< 2 Timotheo 1 >

1 paulo mtumwa wa yesu kristo kwa mapenzi ganungu. sawasaw na adi ya ukoto waubile ngati ya kristo yesu.
Paulo mtume wa Yesu Kristo kwa mapenzi ya Mungu, sawasawa na ahadi ya uzima ulio ndani ya Kristo Yesu,
2 kwa timosea mwana ywanipendele neema. leema na amani buka kwa nungu tati na kristo yesu tatibitu.
kwa Timotheo mwana mpendwa: Neema, rehema na amani toka kwa Mungu Baba na Kristo Yesu Bwana wetu.
3 nishukulu nungu, ywembe ywani tumikia kwa nia njema kati sha pangaite tatibitu panikumbukia daima katika maombi gangu kile.
Ninamshukuru Mungu, ambaye ninamtumikia kwa nia njema kama walivyofanya baba zangu, ninapokumbuka daima katika maombi yangu. Usiku na
4 na mutwe kati nina minyi klakukubona. ili nenga nibe nafula nina gakumbi kia moli gako.
mchana ninatamani kukuona, ili kwamba nijawe na furaha. Ninayakumbuka machozi yako.
5 babile bene kuku mbukia usulmani yako ya ukwezi, ambayo apoosha kwanza ya tatama kwa bibi bake lewisi na mabake yunisi na bile na uwakika na ywembe imaniyo itama ngati yako ayo.
Nimekuwa nikikumbushwa kuhusu imani yako halisi, ambayo hapo kwanza ilikaa kwa bibi yako Loisi na mama yako Yunisi. Na nina hakika ya kwamba imani hiyo inakaa ndani yako pia.
6 Yino nga sababu nina kukumbukia kujutia kipaji sha nungu yaibile ngati yako kwa ndila kwa bikilwa maboko
Hii ndiyo sababu nakukumbusha kuchochea karama ya Mungu iliyomo ndani yako kwa njia ya kuwekewa mikono yangu.
7 Yangu kwa sbabu nungu atu peileeli mwoyo wa yogopa, ila ngupu na upendo n nizamu.
Kwa kuwa Mungu hakutupa roho ya woga, bali ya nguvu na upendo na nidhamu.
8 kwa agoo kana ubone aga ushuuda kuhusu tatinitu wala bangu nenga paulo nditabil wa kwake. Ila mwenga ushiliki mateso kwajili ya injili sawa sawa na uweza wa nungu.
Kwa hiyo usiuonee haya ushuhuda kuhusu Bwana wetu, wala wangu mimi Paulo mfungwa wake. Bali ushiriki mateso kwa ajili ya injili sawasawa na uweza wa Mungu.
9 Ni nungu ywa tuokowite na kutukema kwa wito mtakatifu apangiteli nyoo lingana na kazi itu bila lingana na neema na pango wake mwene. atitupea makowe gano katika kristo yesu kabula ya mahuda ua. (aiōnios g166)
Ni Mungu aliyetuokoa na kutuita kwa wito mtakatifu. Hakufanya hivi kulingana na kazi zetu bali kulingana na neema na mpango wake mwenyewe. Alitupatia mambo haya katika Kristo Yesu kabla ya nyakati kuanza. (aiōnios g166)
10 Lakin mbia mbi uwekevu wa nungu uwishlie umukilwa kwa isha kwa mwokozi witu kristo yesu. kristo ywa ikomesha mauti na kuleta ukoto wa ngali yuwa kwa bwea wa injili.
Lakini sasa wokovu wa Mungu umekwishafunuliwa kwa kuja kwa mwokozi wetu Kristo Yesu. Ni Kristo aliyeikomesha mauti na kuleta uzima usiokoma kwa nuru ya injili.
11 Kwa manayo natitolekwa mbange na mubili. mtume na mwalimu.
Kwa sababu hiyo nilichaguliwa kuwa mhubiri, mtume na mwalimu.
12 kwa maana yo nina lumia nyo lakini lili haya kwago nitangite ywembe anawesha kuki tunja shilusha nakabizile kwake ata lishubalilu.
Kwa sababu hii nateseka pia, lakini sioni haya kwa kuwa namjua yeye niliyekwisha kumuamini. Nina hakika kuwa yeye anaweza kukitunza kile nilichokikabidhi kwake hata siku ile.
13 Uniku mbukie mfano wa ujumbe wauwa minifu wauu yuwine buka kwangu. pamoja na imani na upendo wa ubilee ngati ya kristo yesu.
Ukumbuke mfano wa ujumbe wa uaminifu uliousikia toka kwangu, pamoja na imani na upendo ulio ndani ya Kristo Yesu.
14 Ugaa tunze makowe mazuli gakuka bizile nungu pitia roo mtakatifu ywa tama ngati itu.
Yatunze Mambo mazuri aliyokukabidhi Mungu kupitia Roho Mtakatifu aishiye ndani yetu.
15 utangaze nabaite bote baba tama asiyabati nileka. nabile palikundi ili babe figelo na emugene.
Unajua ya kuwa, wote waishio katika Asia waliniacha. Kwenye kundi hili wamo Figelo na Hemogene.
16 Bwana ati kwa ponya nyumba ya onesifolo kwango mala nyingi atibudulisha na aibumenili oni minyololo yake.
Bwana airehemu nyumba ya Onesiforo kwa kuwa mara nyingi aliniburudisha na hakuionea aibu minyororo yangu.
17 Pabile leema ati nipala kwa bidi na anipatike.
Badala yake, alipokuwa Roma alinitafuta kwa bidii na akanipata.
18 Nn”ungu anijalile pata leema buku kwake lishubala lilu. katisha nzaidie pana bilee efeso. wenga utangite vizuli.
Mungu amjalie kupata rehema kutoka kwake siku ile. Kama alivyonisaidia nilipokuwa Efeso, wewe wajua vyema.

< 2 Timotheo 1 >