< Mathayo 18 >

1 muda woo anapunzi bake batiicha kwa Yesu ni kummakiya, “Nyai ywabile nkolo mu'utawala wa kumaunde?”
Muda huo huo wanafunzi wakaja kwa Yesu na kumwambia, “Ni nani aliye mkubwa katika ufalme wa mbinguni?”
2 Yesu kaankema mwana nchunu kammeka nkati yabe,
Yesu akamwita mtoto mdogo, akamweka katikati yao,
3 No baya, “Kweli nenda kuamakiya, mana mukotwike tubu no panga kati mwabana alele muweza kwaa jingya mu utawala wa Nnongo.
na kusema, “Kweli nawaambieni, msipotubu na kuwa kama watoto wadogo hamtaweza kuingia katika ufalme wa Mungu.
4 Kwa eyo woywote ywalowa kuuluya kati mwana mnele, mundu kati ywo nga nkolo mu'utawala wa kumaunde.
Hivyo yeyote ajishushaye kama mtoto mdogo, mtu kama huyo ni mkuu katika ufalme wa mbinguni.
5 Ni mundu ywoywoti ywalowa kumpokya mwana mnele kwa lina lyango anipokya nenga.
Na yeyote ampokeaye mtoto mdogo kwa jina langu anipokea mimi.
6 Lakini ywoywoti ywasababisha jumo kati ya alele aba babaniaminiya asi, yalowa panga bora kwa mundu ywp liwe likolo lyo sangya likatabilwa paingo yake ni, tumbukilwa mu'bahari.
Lakini yeyote asababishaye mmoja kati ya wadogo hawa wanaoniamini kuasi, itakuwa vizuri kwa mtu huyo jiwe kuu la kusagia likafungwa shingoni mwake, na kuzamishwa kilindini mwa bahari.
7 Ole kwa dunia kwasababu kunumiya! kwa mana ntopo namna kwa wakati wo icha, lakini ole kachake kwa mundu yolo wakati woo yaicha kwaajili yake!
Ole kwa dunia kwa sababu ya wakati wa kukwazwa! kwa kuwa haina budi kwa nyakati hizo kuja, lakini ole kwake kwa mtu yule nyakati hizo zitakuja kwa ajili yake!
8 Kati luboko lwako lutikusababisha kukwazika, ukate ni utaikwe kutalu ni wenga bora kachako wenga jingya muuzima ubile ntopo luboko au kilema, kuliko taikulikwa mumwoto wa machoba gangunganikwa ubile na maboko goti na magolo goti. (aiōnios g166)
kama mkono wako au mguu wako ukikusababishia kukwazika, ukate na uutupe mbali na wewe. Ni vizuri zaidi kwako wewe kuingia kwenye uzima ukiwa bila mkono au kilema, kuliko kutupwa kwenye moto wa milele ukiwa na mikono yote au miguu yote. (aiōnios g166)
9 Liyo lyako mana likukoseyite, ulitupwe na ulitaikwe kutalu ni wenga. Bora kachako wenga ujingii mu uzima na liyo limo, kuliko taikuliwa kumwoto wa masoba yangeyomoka ubile ni minyo yoti. (Geenna g1067)
Kama jicho lako likikukwaza, uling`oe na ulitupe mbali na wewe. Ni vizuri zaidi kwako wewe uingie kwenye uzima na jicho moja, kuliko kutupwa kwenye moto wa milele ukiwa na macho yote. (Geenna g1067)
10 Linga panga kana mwazarau jumo ywa achene baa kwa mana nenda kuwamakiya panga kumaunde kwii na malaika bembe masoba goti, kaba ulolekeya kuminyo kwa Tate bango ywabile kumaunde.
Tazameni kwamba msije mkamdharau mmoja wa wadogo hawa. Kwa maana nawambieni kuwa mbinguni kuna malaika wao siku zote wakiutazama uso wa Baba yangu aliye mbinguni.
(Zingatia: Maneno yanayoonekana kama ya msitari wa 11, “Kwa kuwa Mwana wa Adamu alikuja kuokoa kile kilichokuwa kimepotea” hayakuonekana katika nakala bora za kale).
12 Muwaza namani? Mana itei mundu abi na ngondolo mia jimo yumo aobe, Je! aweza kwaleka tisini na tisa ya kitombe na yenda kwapala yolo yumo ywaobite?
Mnafikiri nini? Ikiwa mtu ana kondoo mia moja, na mmoja wao akapotea, je hatawaacha tisini na tisa ya mlimani na kwenda kumtafuta mmoja aliyepotea?
13 Na mana amweni, kweli nenda kuwamakiya, alowa kumpulaikya kutiloo tisini na tisa babakotwike obe.
Na akiisha kumpata, kweli nawaambieni, anamfurahia kuliko wale tisini na tisa wasiopotea.
14 Nga nyo mapenzi kwaa ga Tate binu ywa kumaunde panga kati ya yumo ywa achene ba baobe.
Vivyo hivyo, siyo mapenzi ya Baba yenu wa mbinguni kuwa mmoja wa wadogo hawa aangamie.
15 Mana nongo wako akukoseite, uyende, ukanobe akusami abile kichake. Mana akuyowine wapanga ukelebwiye nnongo'wo.
Kama ndugu yako akikukosea, nenda, kamwonyeshe dosari iliyopo kati yako na yeye akiwa pekee yake. Kama akikusikiliza, utakuwa umemrejesha ndugu yako.
16 Lakini mana akuyowine kwaa, wapotwe alongo benge abele au atatu mana kwa mikano ya ashahidi abele au atatu kila likowe liweza yomoka.
Lakini kama hatakusikiliza, mchukue ndugu mmoja au wawili zaidi pamoja nawe, kwa kuwa kwa vinywa vya mashahidi wawili au watatu kila neno linaweza kuthibitishwa.
17 Na mana asalawile kukupekaniya, ulibakiye li'kanisa likowe lyoo, mana asalawite kae kulipekaniya likanisa, bai na abe kati mundu wa dunia na ywalonga ushuru.
Na kama akipuuza kuwasikiliza, liambie kanisa jambo hilo, kama akipuuza vilevile kulisikiliza kanisa, basi na awe kama mtu wa mataifa na mtoza ushuru.
18 Kweli nenda kuamakiya, chachatabilwa mu'dunia na kumaunde kilabilwe na chochote chachayongoyelwe mu'dunia na kumaunde kiyongolike.
Kweli nawaambieni, chochote kile mtakachokifunga duniani na mbinguni kitafungwa. na chochote mtakachokifungua duniani na mbinguni kitafunguliwa.
19 Kae nenda kuamakiya panga bandu kati yinu mana bayeketyaniye kunani ya kikowe lyolyote mu'dunia kabaloba, halyo
Tena nawaambieni kwamba kama watu wawili kati yenu wakikubaliana juu ya jambo lolote duniani waliombalo, hilo Baba yangu wa mbinguni atalifanya.
20 Tate bango ba kunani alowa panga. Kwa mwanja abele au atatu mana bakusawike pamope kwa lina lyangi, Ne nibi pakati kati yabe.
Kwa kuwa wawili au watatu wakikusanyika pamoja kwa jina langu, Mimi niko katikati yao.
21 Na Petro kaisa na kummakiya Yesu, “Ngwana, mara ilenga nongo wango mana anikoseite na nenga nimsami? Hata mara saba?
Tena Petro akaja na kumwambia Yesu, “Bwana, ni mara ngapi ndugu yangu akinikosea nami nimsamehe? Hata mara saba?”
22 Yesu kammakiya, “Nikubakiya kwa mara saba, lakini hata sabaini mara saba.
Yesu akamwambia, “Sikuambii mara saba, lakini hata sabini mara saba.
23 Kwa mwanza nyo utawala wa kumaunde ni sawa na tawala pulani ywapalage lekebisha esabu buka kwa atumwa bake.
Kwa sababu hiyo ufalme wa mbinguni ni sawa na mfalme fulani aliyetaka kusahihisha hesabu kutoka kwa watumwa wake.
24 Paatumbwi lekebisha esabu, mtumwa yumo batikunnetya kachake na ywembe alonge lwage talanta elfu komi.
Alipoanza kusahihisha hesabu, mtumwa moja akaletwa kwake ambaye alikuwa anamdai talanta elfu kumi.
25 Mana abile nacho kwaa Cleopata, Ngwana wake alangi apemeyelwe, nyumbowe bana bake na kila kilebe chabile nacho, na alepe.
Kwa kuwa hakuwa na njia ya kulipa, bwana wake aliagiza auzwe, mke wake pamoja na watoto wake na kila kitu alichokuwa nacho, na malipo yafanyike.
26 Nga aywo mmanda ngalabukya, apiyite magoti nnongi yake kabaya, “Ngwana unipumiliye nenga, nalowa kukulepa kila kilebe'.
Hivyo mtumwa alianguka, akapiga magoti mbele yake, akisema, 'Bwana, uwe na uvumilivu pamoja nami, na nitakulipa kila kitu.'
27 Nga aywo Ngwana wa mmanda ywo, mana abina uruma, atikunneka na kusamwa deni lyo
Hivyo bwana wa yule mtumwa, kwa kuwa alisukumwa sana na huruma, alimwachilia na kumsamehe deni hilo
28 Lakini mmanda ywo atiboka na kumpata mmanda yumo katika amanda benge, ywa nnongage dinari mia. Atikumwuta, na kunkaba pa'ingo, na kumakiya, “Unilepe chanikulenga.'
Lakini mtumwa yule alitoka na kumpata mmoja kati ya watumwa wenzake, aliyekuwa anamdai denari mia. Alimvuta, akamkaba kooni, na kumwambia, 'Nilipe kile ninachokudai.'
29 Lakini yolo mmanda ywenge atikukilikitya ni kunnoba muno, kabaya, “Unipumiliye, nalowa kukulepa.”
Lakini yule mtumwa mwenzake alianguka na kumsihi sana, akisema, 'Uwe na uvumilivu nami, na nitakulipa.'
30 Lakini mmanda ywa kwanza atikana. Badala yake ayei kuntaba kuligereza, paka palepa deni lyake.
Lakini mtumwa yule wa kwanza alikataa. Badala yake, alienda na kumtupa gerezani, mpaka atakapo mlipa kile anachomdai.
31 Pababweni amanda wenge chelo chakipangite. Batikasirika muno Batiisa ni kummakiya Ngwana wabe kila kilebe chakipitike.
Na walipoona watumwa wenzake kile kilichotokea. Walisikitishwa sana. Walikuja na kumwambia bwana wao kila kitu kilichotokea.
32 Boka po ngwana wa atmanda yolo ankemite, ni kummakiya,'wenga wa mmanda mmaya, nitikusamya wenga lideni lyako lyoti kwa mwanja wati niloba muno.
Ndipo yule bwana wa mtumwa yule alimwita, na kumwambia, 'Ewe mtumwa mwovu, nilikusamehe wewe deni langu lote kwa sababu ulinisihi sana.
33 Ywabile ni wenga ukaba na huruma kwa mmanda nyino kati nenga mwanikuhurumiye wenga?
Je! Haukutakiwa kuwa na huruma kwa mtumwa mwenzio, kama mimi nilivyokuhurumia wewe?
34 Ngwana wake atikasirika muno ni kwapeya askari watesa mpaka apalepa lideni lyake.
Bwana wake alikasirika na kumkabidhi kwa wale watesaji mpaka atakapolipa kiasi chote alichokuwa anadaiwa.
35 Eyo nga Tate bango ba kumaunde ngabalowa panga, manaite nkolikwe samyana mwalongo sika kwa mwoyo winu”.
Hivyo ndivyo Baba yangu wa Mbinguni atakavyowafanyia, kama kila mmoja wenu hatamsamehe ndugu yake kutoka moyoni mwenu.”

< Mathayo 18 >