< Mathayo 22 >

1 Yesu atilongela nabo kae kwa mipwano. kabaya,
Yesu alisema nao tena katika mifano, akisema,
2 “Upwalume wa kumaunde ulandine na utawala ywa andaite shughuli ya ndoa ya mwana wake.
“Ufalme wa mbinguni unafanana na mfalme aliyeandaa sherehe ya harusi ya mwanawe.
3 Atumite atumwa bake kwakaribisha babakokwile isa kusherehe ya ndoa, lakini baisi kwaa.
Akawatuma watumishi wake kuwakaribisha waliokuwa wamealikwa kuja katika sherehe ya harusi, lakini hawakufika.
4 Mpwalume atumite kae amanda wenge, kabakiya, “Mwabakiye babakokilye linga nitayarishe chakulya, Fahali ni ngombe wango ywa nenipe batikuchinja, na ikowe yote ibi tayari, muiche kushughuli ya ndoa.”
Mfalme aliwatuma tena watumishi wengine, akisema. “Waambieni wote walioalikwa, Angalieni, nimeandaa chakula. Fahali na ndama wangu wanono wamechinjwa, na mambo yote yako tayari, Njoni katika sherehe ya harusi.”
5 Lakini bandu abo baisi kwaa kwa muda wabakemilwe. Benge bakelebuka kumigonda yabe, ni benge bayei kubiashara yabe.
Lakini watu hao hawakuzingatia kwa dhati mwaliko wake. Baadhi walirejea katika mashamba yao, na wengine walirudi katika sehemu zao za biashara.
6 Benge bagalambuki amanda ba pwalume na kwa tania na kwaula ngobo.
Wengine waliwainukia watumishi wa mfalme na kuwadharirisha na kuwaua.
7 Lakini mpwalume atikasirika. Atumite lijeshi lyake, atikwabulaga balo bababulage ayabe na kutiniya nnema wabe kwa mwoto.
Lakini mfalme alikasirika. Alituma jeshi lake, akawaua wale wauaji na kuuteketeza mji wao kwa moto.
8 Alafu abakiye atumwa bake, “Ndowa ibii tayari, lakini banakokite bafaika kwaa.
Kisha aliwaambia watumishi wake, “Harusi iko tayari, lakini walioalikwa hawakustahili.
9 Kwa eyo muyende pamalekano ga ndela ngolo, mukakoke bandu benge, kadiri yaiwezekana baise mu sherehe ya ndoa.”
Kwa hiyo nendeni kwenye makutano ya njia kuu, waalikeni watu wengi kadri iwezekanavyo waje kwenye sherehe ya harusi.”
10 Atumishi kabayenda kundela ngolo na kwa karibisha bandu bote bababweni, azuri na abaya. Eyo ukumbi wa ndoa watweli ageni.
Watumishi walienda njia kuu na kuwakaribisha watu wowote waliowaona, wema na wabaya. Hivyo ukumbi wa harusi ulijaa wageni.
11 Lakini mpwalume payingile kuwaloalageni, amweni mundu yumo aweti kwaa sare ya ndoa!
Lakini mfalme alipoingia kuwatazama wageni, alimuona mtu mmoja ambaye hakuvaa vazi rasmi la harusi!
12 Mpwalume atikunaluya, “Mbwiga, uwezike kwaa jingya mono muukumbi bila sare ya ndoa?' Nga mundu ywo ayangwi kwaa kikowe chochote.
Mfalme alimwuliza, 'Rafiki, ulipataje kufika hapa ndani bila vazi la harusi?' Na mtu huyo hakujibu chochote.
13 Nga mpalume kaabakiya atumishi bake, “Muntabe mundu ywoo maboko gake na magolo ni mukantaikwe panja kulubendo, akwo kwaba ni kilelo ni tauniya mino.
Ndipo mfalme alipowaambia watumishi wake, “Mfungeni mtu huyu mikono na miguu na mtupeni nje katika giza, huko ambako kutakuwa na kilio na kusaga meno.
14 Kwa mwanja bandu banyansima bandakemelwa, lakini ateule ni achene.”
Kwa kuwa watu wengi wanaitwa, lakini wateule ni wachache.”
15 Nga mafarisayo watiboka no panga njama ya kummoywa Yesu mu'makowe gake mwene.
Ndipo Mafarisayo waliondoka na kupanga jinsi ya kumkamata Yesu katika maneno yake mwenyewe.
16 Nga pabatumite anapunzi gabe pamope ni Maherode. Na batikummakiya Yesu, “Mwalimu twatangite wenga wa mundu wa kweli, no panga pundisha ga apala Nnongo, kwa kweli utangite kwaa mawazo ga mundu ywenge na ubonekana kwa kwayogopa bandu.
Ndipo walipowatuma wanafunzi wao pamoja na Maherode. Na walimwambia Yesu, “Mwalimu, tunajua kuwa wewe ni mtu wa kweli, na kwamba unafundisha matakwa ya Mungu katika ukweli. Haujali maoni ya mtu mwingine na hauoneshi upendeleo kwa watu.
17 Kwa eyo utubakiye uwasa kele? Je, ifaike kisalia lepa kodi kwa Kaisari au ifaike kwaa?
Kwa hiyo tuambie, unafikiri nini? Je, ni sahihi kisheria kulipa kodi kwa Kaisari au hapana?”
18 Yesu atangite ubaya wabe, kabaya, “Mwanja namani mwanigeya, mwe mwa'anafiki?
Yesu alifahamu uovu wao na akasema, “Kwa nini mnanijaribu, enyi wanafiki?
19 Munilage mabanje yamutumya lepa kodi.” Ngabannetya dinari.
Nionesheni pesa itumikayo kulipia kodi.” Ndipo wakamletea dinari.
20 Yesu kalaluya, kuminyo na lina lee lya nyai?”
Yesu akawauliza, “Sura na jina hili ni vya nani?”
21 Kaban'yangwa, “Ga Kaisari.” Nga Yesu kaabakiya, “Mumpei Kaisari ilebe ya ibile yake na ga Nnongo mumpei Nnongo.”
Wakamjibu, “Vya Kaisari.” Ndipo Yesu akawaambia, “Mpeni Kaisari vitu vilivyo vyake na vya Mungu mpeni Mungu.”
22 Pabayowine nyoo batisangala, mwisho batikuneka no yenda kachabe.
Waliposikia hivyo walishangaa. Kisha walimwacha na kwenda zao.
23 Lisoba limo baadhi ya Mafarisayo baisi kwa Yesu, balo bababaya ntopo yoka mu kiwo. Ngabannaluya,
Siku hiyo baadhi ya Masadukayo walikuja kwa Yesu, wale wasemao kuwa hakuna ufufuo wa wafu. Wakamwuliza,
24 kabakoya, “Mwalimu, Musa abayite mana itei mundu awile bila papa mwana, Nunawe amukiye nwawa yo apate mwana oywo nkowe.
wakisema, “Mwalimu, Musa alisema, Ikiwa mtu amefariki bila kuzaa watoto, ndugu yake na amrithi huyo mwanamke na ampatie mtoto kwa ajili ya ndugu yake.
25 Babile alongo saba, wa kwanza atikobeka na mwiso atiwaa bila beleka mwana. Nganekya nunawe yolo nwawa.
Walikuwapo ndugu saba. Wa kwanza alioa na kisha akafariki bila kuzaa watoto. Akamwachia mke nduguye.
26 Ni yolo nunawe ni ywembe atiwaa nembe apangite nyonyonyo na kae yolo wa itatu, yabile nyonyo mpaka yolo wa saba.
Kisha ndugu yake wa pili naye akafanya vivyo hivyo, kisha yule wa tatu, ikawa hivyo hadi kwa yule wa saba.
27 Baada yo panga nyo bote yolo mwana nembe atiwaa.
Baada ya kufanya hivyo wote, yule mwanamke naye alifariki.
28 Wakati wa yoka aywo nwawa alowa panga wa nyai kati ya alongo balo saba? kwa mwanja bote batikunkobeka.”
Sasa katika ufufuo huyo mwanamke atakuwa mke wa nani katika ndugu hao saba? Kwa sababu wote walimuoa.”
29 Lakini Yesu atikwayangwa ni kwakokeya, “Mwenda kosea, kwa mwanja mutangite kwaa maandiko wala ngupu ya Nnongo.
Lakina Yesu aliwajibu na kuwaambia, “Mnakosea, kwa sababu hamjui Maandiko wala nguvu za Mungu.
30 Kwa mwanja wakati wa yoka, bandu bakobeka kwaa wala kobekwa. Ila bandu baba kati malaika ba kumaunde.
Kwa kuwa katika ufufuo, watu hawaoi wala kuolewa. Badala yake watu huwa kama malaika huko mbinguni.
31 Lakini husu kuyoka kwa bandu munawai kwaa soma chelo cha longei kachinu, kabaya,
Lakini kuhusu ufufuo wa wafu, hamjawahi kusoma kile ambacho Mungu alikisema kwenu, akisema,
32 Nenga na Nnongo wa Ibrahimu, Nnongo ea Isaka, Nnongo wa Yakobo? Nnongo nga Nnongo kwaa wa bandu bawile, Ila Nnongo wa akoto.”
Mimi ni Mungu wa Ibrahimu, Mungu wa Isaka, na Mungu wa Yakobo? Mungu si Mungu wa wafu, bali ni Mungu wa walio hai.”
33 Wakati kipenga pabayowine agoo, batisangala mapundisho gake.
Wakati kusanyiko waliposikia hili, waliyashangaa mafundisho yake.
34 Lakini Mafarisayo pabayowine panga Yesu atikwatuliza masadukayo batiikusanya bene kwa bene.
Lakini Mafarisayo waliposikia kuwa Yesu amewanyamazisha Masadukayo, walijikusanya wao wenyewe kwa pamoja.
35 Yumo, abi mwana saliya, analwiye liswali kwa kumgeya.
Mmoja wao, akiwa mwana sheria, alimwuliza swali kwa kumjaribu.
36 “Mwalimu, amri yaako yaibi ngolo kuliko yoti yaibi musaliya?”
“Mwalimu, ni amri ipi iliyo kuu kuliko zote katika sheria?”
37 Yesu kanyangwa, “Lazima umpende umpende Ngwana kwa mwoyo wako woti, kwa roho yako yoti ni kwa malango gako goti.
Yesu akamjibu, “Lazima umpende Bwana kwa moyo wako wote, kwa roho yako yote, na kwa akili zako zote.
38 Aye nga amri ngolo ya kwanza.
Hii ndiyo amri iliyo kuu na ya kwanza.
39 Ni inainele ilandana na yoyoyo, lazima kumpenda jirani bako kati waipendi wa mwene.
Na ya pili inafanana na hiyo- Ni lazima kumpenda jirani yako kama unavyojipenda mwenyewe.
40 Saliya yoti na manabii bayemi mu amri yee ibele.
Sheria zote na Manabii hutegemea amri hizi mbili.”
41 Na mafarisayo babile bado papalo palo pabakusanyike pamope, Yesu alalwiye liswali.
Na Mafarisayo walipokuwa bado wamejikusanya pamoja, Yesu aliwauliza swali.
42 Kabaya, “Je! mwawaza kele husu Kristo? ywembe mwana wa nyai? na bembe ngabayangwa, “Mwana wa Daudi.”
Akisema, “J! e, Mwafikiri nini juu ya Kristo? Yeye ni Mwana wa nani?” Nao wakamjibu, “Ni mwana wa Daudi.”
43 Yesu kayangwa, “kwa namna yaako Daudi kwa mwoyo ankema Ngwana, kabaya
Yesu akawajibu, “Ni kwa namna gani Daudi katika Roho anamwita Bwana, akisema,
44 Ngwana atikumakiya Ngwana wango, “Tama kuluboko lwako lwa mmalyo, mpaka panalowa kwapanga adui bako babekelwe pae ya magolo gako”?
'Bwana alimwambia Bwana wangu, “Kaa mkono wangu wa kuume, hadi nitakapowafanya maadui zako wawekwe chini ya miguu yako.”'?”
45 Mana itei Daudi ankema Kristo “Nngwana”, kwa kitiwi alowa baa mwana wake?”
Kama Daudi anamwita Kristo “Bwana,” jinsi gani atakuwa mtoto wake?”
46 Ntopo ywawezike yangwa, likowe kae na ntopo ywa thubutu kunaluya kae liswali buka lisoba lyoo ni yendelya.
Hakuna aliyeweza kumjibu neno tena, na hakuna aliyethubutu tena kumwuliza maswali zaidi tangu siku hiyo na kuendelea.

< Mathayo 22 >