< Baefeso 4 >

1 Kwa nyoo, kati afungwa kwa ajili ya Ngwana, natikuasihi mtyange sawasawa ni wito ambao Nnongo abakemile.
Kwa hiyo, kama mfungwa kwa ajili ya Bwana, nawasihi mtembee sawasawa na wito ambao Mungu aliwaita.
2 Mtame kwa unyenyekevu nkolo ni upole ni uvumilivu. Mkichukuliana mu'upendo.
Muishi kwa unyenyekevu mkuu na upole na uvumilivu. Mkichukuliana katika upendo.
3 Muipange bidii kuutuza umoja wa Roho mu'kipungo sa amani.
Fanyeni bidii kuutunza umoja wa Roho katika kifungo cha amani.
4 Kwabile yega yimo ni Roho yimo, kati ambayo kae mwabile mwakemelwa mu'uhakika wa faraja yimo lya wito winu.
Kuna mwili mmoja na Roho moja, kama ambavyo pia mlikuwa mmeitwa katika uhakika wa taraja moja la wito wenu.
5 Kwabile ni Ngwana yumo, imani yimo, ubatizo umo,
Na kuna Bwana mmoja, imani moja, ubatizo mmoja,
6 ni Nnongo yumo na Tate wa bote. Ywembe abile nnani ya yoti, na mu'yoti na nkati ya yoti.
na Mungu mmoja na Baba wa wote. Yeye yuko juu ya yote, na katika yote na ndani ya yote.
7 Kwa kila yumo witu apeilwe kipawa lingana na kipimo sa kipawa sa Kristo.
Kwa kila mmoja wetu amepewa kipawa kulingana na kipimo cha kipawa cha Kristo.
8 Ni kati maandiko gabaya, “yaabokite kunani muno, atikuakengama mateka mu'utumwa. Kabapeya vipawa bandu.”
Ni kama maandiko yasemavyo: “Alipopaa juu sana, aliongoza mateka katika utumwa. Akatoa vipawa kwa watu.”
9 Nga namani maana ya, “Atipaa,” ibele kwaa kwamba aulukite pia pandu pa pae ya nnema wa dunia?
Ni nini maana ya, “Alipaa,” isipokuwa kwamba alishuka pia pande za chini za dunia?
10 Ywembe ambae atiuluka ni mundu yoyolo ywabile pia atipaa kutalu ya maunde yoti. Apangite nyoo ili uwepo wake ube mu'ilebe yoti.
Yeye ambaye alishuka ni mtu yuleyule ambae pia alipaa mbali juu ya mbingu zote. Alifanya hivi ili uwepo wake uwe katika vitu vyote.
11 Kristo abapeile bandu ipawa kati: atume, anabii, ainjilisti, achungaji, na baalimu.
Kristo alitoa vipawa kama hivi: mitume, manabii, wainjilisti, wachungaji, na waalimu.
12 Apangite nyoo kubawezesha aumini kwa ajili ya kuuchenga yega wa Kristo. Apanga nyoo mpaka twenga twabote tufikie umoja wa imani ni maarifa ga mwana wa Nnongo.
Alifanya hivi kuwawezesha waumini kwa ajili ya kazi ya huduma, kwa ajili ya kuujenga mwili wa Kristo.
13 Apanga nyoo hadi tuweze kuwa akomavu kati balo baifikie kimo kamili cha Kristo.
Anafanya hivi hadi sisi sote tufikie umoja wa imani na maarifa ya mwana wa Mungu. Anafanya hivi hadi tuweze kukomaa kama wale waliofikia kimo kamili cha Kristo.
14 Ayee nga ili kwamba tubile kwaa kae kati bana, kana turushwerushwe kolo ni kolyo. Ili kana tutolilwe na kila aina ya mbepo wa lipundisho, kwa hila ga bandu mu'ujanja wa ubocho wapotoka.
Hii ni ili kwamba tusiwe tena kama watoto, tusirushwerushwe huku na huko. Ili kwamba tusichukuliwe na kila aina ya upepo wa fundisho, kwa hila za watu katika ujanja wa udanganyifu uliopotoka.
15 Badala yake, twalongela ukweli mu'upendo ni kukua zaidi mu'ndela zote nkati yake ambaye nga ntwe, Kristo.
Badala yake, tutaongea ukweli katika upendo na kukua zaidi katika njia zote ndani yake ambaye ndiye kichwa, Kristo.
16 Kristo atiunganisha, kwa pamope, yega yoti ya baumini, Utiunganishwa mpamo ni kila iungo ili kwamba yega wote ukue ni kuichenga wamwene u'upendo.
Kristo ameunganisha, kwa pamoja, mwili wote wa waumini. Umeungamanishwa pamoja na kila kiungo ili kwamba mwili wote ukue na kujijenga wenyewe katika upendo.
17 Kwa eyo, nibaya lee, nati kuwasihi mu'Ngwana: Kana mutyange kae kati bandu ba mataifa kabatyanga mu'ubatili wa malango gabe.
Kwa hiyo, nasema hili, na nawasihi katika Bwana: Msitembee tena kama watu wa mataifa wanavyotembea katika ubatili wa akili zao.
18 Babekilwe libendo mu'malango yabe. Batifukuzwa kuoma mu'uzima wa Nnongo kwa ulalo wabile nkati yabe kwa sababu ya ugumu wa mioyo yabe.
Wametiwa giza katika mawazo yao. Wamefukuzwa kutoka katika uzima wa Mungu kwa ujinga ulio ndani yao kwa sababu ya ugumu wa mioyo yao.
19 Bayowine kwaa aibu. Watikuikabidhi bembe kwa ufisadi mu'makowe yabe masapu, mu'kila aina ya uchoyo.
Hawajisikii aibu. Wamejikabidhi wenyewe kwa ufisadi katika matendo machafu, katika kila aina ya uchoyo.
20 Lakini, ayee nga muifunza kwaa kuhusu Kristo.
Lakini, hivi sivyo mlivyojifunza kuhusu Kristo.
21 Nadhani kua muyowine kuhusu ywembe. Nadhani kuwa mwabile mwapundishilwe kuhusu ywembe, kati kae ukweli wa ubile nkati ya Yesu.
Nadhani kwamba mmesikia kuhusu yeye. Nadhani kwamba mmekuwa mkifundishwa katika yeye, kama tu ukweli ulivyo ndani ya Yesu.
22 Lazima mugaleke makowe yoti kabakengamana ni mwenendo winu wa kinchogo. Ni utu wa kunchogo wauharibika kwa sababu ya tamaa za ubocho.
Lazima mvue mambo yote yanayoendana na mwenendo wenu wa zamani, utu wa zamani. Ni utu wa zamani unaooza kwa sababu ya tamaa za udanganyifu.
23 Muuleke utu winu wa kunchogo ili kwamba mpangike kuwa waayambe mu'roho ya malango yinu.
Vueni utu wenu wa zamani ili kwamba mfanywe upya katika roho ya akili zenu.
24 Mupange nyoo ili muweze kuuwala utu wambeambe, ulandine na Nnongo. Utiumbwa mu'haki ni utakatifu wa kweli.
Fanyeni hivi ili muweze kuvaa utu mpya, unaoendana na Mungu. Umeumbwa katika haki na utakatifu wa kweli.
25 Kwa nyoo, uibeke kutalu ni ubocho. “Muulongele ukweli, kila yumo ni jirani yake,” kwa sababu ni ashirika kwa kila yumo kwa benge.
Kwa hiyo, weka mbali udanganyifu. “Ongeeni ukweli, kila mmoja na jirani yake,” kwa sababu tu washirika kwa kila mmoja kwa mwenzake.
26 Mube ni hasira, lakini kana mupange sambi.”Liumu kana lisame mwabile ni hasira yinu.
Mwe na hasira, lakini msitende dhambi.” Jua lisizame mkiwa katika hasira zenu.
27 Kana mummpeye ibilisi nafasi.
Msimpe Ibilisi nafasi.
28 Yeyote ywa jiba kana ajibe kae. Badala yake ni lazima apange kazi. Apange kazi yabile ni manufaa kwa maboko gake, ili kwamba aweze kumhudumia mundu ywabile ni hitaji.
Yeyote aibaye lazima asiibe tena. Badala yake ni lazima afanye kazi. Afanye kazi yenye manufaa kwa mikono yake, ili kwamba aweze kumhudumia mtu aliye na hitaji.
29 Kauli inoite kwaa kana iboke mu'mikano yino yapalikwa kwa mahitaji, kuwapeya faida yake balo babayowanikia.
Kauli mbaya isitoke kinywani mwenu. Badala yake, maneno lazima yatoke katika vinywa vyenu yafaayo kwa mahitaji, kuwapa faida wale wanaosikiliza.
30 Kana mumuhuzunishe Roho mpeletau wa Nnongo. Ni pitya ywembe twabekelwa mihuri kwa ajili ya siku ya lopolelwa.
Na msimhuzunishe Roho Mtakatifu wa Mungu. Ni kwa Yeye kwamba mmewekewa muhuri kwa ajili ya siku ya ukombozi.
31 Lazima muubeke kutalu uchungu wote, ghadhabu, hasira, kombwana, ni matusi, pamope ni kila aina ya ubou. Iweni wema bene kwa bene.
Lazima muweke mbali uchungu wote, ghadhabu, hasira, ugomvi, na matusi, pamoja na kila aina ya uovu. Iweni wema ninyi kwa ninyi.
32 Mube ni huruma. Musamiyane mwenga kwa mwenga, kati yaa Nnongo pitya Kristo atikuwasamiya nenga.
Mwe na huruma. Msameheane ninyi kwa ninyi, kama vile Mungu katika Kristo alivyowasamehe ninyi.

< Baefeso 4 >