< 2 Timotheo 4 >

1 ngupea agizo lino lialibile liali topite mbele ya nungu naa kristo yesu ywa pata kwa ukumu bababile akoto na baba wilee na kwa sababu ya umukewa kwake na ufalume wake.
Ninakupa agizo hili lenye uzito mbele za Mungu na Kristo Yesu, atakaye wahukumu walio hai na wafu, na kwa sababu ya kufunuliwa kwake na Ufalme wake:
2 ubaye likome ube tayali kwa wakati waahu faika na wangali faika. wabakie bandu zambi yabe. wakalipi kwa imizu kwa uvumiliu wote na mafundisho.
Hubiri Neno. Uwe tayari kwa wakati ufaao na usiofaa. Waambie watu dhambi zao, kemea, himiza, kwa uvumilivu wote na mafundisho.
3 kwa maana wakati maisha ambae bandu bashu kulianali na mafundisho ya kweli badala yake. balpalia balimu waa kwa fundisha lingana na tama yabe kwa ndila yino mashikilo gabe matekenywa.
Kwa maana wakati utakuja ambao watu hawatachukuliana na mafundisho ya kweli. Badala yake, watajitafutia walimu wa kufundisha kulingana na tamaa zao. kwa njia hii masikio yao yatakuwa yametekenywa.
4 baleka pikania mafundisho ya keli na balekia adisi.
Wataacha kusikiliza mafundisho ya kweli, na kugeukia hadithi.
5 lakin wenga ube wa mwa minifu katika makowe gote. uvumilie magumu upange kazi ya uwinjilisiti utimize uduma yako.
Lakini wewe uwe mwaminifu katika mambo yote, vumilia magumu, fanya kazi ya mwinjilisti; timiza huduma yako.
6 kwa maan anenga tayali nenga ndimimi nwa muda wa buka kwangu ukalibiee.
Kwa maana mimi tayari nimekwisha kumiminwa. Muda wa kuondoka kwangu umewadia.
7 ndishindana katika aki.
Nimeshindana katika haki, Mwendo nimeumaliza, Imani nimeilinda.
8 taji ya aki itibikilwa kwa jili yangu ambaye yesu ngaukamu kwa aki. anipealishubalilu. nasiya kwangu lei na balubote baba nenda kwa shauku bonekana kwake
Taji ya haki imewekwa kwa ajili yangu, ambayo Bwana, anayehukumu kwa haki, atanipa siku ile. Na siyo kwangu tu bali pia kwa wote wanaongojea kwa shauku kuonekana kwake.
9 witaidi ishi kwangu alaka.
Jitahidi kuja kwagu haraka.
10 kwa nyoo dema atinilek. aipenda dunia yana mbiambino na ayini sesolonike. kreseni atiyenda galatia na tito atiyenda daimatia. (aiōn g165)
Kwa kuwa Dema ameniacha. Anaupenda ulimwengu wa sasa na amekwenda Thesalonike, Kreseni alikwenda Galatia, na Tito alikwenda Dalmatia. (aiōn g165)
11 luka tu ywa bile pamoja na nenga. utole maluko wishe na kwee kwanyoo ywembe muimu kwangu katika uduma.
Luka tu ndiye yuko pamoja nami. Umchukue Marko uje naye kwani yeye ni muhimu kwangu katika huduma.
12 nitimike tikiko efeso.
Nimemtuma Tikiko Efeso.
13 luka joo ambalo natilileka tiloya kwa kalipo. pawa isha wanete pamoja na yiulu itabu asa yilu ya ngozi
Lile joho ambalo nililiacha Troa kwa Karpo, utakapokuja lilete, pamoja na vile vitabu hasa vile vya ngozi.
14 alekezanda mkumbwa yuma atini pangia mashapu gambone. yesu anepa lingana na matendo gake
Alekizanda mfua chuma alinitendea maovu mengi. Bwana atamlipa kulingana na matendo yake.
15 wenga kai uwini lindile, nayo ywembe atigakana muno makowe gitu.
Nawe pia jihadhari naye, kwani aliyapinga sana maneno yetu.
16 katika kuwitetea kwangu wa kwanza tupu mundu yoyote ywaa yemi pamoja na nenga dadala yake. kila yumo atinikeka nungu kana asabiee atia.
Katika utetezi wangu wa kwanza, hakuna mtu yeyote aliyesimama pamoja nami, badala yake, kila mmoja aliniacha. Mungu asiwahesabie hatia.
17 lakini yesu atiyima pamoja nane atiniyiya ngupu ilinenga patia kwangu likowe lilongelwe kwa uwaminifu na maataifa bapate yuwa. na tinkolewa mulubeka lwa imba.
Lakini Bwana alisimama pamoja nami, akanitia nguvu ili kwamba kupitia kwangu, neno linenwe kwa ukamilifu na mataifa wapate kusikia. Niliokolewa katika kinywa cha Simba.
18 yesu aniepusha na matendo gake mashapu na kuniokoa kwaajili ya ufalme wake wa mbinguni. utukufu ube kwake milele na milele amina. (aiōn g165)
Bwana ataniepusha na matendo yote maovu na kuniokoa kwa ajili ya ufalme wake wa mbinguni. Utukufu uwe kwake milele na milele. Amen (aiōn g165)
19 usalimie pilisika. kalia na nyumba ya onesifo.
Msalimie Priska, Akila na nyumba ya Onesiforo.
20 elasito atihigala kwoo kolinso. lakini filifino natii kuneka mileto abile mtamwee.
Erasto alibaki huko Korintho, lakini Trifimo nilimuacha Mileto akiwa mgonjwa.
21 upange upesi uishee kabla ya kipindi sha mbepoo eibule anaa kusalimiaa. kahi punde lida. silaudia na alongo botee.
Fanya hima uje kabla ya kipindi cha baridi. Eubulo anakusalimu, pia Pude, Lino, Claudia na ndugu wote.
22 nungu abee pamoja na mwoyo wako neema ibee pamoja na wenga.
Mungu awe pamoja na roho yako, Neema iwe nawe.

< 2 Timotheo 4 >