< Wafilipi 1 >

1 Paulo na Timotheo atumwa ba yesu kristo, kwabalo babatengwile katika kristo baba tana filipi, pamope na babaangalia na mashemasi.
Paulo na Timotheo, watumishi wa Kristo Yesu, Kwa wale walitengwa katika Kristo wanaoishi Filipi, pamoja na waangalizi na mashemasi.
2 Neema naibile kwinu na amani ya ibaka kwa nnongo tatebitu na nngwana witu yesu kristo.
Neema na iwe kwenu na amani itokayo kwa Mungu Baba yetu na Bwana wetu Yesu Kristo.
3 nimshukuru nnongo kila panin kombokya mwenga mwabote.
Namshukuru Mungu wangu kila ninapowakumbuka ninyi nyote.
4 Mara yote katika kila loba kwanga kwaajili yinu mwenga mwabote. Nenda pulaikaga panimobyaga.
Mara zote katika kila ombi langu kwa ajili yenu ninyi nyote, huwa na furahi ninapowaombea.
5 Ninashukrani yambone kwa sababu ya ushirika winu katika injili tango masobagakwanza mpaka leno.
Nina shukrani nyingi kwa sababu ya ushirika wenu katika injili tangu siku ya kwanza mpaka leo.
6 Nina hakika kwamba hwembe hwatumbulisha kazi njema nkatiyinu ayendelwa kwikamilisha mpaka lisoba la nngana yesu kristo.
Nina hakika kuwa yeye aliyeanzisha kazi njema ndani yenu ataendelea kuikamilisha mpaka siku ya Bwana Yesu Kristo.
7 Ni sawa kwango kwisikiavyo juu yinu mwanga mwa bote kwasababu nimekie pamoja wango. mana mwenga mubile mwaashirika ayango latika neema katika kwitaba kwango na utetezi na uthibitishaji wango wa injili.
Ni sawa kwangu kujisikia hivi juu yenu ninyi nyote kwa sababu nimewaweka moyoni wangu. Maana ninyi mmekuwa washirika wenza katika neema katika kifungo changu na katika utetezi na uthibitishaji wangu wa injili.
8 Nn”ungo nishahidi wango, jinsi mwamibile nashauku juu yinu mwabote katika undani wapendo la kristo yesu.
Mungu ni shahidi wangu, jinsi nilivyo na shauku juu ya yenu nyote katika undani wa pendo la Kristo Yesu.
9 Naniloba kwamba; upendo winu uyongekeye zaidi katika marifa na ufaham wote.
Na ninaomba kwamba: upendo wenu uongezeke zaidi na zaidi katika maarifa na ufahamu wote.
10 Niloba kaajili ya neno ilimabe nawezo walengana saw, namambo gagabile bora sana. kae nenda kanobya ili besafi pasipo bantia yoyote katika lisoba kristo.
Ninaomba kwa ajili ya hili ili muwe na uwezo wa kupima na kuchagua mambo yaliyo bora sana. Pia ninawaombea ili muwe safi pasipokuwa na hatia yoyote katika siku ya Kristo.
11 Nakae ili mutweleewe nalitunda lahaki lipatikanelo. katika yesu kristo, kwautukufu na sifa ya nnongo.
Na pia ili mjazwe na tunda la haki lipatikanalo katika Yesu Kristo, kwa utukufu na sifa ya Mungu.
12 Sasa mwalongo bango, mbala ntange kuwa mamo gagapitike kwango gaipangite injili iyendeli sana.
Sasa ndugu zangu, nataka mjue kuwa, mambo yaliyotokea kwangu yameifanya injili iendelee sana.
13 Ndio maana kwitabu kwinu katika kristo, itanganikwe kwa alizi baikulu yote na kwakila mundu kae.
Ndiyo maana vifungo vyangu katika Kristo, vimejulikana kwa walinzi wa ikulu yote na kwa kila mtu pia.
14 Naa longo bababile kaika nngwana, kwasbabu ya kwitaba kwango, batishawishika nathubutu kulihubiri neno pasipo hofu
Na ndugu wengi katika Bwana, kwa sababu ya vifungo vyangu, wameshawishika na kuthubutu kulihubiri Neno pasipo hofu.
15 baadhi kweli hala kumtanga kristo kwa fitina naugovi, na kae benge kwania njema.
Baadhi kweli hata humtangaza Kristo kwa fitina na ugomvi, na pia wengine kwa nia njema.
16 Balo babalangaza kristo kwa upendo batangite mbekilwe pano kwaajili ya utetezi wainjili.
Wale wanaomtangaza Kristo kwa upendo wanajua kuwa nimewekwa hapa kwa ajili ya utetezi wa injili.
17 Bali bonge matangaza kristo kwa ubinafsi na kwa nia mbaya. pagani kwasababisha matatizo kwango katika minyororo yango.
Bali wengine wanamtangaza Kristo kwa ubinafsi na nia mbaya. Hudhani kuwa wanasababisha matatizo kwangu katika minyororo yangu.
18 Kwanyo? mjalili, aidha nijalili ndela hibile kwa hila au kakweli, kristo ondatangazwa na katika leno nanda palaikya! ndiyo nenenda palaika.
Kwa hiyo? Sijali, aidha njia ikiwa ni kwa hila au kwa kweli, Kristo anatangazwa, na katika hili ninafurahia! Ndiyo, nitafurahia.
19 Kwa kwaa ndikite leno laleba yugolekwa kwango. Jambo lino huapita kwasababu ya malobo binu na msaada wa roho hua krsisto.
kwa kuwa ninajua ya kuwa hili litaleta kufunguliwa kwangu. Jambo hili litatokea kwa sababu ya maombi yenu na kwa msaada wa Roho wa Yesu Kristo.
20 Lengana na matarajilo gango gawakika nagakweli ni kwamba nibonali oni. Badala yake kwaujqsiri wote kati ambavyo mosabagoli na sasa ndarajila kuwa kristo apala kakatuliwa katika yoga yango, manaibile katika ukoto au katika kiwo.
Kulingana na matarajio yangu ya uhakika na kweli ni kwamba, sitaona aibu. Badala yake, kwa ujasiri wote, kama ambavyo siku zote na sasa, natarajia kuwa Kristo atainuliwa katika mwili wangu, ikiwa katika uzima au katika kifo.
21 Kwa maana kwango, nenga lamanikistro na waa nifaida.
Kwa maana kwangu mimi, kuishi ni Kristo na kufa ni faida.
22 Lakini maa natana katika yoga mboleke litnda katika kazi ya mnongo, kwanyo ndititelii lyako lyakulisawa.
Lakini, kama kuishi katika mwili huzaa tunda katika kazi yangu, kwa hiyo sijui ni lipi la kuchagua.
23 Maana nenda yaleka yega napanga panope na kristo, kilebe ambaso chathamani munomuno.
Maana ninasukumwa sana na mawazo haya mawili. Nina hamu ya kuuacha mwili na kuwa pamoja na Kristo, kitu ambacho ni cha thamani sana sana.
24 Ingawa igala kwayega yono nijambo la muhimu muna kwaajili yinu.
Ingawa, kubaki katika mwili huu ni jambo la muhimu sana kwa ajili yenu.
25 Kwa kuwa nible nauakika juu yaleno, nitengite naigala nanayendelya baapamipe namwenga mwbote, kwaajili yamaendeleo na furaha ya imani yhinu.
Kwa kuwa nina uhakika juu ya hili, ninajua nitabaki na kuendelea kuwa pamoja nanyi nyote, kwa ajili ya maendeleo na furaha ya imani yenu.
26 Nal ino lipaleta furaha yhinu ngolo katika kristo yesu, kwasababu bakwango panope na mwenga.
Na hii italeta furaha yenu kubwa katika Kristo Yesu, kwasababu yangu itaongezeka, kwa sababu ya uwepo wangu tena pamoja nanyi.
27 Mpalikwa mahishi maisha ginu katika mwenendo. Mzuri wamipasa injili ya kristo. mpangenyo ilipanaisa kwinu la au mana ninaisali, niyowe nyemeliko imara katika roho jlmo, mwendashinia, imani ya injili kwa panope.
Mnatakiwa kuishi maisha yenu katika mwenendo mzuri uipasayo injili ya Kristo. fanyeni hivyo ili nikija kuwaona au nisipokuja, nisikie kuwa mmesimama imara katika roho moja. natamani kusikia kuwa mna roho moja, mkiishindania imani ya injili kwa pamoja.
28 nakamantishike nakilebe sosote sakipangilwe na madai ginu. yheno kwabe mishara ya ualibifu. bali kwinu nilishara ya wokovu bokya kwanaongo.
na msitishwe na kitu chochote kinachofanywa na maadui zenu. Hii kwao ni ishara ya uharibifu. Bali kwenu ni ishara ya wokovu kutoka kwa Mungu.
29 kwamana mwenga mutipeyeliwa kwaajil ya kristo, nimwanilelibai bali nateseka kai katika yhwembe.
kwa maana ninyi mmepewa kwa ajili ya Kristo, si kumwamini tu, bali na kuteswa pia katika Yeye.
30 kwamaa mwina mgogoro wolywolya katika wamubenwikwango namwanda yowa kwamba nibilenao hata mbiya mbeno.
kwa maana mna mgogoro uleule kama mliouona kwangu na mnasikia kwamba ninao hata sasa.

< Wafilipi 1 >