< Acts 27 >

1 And when it was determined that we should sail into Italy, they delivered Paul and certain other prisoners unto one named Julius, a centurion of Augustus' band.
Paiamuliwe panga tupalikwa tunasafiri kwa mase kuyenda Italia, watimkabidhi Paulo na afungwa benge kwa afisa yumo wa jeshi lya Kiroma ywakemelwa Julio, wa Kikosi cha Agustani.
2 And entering into a ship of Adramyttium, we launched, meaning to sail by the coasts of Asia; one Aristarchus, a Macedonian of Thessalonica, being with us.
Tukapanda meli boka Adrmitamu, ambayo ibile itisafiri kandokando ya pwani ya Asia. Nga nyo tujingii mubahari. Aristaka boka Thesalonike ya Makedonia kayenda pamope natwee.
3 And the next day we touched at Sidon. And Julius courteously pleaded Paul, and gave him liberty to go unto his friends to refresh himself.
Lisoba lya nyaibele tuikite katika mji wa Sidoni, ambapo Julio atimpangia kwa ukarimu na atibaruhusu kuyenda kwa rafiki zake kupokya ukarimu wabe.
4 And when we had launched from thence, we sailed under Cyprus, because the winds were contrary.
Boka po twayenda mu'bahari tukasafiri kuzunguka kisiwa cha Kipto ambacho kibile kimeukinga mbepo, kwa mana mbepo ubile ukitukabili.
5 And when we had sailed over the sea of Cilicia and Pamphylia, we came to Myra, a city of Lycia.
Baada ya kuwa tumesafiri katika mase yabile papipi na Kilikia na Pamfilia, twaisa Mira, mji wa Lisia.
6 And there the centurion found a ship of Alexandria sailing into Italy; and he put us therein.
Palo yolo afisa wa jeshi lya Kiroma, akaikuta meli boka Alexandria ambayo ibile itisafiri kuelekea Italia. Akatupandisha ndani yake.
7 And when we had sailed slowly many days, and scarce were come opposite to Cnidus, the wind not suffering us, we sailed under Crete, opposite to Salmone;
Baada ya kusafiri mbolembole kwa masoba ganyansima na hatimaye tuikite kwa taabu karibu na Kinidas, mbepo waruhusu kwaa kae kuelekea ndela yoo, nga nyoo tukasafiri kandokando ya kivuli cha Krete tukiukenga mbepo, mkabala na Salmone.
8 And, hardly passing it, came unto a place which is called The fair havens; nigh unto which was the city of Lasea.
Twatisafiri kandokando ya pwani kwa ugumu, mpaka tuikite mahali pakemelwa Fari Haveni ambayo ibile papipi na mji wa Lasi.
9 Now when much time was spent, and when sailing was now dangerous, because the fast was now already past, Paul admonished them,
Tutweti muda mwingi muno, na muda wa mfungo wa Ayahudi ubile umepita pia, nambeambe ibile ni hatari kuyendelea kusafiri. Nga nyo Paulo atitukanikiya,
10 And said unto them, Sirs, I perceive that this voyage will be with hurt and much damage, not only of the lading and ship, but also of our lives.
no baya, “Alalome nibweni safari ambayo twapala kuitola ywalowa kuwa na madhara na hasara yanyansima, ni kwamizigo kichake kwaa na meli, lakini pia maisha yitu.”
11 Nevertheless the centurion believed the master and the owner of the ship, more than those things which were spoken by Paul.
Lakini afisa yumo wa jeshi la Kiroma atimpekaniya muno ngwana wake na mmiliki wa meli, kuliko makowe ambayo galongelwa na Paulo.
12 And because the haven was not commodious to winter in, the more part advised to depart thence also, if by any means they might attain to Phenice, and there to winter; which is an haven of Crete, and lies toward the south west and north west.
Kwa sababu bandari ibile kwaa sehemu rahisi tama kipindi sa mbepo, mabaharia banyansima batisauri tusafiri boka palo, ili kwa namna yoyote tukiweza kuika mji wa Foinike, tutame palo kipindi sa mbepo, Foinike ni bandari kolyo Krete, na itilinga kaskazini na kusini mashariki.
13 And when the south wind blew softly, supposing that they had obtained their purpose, loosing thence, they sailed close by Crete.
Mbepo ya kusini pautumbwile kuvuma mbolembole, mabaharia bapatike chelo ambacho babile bakihitaji. Bating'oa nanga na kusafiri kandokando ya Krete papipi na pwani.
14 But not long after there arose against it a tempestuous wind, called Euroclydon.
Lakini baada ya muda mwipi mbepo nkali, waukemelwa wa kaskazini mashariki, utumbwile kutukombwa boka ng'ambo ya kisiwa.
15 And when the ship was caught, and could not bear up into the wind, we let her drive.
Muda meli yatilemewa na kushindwa kuikabili mbepo, twatikubaliana na hali yee, tukasafiri nao.
16 And running under a certain island which is called Clauda, we had much work to come by the boat:
Tukabutuka pitya wolo upande ubile utiukenga mbepo wa kisiwa kikemelwa Kauda; na kwa taabu muno twatifanikiwa kuuokoa mtumbwi.
17 Which when they had taken up, they used support cables, undergirding the ship; and, fearing lest they should fall into the quicksand, strake sail, and so were driven.
Baada ya kuwa tumeivuta, balitumia kamba kuifunga meli. Batiyogopa panga tungeweza kuyenda katika eneo lya mchanga wanyansima wa Syiti, nga nyo batiulua nanga na batiendeshwa kandokando.
18 And we being exceedingly tossed with a tempest, the next day they lightened the ship;
Tukombwile kwa nguvu muno na dhoruba, nga nyo lisoba lyanyaibele mabaharia batumbwile kutupa miziogo boka mu'meli.
19 And the third day we cast out with our own hands the cordage of the ship.
Lisoba lya tatu, mabaharia batumbwile kuyatoa mase kwa maboko gabe bene.
20 And when neither sun nor stars in many days appeared, and no small tempest lay on us, all hope that we should be saved was then taken away.
Muda ambao liumu na ndondwa yatuangazia kwaa masoba ganyansima, bado dhoruba ngolo itukombwile, na matumaini panga twalowa lopolelwa yatiboka.
21 But after long abstinence Paul stood forth in the midst of them, and said, Sirs, all of you should have hearkened unto me, and not have loosed from Crete, and to have gained this harm and loss.
Baada ya kuwa batiyenda muda mrefu bila chakulya, nga Paulo ayemi katikati ya mabaharia kabaya, “Alalome, mpalikwa kunipekaniya, na kana tuiboite nanga boka Krete, ili kupata madhara aga na hasara.
22 And now I exhort you to be of good cheer: for there shall be no loss of any man's life among you, but of the ship.
Nambeambe naafariji panga mube na mwoyo, kwa sababu pabile kwaa na upotevu wa maisha kati yinu, ila hasara ya meli.
23 For there stood by me this night the angel of God, whose I am, and whom I serve,
Kwa mana kilo chakipitike malaika wa Nnongo, ambaye yolo Nnongo nenga ni wake, na ambaye namwabudia kae-malaika bake ayemi pembeni yango
24 Saying, Fear not, Paul; you must be brought before Caesar: and, lo, God has given you all them that sail with you.
no baya, “Kana uyogope Paulo. Lazima uyemi nnongi ya Kaisari, linga, Nnongo katika wema wake akupeile aba bote ambao wasafiri pamope nawenga.
25 Wherefore, sirs, be of good cheer: for I believe God, that it shall be even as it was told me.
Nga nyo, alalome, mujipe mwoyo, kwa sababu namwaminiya Nnongo, panga ipalika kati yaanibakiye.
26 Nevertheless we must be cast upon a certain island.
Lakini lazima tuumie kwa kukombwa katika baadhi ya visiwa.”
27 But when the fourteenth night was come, as we were driven up and down in Adria, about midnight the sailors deemed that they drew near to some country;
Pauikite kilo ya komi na ncheche, patubile tukiyendeshwa kolyo na kolyo mu'bahari ya Adratik, kati kilo ya manane nyoo, mabaharia batifikiri panga batikaribia nchi kavu.
28 And sounded, and found it twenty fathoms: and when they had gone a little further, they sounded again, and found it fifteen fathoms.
Balitumia milio kupima kina cha mase na kupata mita thelathini na sita, baada ya muda mwipi bapema bapatike mita ishirini na saba.
29 Then fearing lest we should have fallen upon rocks, they cast four anchors out of the stern, and wished for the day.
Batiyogopa kwanza twaweza kugonga miamba, nha nyo bakaulua nanga ncheche boka katika sehemu ya kuwekea nanga no kuloba panga bwamba uise mapema.
30 And as the sailors were about to flee out of the ship, when they had let down the boat into the sea, under colour as though they would have cast anchors out of the bow,
Balo mabaharia batiipala namna ya kuitelekeza yelo meli na balizishusha majini boti njunu na kulopwa maisha, na bapangite kuwa wanatupa nanga boka sehemu ya nnongi ya boti.
31 Paul said to the centurion and to the soldiers, Except these abide in the ship, all of you cannot be saved.
Lakini Paulo kambakiya yolo askari wa jeshi la Kiroma na balo askari, “Muweza kwaa kuilopwa ila aba bandu babakia mu'meli.”
32 Then the soldiers cut off the ropes of the boat, and let her fall off.
Boka po balo askari bakatike kamba na yelo boti ilekitwe itolwe na mase.
33 And while the day was coming on, Paul besought them all to take food, saying, This day is the fourteenth day that all of you have tarried and continued fasting, having taken nothing.
Muda mwanga wa bwamba paubile utijitokeza, Paulo atibasihi bote angalau balyee kisunu. Kabaya, “Ayee nga lisoba lya komi na ncheche mwalenda bila kulyaa, mwalyaa kwaa kilebe.
34 Wherefore I pray you to take some food: for this is for your health: for there shall not an hair fall from the head of any of you.
Nga nyo nawasihi mtole chakulya kisunu, kwa sababu yee ni kwaajili ya tama kwinu; na ntopo hata nywili yimo ya ntwe winu yalowa potea.
35 And when he had thus spoken, he took bread, and gave thanks to God in presence of them all: and when he had broken it, he began to eat.
Paayomwile baya nyoo, atitola mkate na kumshukuru Nnongo nnongi ya minyo ga kila mundu. Boka po kaetekwana mkate no tumbwa lyaa.
36 Then were they all of good cheer, and they also took some food.
Boka po bote batiwa mwoyo na bembe batola chakulya.
37 And we were in all in the ship two hundred threescore and sixteen souls.
Tubile bandu 276 nkati ya meli.
38 And when they had eaten enough, they lightened the ship, and cast out the wheat into the sea.
Paayomwile lyaa pakayukwita, baipangite meli nyepesi kwa kutupa ngano nkati ya mase.
39 And when it was day, they knew not the land: but they discovered a certain creek with a shore, into the which they were minded, if it were possible, to thrust in the ship.
Paibile mutwekati, paibweni kwaa nchi kavu, lakini babweni sehemu ya nchi kavu yaijingya mumase yaibile na mchanga wanyansima. batilongela kati baweza kuiendesha meli kuelekea palo.
40 And when they had taken up the anchors, they committed themselves unto the sea, and loosed the rudder bands, and hoisted up the mainsail to the wind, and made toward shore.
Nga nyoo batizilegeza nanga bazilekite mumase. Katika muda wowolo batizilegeza kamba za tanga na kuiinua sehemu ya nnongi kuelekea katika mbepo, nga nyo batielekea katika iyo sehemu yabile na mchanga wanyansima.
41 And falling into a place where two seas met, they ran the ship aground; and the front part stuck fast, and remained immoveable, but the hinder part was broken with the violence of the waves.
Lakini baisile mahali ambapo mikondo ibele ya mase itikwembana, na meli ikaelekya mchangani. Na yelo sehemu ya nnongi ikakwama palo na iweza kwaa boka, lakini sehemu ya mbele uya meli itumbwile kutekwanika kwa sababu ya ukale wa mawimbi.
42 And the soldiers' counsel was to kill the prisoners, lest any of them should swim out, and escape.
Mpango wa balo askari ubile ni kuwabulaga wafungwa, ili panga ntopo ywaweza ogelea na kutoroka.
43 But the centurion, willing to save Paul, kept them from their purpose; and commanded that they which could swim should cast themselves first into the sea, and get to land:
Lakini yolo askari wa jeshi la Kiroma apala kumwokoa Paulo, nga nyo akausimamisha mpango wabe; na akaamuru balo ambao baweza kuogelea baruke boka melini kwanza bayende nchi kavu.
44 And the rest, some on boards, and some on broken pieces of the ship. And so it came to pass, that they escaped all safe to land.
Boka po alalome benge balowa kunkengama, benge nnani ya ipande ya mbao na benge nnani ya ilebe yenge boka mu'meli. Kwa ndela yee ipangike panga bote twalowa ika salama nchi kavu.

< Acts 27 >