po malaika wa sabaa akombwile litarumbeta lyake, ni lilobe likolo latilongela kumaunde na baya, “ufalme wa kilambo upangite ufalme wa Ngwana witu ni Kristo wake. Apala tawala milele ni milele.” (aiōn g165)
Kisha malaika wa saba alipiga tarumbeta yake, na sauti kubwa zilinena mbinguni na kusema, “Ufalme wa dunia umeshakuwa ufalme wa Bwana wetu na wa Kristo wake. Atatawala milele na milele.” (aiōn g165)
16 Boka po apendo ishirini ni ncheche babile batamile pakiteo ya enzi nnonge ya Nnongo batitomboka pae pa mbwee, minyo ielekite pae, nao batikumwabudu Nnongo.
Kisha wazee ishirini na wanne waliokuwa wameketi kwenye viti vya enzi mbele ya Mungu walianguka wenyewe chini kwenye ardhi, nyuso zao zimeinama chini, nao walimwabudu Mungu.
17 Babaite, Tupiya shukrani yitu kwabe, Ngwana Nnongo, mtawala kunani ya vyoti, yaubile ni yabile, utolile ngupu yako ngolo ni tumbwa tawala.
Walisema, “Twatoa shukrani zetu kwako, Bwana Mungu, mtawala juu ya vyote, ambaye upo na ambaye ulikuwepo, kwa sababu umetwaa nguvu yako kuu na kuanza kutawala.
18 Mataifa watikasirika, lakini ghadhabu yabe iichile. Wakati uichile kwa watu hukumiwa ni wenga zawadiwa atumishi boka ni manabii, waamini ni balo babile ni hofu ya lina lyako, boti abele babafaike kwa kilebe ni bene ngupu. N i wakati wako uikite balo babaiharibu lunia.
Mataifa walikasirika, lakini gadhabu yako imekuja. Wakati umefika kwa wafu kuhukumiwa na wewe kuwazawadia watumishi wako manabii, waamini na wale walio na hofu ya jina lako, wote wawili wasiofaa kitu na wenye nguvu. Na wakati wako umefika wa kuwaharibu wale ambao wamekuwa wakiiharibu dunia.”
19 Boka po hekalu lya Nnongo kumaunde latiumukuliwa ni lisanduku lya agano lyake latibonekana nkati ya hekalu lyake. Yabile ni miali ya mweya, ndoti, ngurumo za radi, tetemeko lya mbwee ni maliwe ya ula.
Kisha hekalu la Mungu mbinguni lilifunuliwa na sanduku la agano lake lilionekana ndani ya hekalu lake. Kulikuwa na miali ya mwanga, kelele, ngurumo za radi, tetemeko la ardhi na mawe ya mvua.

< Ufunuo 11 >