< Acts 24 >

1 And after five days Ananias the high priest descended with the elders, and with a certain orator named Tertullus, who informed the governor against Paul.
Baada ya masoba matano. Anania kuhani nkolo, baadhi ya apindo na msemaji yumo ywakemelwa Tertulo, bayenda palo. Bandu aba banetike mashitaka dhidi ya Paulo kwa Gavana.
2 And when he was called forth, Tertullus began to accuse him, saying, Seeing that by you we enjoy great quietness, and that very worthy deeds are done unto this nation by your providence,
Paulo paayemi nnongi ya Gavana, Tertulo atumbwile kunshitaki no baya kwa gavana, “Kwa sababu yako tubile na amani kolo; na kwa maono yako yatileta mageuzi yanoite katika litaifa lyetu;
3 We accept it always, and in all places, most noble Felix, with all thankfulness.
Bai kwa shukrani yote twapokya kila kilebe chaakipangite, Wasalam mheshimiwa Feliki.
4 Notwithstanding, that I be not wearisome anymore unto you, I pray you that you would hear us of your clemency a few words.
Lakini kana nikuchoshe muno, nakusihi ugapekanie maneno machunu kwa fadhili yako.
5 For we have found this man a pestilent fellow, and a mover of sedition among all the Jews throughout the world, and a ringleader of the sect of the Nazarenes:
Kwa maana tumpatike mundu yolo nkorofi, na ywasababisha Ayahudi bote kuiasi dunia. Kae ni kiongozi wa madhehebu ya Wanazorayo.
6 Who also has gone about to profane the temple: whom we took, and would have judged according to our law.
7 But the chief captain Lysias came upon us, and with great violence took him away out of our hands,
8 Commanding his accusers to come unto you: by examining of whom yourself may take knowledge of all these things, whereof we accuse him.
Ukinnaluya Paulo kuhusu makowe aga, hata waweza kujifunza ni kilebe gani twamshitakia.”
9 And the Jews also assented, saying that these things were so.
Bayahudi nabo batimshitaki Paulo, babaya panga makowe gabile kweli.
10 Then Paul, after that the governor had beckoned unto him to speak, answered, Forasmuch as I know that you have been of many years a judge unto this nation, I do the more cheerfully answer for myself:
Liwali paampungia luboko ili Paulo alongele, Paulo kayangwa, “Nitangite panga kwa miaka yanyansima ubile mwamuzi wa litaifa lee, na nibile na furaha kujieleza mwene kwako.
11 Because that you may understand, that there are yet but twelve days since I went up to Jerusalem in order to worship.
Waweza kuhakikisha kuwa yayomwike kwaa masoba zaidi ya komi ni ibele boka panatipanda kuyenda kuabudu Yerusalemu.
12 And they neither found me in the temple disputing with any man, neither raising up the people, neither in the synagogues, nor in the city:
Na banikwembine katika lihekalu, nabisha kwaa na mundu yoyote, na nipangite kwaa fujo katika mkutano, wala katika masinagogi wala nkati ya mji;
13 Neither can they prove the things whereof they now accuse me.
na wala baweza kwaa kuhakikisha kwako mashitaka wanayoyashitaki dhidi yango.
14 But this I confess unto you, that after the way which they call heresy, so worship I the God of my fathers, believing all things which are written in the law and in the prophets:
Ila nakiri lelo kwako, ya panga kwa ndela yelo ambayo dhehebu, kwa ndela yeyelo natimtumikia Nnongo wa tate bitu. Nenga na mwaminifu kwa yote yabile katika saliya na maandiko ya manabii.
15 And have hope toward God, which they themselves also allow, that there shall be a resurrection of the dead, both of the just and unjust.
Nibile na ujasiri wowolo kwa Nnongo ambao hata abo nao batilenda, kuisa kwa ufufuo wa bandu ba kiwo, kwa bote bene haki na babile kwaa na haki kae;
16 And herein do I exercise myself, to have always a conscience void to offence toward God, and toward men.
na kwa lee, napanga kazi ili niwe na dhamira ibile kwaa na hatia nnongi ya Nngongo na nnongi ya bandu pitya makowe gote.
17 Now after many years I came to bring alms to my nation, and offerings.
Nambeambe baada ya miaka ganyansima niisile kuleta msaada kwa litaifa lyango na zawadi ya fedha.
18 Whereupon certain Jews from Asia found me purified in the temple, neither with multitude, nor with tumult.
Nipangite nyoo, Bayahudi fulani ba Asia banikwembine nkati ya sherehe ya utakaso ndani ya lihekalu, bila likundi lya bandu wala ghasia.
19 Who ought to have been here before you, and object, if they had ought against me.
Bandu aba ambao ipalikwe kuwapo nnongi yako nambeambe na babaye chelo wakibona nnani yango kati babile na neno lolote.
20 Or else let these same here say, if they have found any evil doing in me, while I stood before the council,
Au bandu aba bene babaye ni likosa gani balibweni kwango paniyemite nnongi ya libaraza lya kiyahudi;
21 Except it be for this one voice, that I cried standing among them, Concerning the resurrection of the dead I am called in question by you this day.
Ila kwa ajili ya kilebe chimo nikibayite kwa lilobe paniyemi katikati yao,'ni kwa sababu ya ufufuo ba bandu ba mu'kiwo mwenga mwanihukumu.”
22 And when Felix heard these things, having more perfect knowledge of that way, he deferred them, and said, When Lysias the chief captain shall come down, I will know the uttermost of your matter.
Feliki abile atitaarifiwa vizuri kuhusu ndela, na atiuahirisha mkutano, Kabaya, “Lisia jemedari paaisa pae boka Yerusalemu nitatoa maamuzi dhidi ya mashitaka yinu.”
23 And he commanded a centurion to keep Paul, and to let him have liberty, and that he should forbid none of his acquaintance to minister or come unto him.
Nga nyo atiamuru akida amlinde Paulo, ila abe na nafasi na hata abile kwaa mundu bakiwakanikiya marafiki bake bamsaidie wala bamtembelee kwaa.
24 And after certain days, when Felix came with his wife Drusilla, which was a Jewess, he sent for Paul, and heard him concerning the faith in Christ.
Baada ya masoba kadhaa, Feliki atikerebukia na Drusila nyumbowe ywabile Myahudi, atimtuma kumwita Paulo na akibapekania boka kwake habari za imani nkati ya Kristo Yesu.
25 And as he reasoned of righteousness, wilful restrain, and judgment to come, Felix trembled, and answered, Go your way for this time; when I have a convenient season, I will call for you.
Ila Paulo paabile akijadiliana naywembe kuhusu haki, kuwa na kiasi na hukumu yaisile, Feliki akapata hofu kayangwa, “uyende kutalu kwa nambeambe, ila nikipata muda kae, nalowa kukukema.”
26 He hoped also that money should have been given him of Paul, that he might loose him: wherefore he sent for him the oftener, and communed with him.
Muda wowolo, atitegemea panga Paulo ampeya mbanje kwa eyo amkemile mara zanyansima akilongela naywembe.
27 But after two years Porcius Festus came into Felix' room: and Felix, willing to show the Jews a pleasure, left Paul bound.
Ila miaka ibele yapeta, Porkion Festo abile Liwai baada ya Feliki, ila Feliki atipala kujipendekeza kwa Bayahudi, nga nyo atinleka Paulo pae ya uangalizi.

< Acts 24 >